Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Siyo kuandika ila wanaweza wakaviingiza kama sehemu ya Canon ya existing 39 books...Ok kwa maana hiyo watakuwa mbioni kuandika biblia mpya ikiwa na hivyo vitabu..!apo lzm Luther na washirika wake SDA na wengine lzm waumbuke.
Sijahujumu nimewaambia habari njema za wokovu ili msipotee bali mrithi ufalme wa Mungu.We ni nani mpaka inahukumu...?
Mnachokifanya ni sawa na kusubiri meli airportOk kwa maana hiyo watakuwa mbioni kuandika biblia mpya ikiwa na hivyo vitabu..!apo lzm Luther na washirika wake SDA na wengine lzm waumbuke.
Wokovu gani...?Sijahujumu nimewaambia habari njema za wokovu ili msipotee bali mrithi ufalme wa Mungu.
Umeelewa kilichoandikwa...???Mnachokifanya ni sawa na kusubiri meli airport
Babeli, yule kahaba mkuu yaani kanisa lililoasi lazima lipingwe ili watu wa Mungu watoke huko kabla ya hukumu ya mwisho.Hayo sio makanisa Bali ni vikundi vilivyokuja kupingana na Kanisa
Wakatoliki wanadhani wokovu unanunuliwa au mtu mwingine aweza kukuondolea dhambiNinachojua ugomvi Wa Luther name kanisa Catholic ni waumini kuuziwa hat ya msamaha.
Wokovu unao uzungumzia ni upi....?kwa taarifa yako Kanisa Katoliki ndio waasisi wa wokovu hivi vikundi vingine vilikuja kwa mslahi ya kidunia zaidi,Sijahujumu nimewaambia habari njema za wokovu ili msipotee bali mrithi ufalme wa Mungu.
Vp kuhusu kuruhusiwa kwa makaasisi na watawa kuoa au kuolewa....?hili ulijui.....?na ndio maana nasema hivi vikundi vilikuja kimaslahi ya kidunia zaidi, na kwa taarifa yako Luther alirudi kanisani kuomba msamaha kiongozi wa kanisa wkt huo(PAPA) alimwambia kanisa limekusamehe Ila rudisha wanakondoo wote ulio wachukua kanisani hilo lilimshinda Luther,hizi historia wachungaji wenu hawawezi kuwaambia na pengine hawazijui.....upo apo.Ninachojua ugomvi Wa Luther name kanisa Catholic ni waumini kuuziwa hat ya msamaha.
Ni kweli Roman Catholic ndio chanzo cha kusujudia sanamu ya Bikra Maria wakidhani ndo watapata wokovu, Maria alishakufa kama Daudi ambaye Paulo anadai kaburi lake lipo hadi leo.hao wote wanasubiri ufufuo.Wokovu unapatikata kwa kumwamini Yesu Kristo pekee, kwani yeye yu hai siku zoteWokovu unao uzungumzia ni upi....?kwa taarifa yako Kanisa Katoliki ndio waasisi wa wokovu hivi vikundi vingine vilikuja kwa mslahi ya kidunia zaidi,
Chunguza vzuri historia ya hicho kikundi unacho sali nacho ukishindwa tupi huku JF utapewa historia.
Wewe uko affected na mafundisho ya kina Miller....Ni kweli Roman Catholic ndio chanzo cha kusujudia sanamu ya Bikra Maria wakidhani ndo watapata wokovu, Maria alishakufa kama Daudi ambaye Paulo anadai kaburi lake lipo hadi leo.hao wote wanasubiri ufufuo.Wokovu unapatikata kwa kumwamini Yesu Kristo pekee, kwani yeye yu hai siku zote
Ila naamini iko cku mtakuja kuwaelewa Wakotoliki sasa hv ni vgumu sana kuwaelewa....!Ni kweli Roman Catholic ndio chanzo cha kusujudia sanamu ya Bikra Maria wakidhani ndo watapata wokovu, Maria alishakufa kama Daudi ambaye Paulo anadai kaburi lake lipo hadi leo.hao wote wanasubiri ufufuo.Wokovu unapatikata kwa kumwamini Yesu Kristo pekee, kwani yeye yu hai siku zote
Vp kuhusu kuruhusiwa kwa makaasisi na watawa kuoa au kuolewa....?hili ulijui.....?na ndio maana nasema hivi vikundi vilikuja kimaslahi ya kidunia zaidi, na kwa taarifa yako Luther alirudi kanisani kuomba msamaha kiongozi wa kanisa wkt huo(PAPA) alimwambia kanisa limekusamehe Ila rudisha wanakondoo wote ulio wachukua kanisani hilo lilimshinda Luther,hizi historia wachungaji wenu hawawezi kuwaambia na pengine hawazijui.....upo apo.
Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman CatholicWewe uko affected na mafundisho ya kina Miller....
Hv pale Mathayo 16:16-19 ebu pitia mwenyewe alafu uje uniambie yule alikuwa ni Miller au EGW au Luther au yule mfalme wa uingereza mwasisi wa Anglican au viongozi wa vile vikundi ambavyo mwanzo wake ni utata mtupu...
Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu..Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman Catholic
Ni kweli Roman Catholic ndio chanzo cha kusujudia sanamu ya Bikra Maria wakidhani ndo watapata wokovu, Maria alishakufa kama Daudi ambaye Paulo anadai kaburi lake lipo hadi leo.hao wote wanasubiri ufufuo.Wokovu unapatikata kwa kumwamini Yesu Kristo pekee, kwani yeye yu hai siku zote
Thibitisha kwa fungu la BibliaHivi unahabari Ellen G White yupo Jehanam kutokana na mauaji aliyosababisha mwaka 1844...
Kuwa uzia waumini hati ya msamaha,Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu..
Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...Sasa jiongeze mwenyewe Kanisa aliloliacha Yesu ni lipi..