MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hivi mbona bibilia hamutaji kua malia ndio malikia .. Hapo ufunuo unapo pasema hapamutaji kua alikua akisemwa malia.. Labda nikukumbushe tu bibilia haibahatishi nenda kasime katika zabuli uone bibilia imemusema yule malikia alienda kumtembela selemani alietoka katika inchi zambali.. Kwahiyo yule wa inchi zambali ilimkumbuka kumutaja halafu huyu malaia wa nazaleti ikamusahau ..nilishawambia mda mlefu hizo tasubili zenu mnazosoma zinawapotosha malia alikufa kama walivyokufa wengine.. Nakama alikufa kwamjibu wa bibilia amelala usingizi hakuna anchokijua kwasasa .. Ninachowashauli hamisheni maombi yenu muanze kuomba huluma ya yesu tu
Anaemuelewa huyu jamaa anisaidie na mimi napata tabu sana kumsoma
 
We jamaa ni tatizo... Kuandika tu hujui... Unatuharibia kiswahili bwana
Jipime na kiswahili chako hapa,
Umeandika we badala ya wewe,
Ukaandika hujui badala ya haujui,
Ondoa boriti jichoni mwaka ndo uwe na sababu ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako
 
Tofautisha kati ya kutojua kuandika na makosa ya kiuchapaji,
Lkn nyuma ya ukosoaji huu uloufanya kumebeba siri kubwa ya ufahamu wako,maana waelewa wanajua kuna typing errors ambazo kimsingi hazibadili maana

Kurudia Malia badala ya Maria zaidi ya Mara 10 ni typing error!!! Biblia anaita BIBILIA zaidi ya kila anapoandika!!! Hakuna typing error hapo anatuharibia kiswahili
 
Jipime na kiswahili chako hapa,
Umeandika we badala ya wewe,
Ukaandika hujui badala ya haujui,
Ondoa boriti jichoni mwaka ndo uwe na sababu ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako
Sasa hii uliokosoa kwangu ndio typing error sijarudia.... Hakuna typing error kama ya jamaa yako....
 
Jamani hili swala lakanisa kathoriki ninayo maswali.mengi sana yakuhoji wanisaidie ili nielewe tena wanisaidie kimaandishi bibilia ikowazi msitake kujua habali zawatu waliokufa maana mkifahmu mtafazaika kisha inaendelea kusema .. mtu aliekufa nisawasawa namtu alie lalausingizi .. Sasanajenga hoja yangu kwabikla malia .bikila malia alishakufa nakama alishakufa inamaana hakuna anachofahamu maana amelala usingizi sasahoja yangu nihii munamwambiaje mtu alielala usingizi awaombee kwa mungu nawakati kuna anchokifahamu ... Jamani hiliswala lipimeni cheo mlichompa malia mbona sikioni kwenyebibilia..hiloandiko lakuwaombea mlilitoa wapi
Tunalo jina kuu kuliko majina yote tena huyu ndie muombezi wetu yesu kirsto ..bibilia inasema hivyo ....sasa wapi andiko bikila malia anatajwa kua muombezi wawatu
Naninataka niwaondoe shaka watu wanao aminishwa uongo kua bikila malia alipaa mbinguni huu niuongo ulikomaa ..katika oloza yawatu waliopaa mbinguni bikila malia hayumo ..kwanini hayumo nikwasababu hakupaa mbinguni..acheni kulishwa uongo somenibibilia

Eti typing error... Typing error ya hivi... Hiki ni kilugha gani!!!! Bikila malia, oloza, haachi nafasi kati ya neno na neno... Typing error hii sio ya dunia hii
 
Kwa hiyo nyie binadamu mnabishana hapa kuwa ni nani kawapa wenzenu mamlaka ya kumwomba Mungu kupitia kwa Bikira Maria lakini nyie mmejihalalishia mamlaka ya kwenda kukesha mkiwapigia magoti akina gwajima/kakobe/lwakatare/frank nani sijui etc ili wawaponye au sio?au hao niliowataja hapo juu ndio miungu wenu?unatoka bukoba huko unakuja kwa gwajima akuombee kama nani?kama wewe unaamini kupitia kwa gwajima utaponywa kuna kosa gani na mwenzio akiamini kupitia kwa Bikira Maria naye ataponywa?Tukio la harusi ya Kana ni mojawapo ya namna ambavyo Mungu alimwinua Bikira Maria au hata jinsi alivyopewa habari za kuwa mama wa Yesu ambaye ndie anakufanya unaitwa MKIRISTO(mfuasi wa Kristo).sasa kama Mungu mwenyewe alimwinua na kumwambia kuwa umebarikiwa wewe ni nani hata umbeze?????kwa maana nyingine mnataka kusema nyie ni bora sana kuliko Mungu sio?anza kwanza kumbeza MUNGU aliyemwinua kabla ya kumbeza binadamu mwenzio maana kama kumwinua Bikira Maria Mungu ndie aliyeanza kumwinua wakati wa kumpasha habari za kupata ujauzito na kumzaa YesuBwana na Mwokozi wetu..
 
kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Mwambie awahi akamuabudu Brian
 
Kaazi ipo..

Yes! Biblia ni maktaba...

Watu waliandika maono, unabii nk nk...Waliandika hayo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu...si kwa matakwa yao

Ukishema watu waliandika basi hiyo kazi ya binadamu na hakuna ushahidi wowote hule kuwa kila mwandishi alipewa uweo na Roho Mtakatifu.

Watu wote walioandika walikuwa wafunzwa na kujifunza kusoma na kuandika. Hivyo walitumia ujuzi wa kazi zao kama vile Luther.
Kaazi ipo..

Yes! Biblia ni maktaba...

Watu waliandika maono, unabii nk nk...Waliandika hayo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu...si kwa matakwa yao
 
Man made kivipi..? Kuwa Yesu ni man made ..daah..mpaka naogopa kuandika...,

Imani ya Kanisa Katoliki ijipambanua kwenye Creed tunayo ikiri kila tunapokutana..
Dini na Yesu ni vitu viwili tofauti. Dini is man made
 
Jamani hivi ninyi wakathorici hayo maandiko ya maria kuwa muombezi wenu munayatowa wapi tupeni na sisi tuyasome siyo mtuletee ha bali za kijiolojia..bibilia haisemi tujifunze kwa kupitia jioloji wala sayansi maana bibilia nikitabu kinacho jitosheleza hakihitaji msaada wa vitabu vingine
Anzisha mada yake tukujibu ...hapa mada ni Martin Luther kupunguza vitabu vya Biblia inayotumika leo na Walokole ...
 
Wewe umeanza ukatoliki toka ukiwa mtoto. Your brain has been wired to think the Catholic way without taking into consideration that religion you dearly believe is man made.
Yes man made kwa maana aliyeanzisha (YESU) alikuwa MTU kweli na Mungu Kweli ....upo hapo?
 
Miaka ya mwanzo makasisi walioa na baadhi ya Popes walikuwa wameoa. Tatizo wakaanza kutumia mali za kanisa kurithisha watoto wao. Undugu urikithiri. Watu waka- promote mpaka watoto wao wa nje kuwa makasisi.

Nikisema dini ni man made mtanipinga sana.
Hicho sio kigezo, ungesema man made through holly spirit aliyeachwa duniani na Yesu Kristo ungeeleweka,kumbuka baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa na familia kabla ya kuungana na Yesu lkn biblia haisemi hizo familia zao ziliishia wapi, mfano Simon Petro.
 
Back
Top Bottom