Yes hakuanzisha dini. Yesu alikuwa myahudi na alifuata dini ya kiyahudi. Na wanafunzi wake vile vile walikuwa wayahudi.Yes man made kwa maana aliyeanzisha (YESU) alikuwa MTU kweli na Mungu Kweli ....upo hapo?
Kweli ni vitu viwili tofauti ....wewe unaelewaje maana ya Dini?
Kweli ni vitu viwili tofauti ....wewe unaelewaje maana ya Dini?
Mmmmh....!hi ni hatari Otorong'ong'o kunahitaji maombi humu kwenye forum..........!Naamini Biblia. Naamini kuwa ni kazi ya binadamu
HahahahahahahaHuyo achana naye. .Ni zuzu...sidhani kama anaijua hata jinsia yake..
Evidence plz....!
Evidence plz....!
Man madeHicho sio kigezo, ungesema man made through holly spirit aliyeachwa duniani na Yesu Kristo ungeeleweka,kumbuka baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa na familia kabla ya kuungana na Yesu lkn biblia haisemi hizo familia zao ziliishia wapi, mfano Simon Petro.
Mwambie akaombe mvua kwanzaMmmmh....!hi ni hatari Otorong'ong'o kunahitaji maombi humu kwenye forum..........!
Huyu jamaa atakuwa anamaanisha au yuko kwenye jokes.........!Kweli ni vitu viwili tofauti ....wewe unaelewaje maana ya Dini?
Wewe hii thread sio saizi yako pita tuu.Mwambie akaombe mvua kwanza
Mmekuwa brain washed na masuala ya diniWewe hii thread sio saizi yako pita tuu.
Sababu kubwa ya kutumia sanamu ni kuiga dini za kizamani za kirumi na kigiriki.Kwani Kanisa linaabudu sanamu...!sanamu ni ishara/kielelezo kuwakumbusha kwamba bwana watu Yesu Kristo aliwambwa msalabani yani ni kama kumbukumbu flani,hata kama imewekwa kanisani sio kwamba inaabudiwa hapana anayeabudiwa pale ni Mungu kwa njia ya msalaba wa mwanae Yesu Kristo kwani ule ndio ulikuwa ukombozi wa mwanadamu,cjui kama utanielewa kwa MTU mwenye mafundisho ya kisabato ni pagumu sana.
Bado atakuja mtu atawaambia eti typing error "ruselani" ndio kitu ganiNduguzetu wa Rc tunayo mengi ya kuwafundisha.. Haya mazehebu makubwa yamekuwa yakiwalaghai watu nakuwaaminisha kwamba bila Rc ..au ruselani .au angirikani Aic.. Basi kwa mungu huendi.. Huuniuongo uliokomaa swala lakwenda kwa mungu nikutenda yaliyo mema hakuna cha wafu kuombea wazima hapa .. Bali kunamaandiko yanayo luusu watumishi wakiloho kuwasamehe zambi kuwaombea wagonjwa nakuwapa watu ubatizo tena bule siyo kama sasa ubatizo umegeuka dili .. Kwabaazi ya madhehebu hili nalo tutalisemea wakati ukifika.
Haya Otorong'ong'o kuja hapa jibu hii.Jamani nyie wakathoric sibitisheni kwa maandiko wa biblia inampa maria mamlaka ya kuwaombea wafu.. Na ilihali yeye ni mufu swali la kwanza.. Swali lapili wapi biblia inasemama tubumbe misanamu na kuisujudia..
Kunamaandiko mangi yasiyo kuwa na idadi yanayopiga malufuku kutengeneza au kuunda sanamu na kuifananisha nakitu chochote kile kilichopo duniani au juu mbinguni.. Na mkibisha nitaleta maandiko sasa nijibuni maswali yangu kwa maandiko ili na mimi nilizike..wapi mmepewa mamlaka ya kibiblia kuunda mwana sesele alimalufu midololi au sanamu. na kuufananisha nayesu.. leteni andiko
Cha msingi umeelewa hoja yake.sio kila mtu anajua kiswahili fasaha.Bado atakuja mtu atawaambia eti typing error "ruselani" ndio kitu gani
,"angirikani"
"luusu "badala ya ruhusu
" wakiloho" badala ya Wa Kiroho
Bule badala ya Bure
Kwabaazi badala ya kwa baadhi... Yaani huyu mtu ni tatizo mkuu Shule zimefunguliwa uende Shule ukasome vizuri na uzuri kuna elimu ya watu wazima itakufaa sana......
Huyo wenye akili timamu tulishampuuza...Ila wajinga wanaona kuna kitu kaandika ...Haya Otorong'ong'o kuja hapa jibu hii.
Mimi nakuelewa vizuri sana ndugu.asiyekuelewa huyo ana mapepoKatiba ya wakiristo wote dunia ni biblia haisemi maria awe muombezi ..bali inatamka wazi wazi kuwa tunae muombezi mmoja tu ambae ni yesu kiristo. Sii maria wala hao watakatifu wenu wakupeana ..eehee haya ndio maneno ya watu kuelezwa siiuongo munao walisha watu eti maria alipaa mala muombezi huwo wote niuongo wa hazalani.kama nikweli leteni maandiko tuone kama biblia inampa mufu mamlaka ya kuwaombea walio hai..