Hivi mbona bibilia hamutaji kua malia ndio malikia .. Hapo ufunuo unapo pasema hapamutaji kua alikua akisemwa malia.. Labda nikukumbushe tu bibilia haibahatishi nenda kasime katika zabuli uone bibilia imemusema yule malikia alienda kumtembela selemani alietoka katika inchi zambali.. Kwahiyo yule wa inchi zambali ilimkumbuka kumutaja halafu huyu malaia wa nazaleti ikamusahau ..nilishawambia mda mlefu hizo tasubili zenu mnazosoma zinawapotosha malia alikufa kama walivyokufa wengine.. Nakama alikufa kwamjibu wa bibilia amelala usingizi hakuna anchokijua kwasasa .. Ninachowashauli hamisheni maombi yenu muanze kuomba huluma ya yesu tu