Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mambo gani..? Hrbu yataje hayo mambo niyajue..Toa uongo wako hapa, kama Biblia ni mali ya kanisa katoliki, kwa nini mambo yenu mengi hayako biblical?
Nyingi ngapi ..??Mbona mna dogma nyingi sana
Unajua tofauti ya Dogma na Doctrine...?hadi mnalazimisha dogma ziwe doctrines?
Aliyesema tuogopa ni nani...? Hicho kitabu cha Apokalpse ya Yohana kina nini cha ajabu mpaka kiogopwe kufundishwa...? Unajua lengo la Biblia..?Na kwa nini mnakiogopa kukifundisha kitabu cha ufunuo ktk makanisa yenu? Mbona mambo yenu mengi ni ya kipagani?
Hii ngojera imechuja sasa.ukweli umewekqa hadharani na kila mtu amejua nani ni muongo na nani mkweli. Usibishane na neno la Mungu,kamwe hutafanikiwa.Acha vichekesho wewe...
Biblia yenu mpya (Clear Word Bible) inanesha jinsi mbavyo hamuamini katika Utatu Mtakatifu ila mnaamini ktk Polytheisism...
Hata Ellen G White hakuamini Utatu Mtakatifu..
Huyu jamaa hana anachojua, zaidi ya ubishi na upotoshaji tu.Sasa Church Manual kubadilika ni dhambi acha ku quote vitu roborobo ili upotoshe? Hv kanuni za kanisa zikibadilika ni dhambi? Hiyo si ni kama katiba. Acha upotoshaji wa kijinga njoo na proof sio unawaambia watu vitu bila proof.
Sawa kabisa.Hii elimu muhimu sana kwa hawa wapotoshaji wasio na chembe ya aibu.Hujui chochote kuhusu canon. Hujui chochote kuhusu Talmud wala synod wala septugiant. Huyu Martin Luther ni wa juzi, Biblia ni kitabu cha kale na waloongeza na kupunguza vitabu ni haohao wa kale. Shida yako unamponda Martin Luther kwa kuukosoa ukatoliki
Wakatoliki hawawezi kuamini katika Biblia kwani inaanika wazi uovu wao, bali misale ya waumini na biblia yao wenyewe yenye vitabu vya makabayo na wengine wasiovuviwa.Biblia yenyewe unayozungumzia hapa ndio kitabu cha Kiada za ziada cha Wakatoliki..
Neno la Mungu lipi...? Manuscript za Ellen..?Hii ngojera imechuja sasa.ukweli umewekqa hadharani na kila mtu amejua nani ni muongo na nani mkweli. Usibishane na neno la Mungu,kamwe hutafanikiwa.
Upotoshaji gani...? Ninapoandika kitu huwa nimefanya utafiti wa kina...Huyu jamaa hana anachojua, zaidi ya ubishi na upotoshaji tu.
Sawa kabisa.Hii elimu muhimu sana kwa hawa wapotoshaji wasio na chembe ya aibu.
Kama unaongelea manuscript za kichaa Ellena sawa! Ila kama unaongelea Biblia kitabu cha Wakatoliki nafikiri utakuwa umepotoka sana..Wakatoliki hawawezi kuamini katika Biblia kwani inaanika wazi uovu wao
Hakuna aliyekulazimisha kuamiamini ila nimefurahi sana ulipokiri Bikira Maria ni mama wa Mungu logically mama hawezi kumuomba mwanaye kitu akamnyima rejea Arusi ya KanaNyie endeleeni kubushana! Ninachojua Yesu ni mwokozi, Yesu ni bwana nae ndie anaesamehe dhambi. Bikira mariamu alimzaa Yesu tu
na siamini eti bikira maria atuombee dhambi, hio hapana
Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki....Biblia ni neno ka Mungu, ni mali ya Mungu wala si mali ya kikundi chochote.Acheni upotoshaji.
Ni kawaida ya kanisa ya kanisa katoliki kukufuru.Hata Biblia katika ufunuo mnyama ambaye ni mamlaka ya kirumi ana jina la makufuru.Biblia ni mali ya Kanisa Katoliki....
Bikira Maria hakupaa ila alifanyaje?Naninataka niwaondoe shaka watu wanao aminishwa uongo kua bikila malia alipaa mbinguni huu niuongo ulikomaa ..katika oloza yawatu waliopaa mbinguni bikila malia hayumo ..kwanini hayumo nikwasababu hakupaa mbinguni..acheni kulishwa uongo somenibibilia
Kuna kufuru zaidi ya ile kufuru ya kufanya Edit biblia na kuweka manuscript za kuzimu za Kichaa Ellen G White kisha kuita Clear Word Bible..Ni kawaida ya kanisa ya kanisa katoliki kukufuru.Hata Biblia katika ufunuo mnyama ambaye ni mamlaka ya kirumi ana jina la makufuru.
Naona umekwepa swali au umeshindwa kujibuMungu anawajua wake na wake hawawezi kuwa farisayo wa kipagani kama wewe!endelea na mjadala wako basi.
Mkuu hili swali umeuliza Mara nyingi sana lkn sijaona hata MTU mmoja akilijibu.Shida iko wapi?Hebu wewe unayejua tuambie sababu ya Luther kupunguza vitabu 7 vya Biblia..
Tuambie sababu iliyompelekea kutaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...
Tupe sababu...