MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Toa uongo wako hapa, kama Biblia ni mali ya kanisa katoliki, kwa nini mambo yenu mengi hayako biblical?
Mambo gani..? Hrbu yataje hayo mambo niyajue..

Mbona mna dogma nyingi sana
Nyingi ngapi ..??

hadi mnalazimisha dogma ziwe doctrines?
Unajua tofauti ya Dogma na Doctrine...?

Na kwa nini mnakiogopa kukifundisha kitabu cha ufunuo ktk makanisa yenu? Mbona mambo yenu mengi ni ya kipagani?
Aliyesema tuogopa ni nani...? Hicho kitabu cha Apokalpse ya Yohana kina nini cha ajabu mpaka kiogopwe kufundishwa...? Unajua lengo la Biblia..?
 
Acha vichekesho wewe...

Biblia yenu mpya (Clear Word Bible) inanesha jinsi mbavyo hamuamini katika Utatu Mtakatifu ila mnaamini ktk Polytheisism...

Hata Ellen G White hakuamini Utatu Mtakatifu..
Hii ngojera imechuja sasa.ukweli umewekqa hadharani na kila mtu amejua nani ni muongo na nani mkweli. Usibishane na neno la Mungu,kamwe hutafanikiwa.
 
Sasa Church Manual kubadilika ni dhambi acha ku quote vitu roborobo ili upotoshe? Hv kanuni za kanisa zikibadilika ni dhambi? Hiyo si ni kama katiba. Acha upotoshaji wa kijinga njoo na proof sio unawaambia watu vitu bila proof.
Huyu jamaa hana anachojua, zaidi ya ubishi na upotoshaji tu.
 
Hujui chochote kuhusu canon. Hujui chochote kuhusu Talmud wala synod wala septugiant. Huyu Martin Luther ni wa juzi, Biblia ni kitabu cha kale na waloongeza na kupunguza vitabu ni haohao wa kale. Shida yako unamponda Martin Luther kwa kuukosoa ukatoliki
Sawa kabisa.Hii elimu muhimu sana kwa hawa wapotoshaji wasio na chembe ya aibu.
 
Biblia yenyewe unayozungumzia hapa ndio kitabu cha Kiada za ziada cha Wakatoliki..
Wakatoliki hawawezi kuamini katika Biblia kwani inaanika wazi uovu wao, bali misale ya waumini na biblia yao wenyewe yenye vitabu vya makabayo na wengine wasiovuviwa.
 
Sawa kabisa.Hii elimu muhimu sana kwa hawa wapotoshaji wasio na chembe ya aibu.

Huyo unayemshabikia amekuja kwa kasi ila kaangukia pua...Vipi wataka kumsaidia...

Haya ni mambo ya Wakristo...msabato hayakuhusu...utajichanganya kama ulivyojichanganya kwenye Utatu Mtakatifu...
 
Hata kama tukikataa kuwa biblia si mali ya kanisa katoliki tutakuwa tunadanganya,kumbuka mpaka unafahamu Martin luther ni kwa sababu alifuzu mafundisho ya kanisa na akawekwa wakfu kuwa Padri,na ndio maana hata alikokwenda aliweza kumudu kuwalisha watu neno la MUNGU kutokana na falsafa na teologia ambayo alikuwa tayari anayo kichwani kumbuka binadamu huendeshwa na wakati Martin Luther alikuwa na nia njema tu ambayo haikuendana na wakati aliokuwa nao yawezekana labda angekuwa flexible na kuyachukulia haya yote kwa upole kama Padre yawezekana kanisa lingechota mambo mengi sana kutoka kwake.

Tukumbuke kanisa limepita katika misukosuko miingi sana si rahisi kila kitu kwamba kanisa lingekifanya kiusahihi,hata leo kanisa linafanya sinodi mbalimbali ili kulipyaisha kanisa kulingana na mahitaji ya wakati husika.Kuanzisha kanisa si suluhisho bali ni kuwanyima watu ukweli ulio mpana zaidi ambao wanastahili kuujua kama waamini.

Tumuombe MUNGU atujalie umoja wa kanisa na kudumisha undugu kama wana wa baba mmoja na chini ya mkombozi mmoja YESU KRISTU BWANA WETU.
 
Nyie endeleeni kubushana! Ninachojua Yesu ni mwokozi, Yesu ni bwana nae ndie anaesamehe dhambi. Bikira mariamu alimzaa Yesu tu
na siamini eti bikira maria atuombee dhambi, hio hapana
 
Nyie endeleeni kubushana! Ninachojua Yesu ni mwokozi, Yesu ni bwana nae ndie anaesamehe dhambi. Bikira mariamu alimzaa Yesu tu
na siamini eti bikira maria atuombee dhambi, hio hapana
Hakuna aliyekulazimisha kuamiamini ila nimefurahi sana ulipokiri Bikira Maria ni mama wa Mungu logically mama hawezi kumuomba mwanaye kitu akamnyima rejea Arusi ya Kana
Uwe na siku njema

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
JET SALLI,
Biblia ni neno ka Mungu, ni mali ya Mungu wala si mali ya kikundi chochote

Acheni upotoshaji.
 
Naninataka niwaondoe shaka watu wanao aminishwa uongo kua bikila malia alipaa mbinguni huu niuongo ulikomaa ..katika oloza yawatu waliopaa mbinguni bikila malia hayumo ..kwanini hayumo nikwasababu hakupaa mbinguni..acheni kulishwa uongo somenibibilia
Bikira Maria hakupaa ila alifanyaje?
 
Hebu wewe unayejua tuambie sababu ya Luther kupunguza vitabu 7 vya Biblia..

Tuambie sababu iliyompelekea kutaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...

Tupe sababu...
Mkuu hili swali umeuliza Mara nyingi sana lkn sijaona hata MTU mmoja akilijibu.Shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom