Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Yes hakuanzisha dini. Yesu alikuwa myahudi na alifuata dini ya kiyahudi. Na wanafunzi wake vile vile walikuwa wayahudi.Yes man made kwa maana aliyeanzisha (YESU) alikuwa MTU kweli na Mungu Kweli ....upo hapo?
Nionyesha sehemu ambayo Yesu amesema naanzisha dini.