MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Unahangaika sana ndugu.Hii nguvu unayotumia kufuatilia hadithi za kutunga, ungeitumia kujiuliza kwa nini mnaabudu sanamu wakati Mungu amekataza, hilo lingekuwa la manufaa kwako na wenzako
Jibuni swali kwanza halafu hayo mengine ongeza badaye
 
Mkuu hili swali umeuliza Mara nyingi sana lkn sijaona hata MTU mmoja akilijibu.Shida iko wapi?
Mkuu, hawezi kujibu maana wataumbuka...

Sasa baadhi ya vitabu kama Wamakabayo na Tobit vimepatikana "dead Sea Scroll"..... Luther ataumbuka muda si mrefu
 
Mkuu, hawezi kujibu maana wataumbuka...

Sasa baadhi ya vitabu kama Wamakabayo na Tobit vimepatikana "dead Sea Scroll"..... Luther ataumbuka muda si mrefu
Luther hawezi kuumbuka alishalala mauti miaka mingi iliyopita anasubiri parapanda ya mwisho kuwaamsha waliolala mauti, wengine kwa uzima wa milele na wengine hukumu ya milele. " msistaajabie maneno hayo; kwa maana sa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake.Nao watatoka,wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu" (Yohana 5:28-29). Siku hiyo wafu wote akiwemo Mariamu, Abrahamu, Daudi, Petro,Yakobo, Yohana na watakatifu wengine wataisikia sauti ya Bwana wao na kuamka toka kaburini.
 
[QUOTE="Kituko, post

Kaka Kitaja , Biblia iko wazi kabisa, mwandishi wa Ufunuo anaelezea kwa wazi kabisa shida waliyokuwa wanaipata wayahudi chini ya utawala wa NERO (666)

Biblia ipo wazi kabisa kuhusu ibada ya sanamu

Tuondoleeni hadithi za Nero hapa. Kinachoongelewa katika ufunuo 13:17-18 Ni mamlaka ya kidini yenye nguvu za kisiasa pia. Hapa kuna mamlaka inalazimisha watu waisujudie sanamu ya mnyama na atakayekataa atauawa, hivyo kinachozungumziwa hapa ni ibada ya uongo dhidi ya ibada ya kweli.Mfalme Nero anajulikana kuwa alikuqa mpagani hakuwa na mamlaka ya kidini. Na pia andiko hili halilengi mtu "individual" bali mamlaka.Hivyo mnyama anayezungumziwa hapa ni mamlaka ya upapa kwani ina nguvu za kidini na kiserikali pia na pia ni utawala unaodumu hadi wakati Yesu arudipo.Hiyo 666 ni VICARIUS FILII DEI cheo anachotumia Papa. Huyo Nero alishakufa siku nyingi na utawala wake ulishakufa siku nyingi.acheni kupotosha[/QUOTE]
Dah, umetisha umemeza mulemule, sema nakushaur kabla hujasoma kitabu chochote katika biblia soma historia yake kiliandkwa lin? Kitabu cha ufunio ni maandishi ya kiapokalipto/kiufunuo ambapo yohana alitumia kodi au lugha ya picha kuwafariji wakristu kipind kile waliokua wanateswa na kunyanyasika katika utawala wa mfalme nero.....
 
Tuondoleeni hadithi za Nero hapa. Kinachoongelewa katika ufunuo 13:17-18 Ni mamlaka ya kidini yenye nguvu za kisiasa pia. Hapa kuna mamlaka inalazimisha watu waisujudie sanamu ya mnyama na atakayekataa atauawa, hivyo kinachozungumziwa hapa ni ibada ya uongo dhidi ya ibada ya kweli.Mfalme Nero anajulikana kuwa alikuqa mpagani hakuwa na mamlaka ya kidini. Na pia andiko hili halilengi mtu "individual" bali mamlaka.Hivyo mnyama anayezungumziwa hapa ni mamlaka ya upapa kwani ina nguvu za kidini na kiserikali pia na pia ni utawala unaodumu hadi wakati Yesu arudipo.Hiyo 666 ni VICARIUS FILII DEI cheo anachotumia Papa. Huyo Nero alishakufa siku nyingi na utawala wake ulishakufa siku nyingi.acheni kupotosha
Dah, umetisha umemeza mulemule, sema nakushaur kabla hujasoma kitabu chochote katika biblia soma historia yake kiliandkwa lin? Kitabu cha ufunio ni maandishi ya kiapokalipto/kiufunuo ambapo yohana alitumia kodi au lugha ya picha kuwafariji wakristu kipind kile waliokua wanateswa na kunyanyasika katika utawala wa mfalme nero.....[/QUOTE]
Mtarukaruka sana lakini Neno la Mungu liko pale pale. Mnyama wa ufunuo 13 na 14 ni papa, kahaba wa ufnuo 17:15 ni kanisa katoliki chini ya papa, pembe ndogo inayoazimu kubadili amri za Mungu ni papa Daniel 7:25.Chukizo la uharibifu lisimamalo mahali patakatifu alilolitaja Yesu Kristo ni mamlaka ya kirumi na upapa, Mathayo 24:15. Mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu, yule pingamizi,ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu,ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kama kwamba ndiye Mungu(2 Wathesalonike 2:2-4).

Ukisoma kwa makini aya zote hizi zinazungumzia kanisa katoliki chini ya papa. Ni kanisa hili pekee limethubutu kubadili amri za Mungu (Daniel7:25).Kiongozi wa kanisa hili, papa hujiita mbadala wa Kristo, "Vicarius Filii Dei", yaani Vicar of the Son of God.Na katika ufunuo 13: 18 Ndipo tunaipata ile namba 666 ambayo ni jumla ya herufi za kirumii katika cheo anachojiita papa yaani VICARIUS FILII DEI. Ndiyo maana Biblia katika ufunuo 13 inasema " ana majina ya makufuru".Ukiangalia ibada za kikatoliki papa anaabudiwa kama Mungu "makufuru". Yesu aliita chukizo la uharibifu,.Paulo alimwita mwana wa kuasi.Yohana namwita Kahaba Mkuu.
 
Dah, umetisha umemeza mulemule, sema nakushaur kabla hujasoma kitabu chochote katika biblia soma historia yake kiliandkwa lin? Kitabu cha ufunio ni maandishi ya kiapokalipto/kiufunuo ambapo yohana alitumia kodi au lugha ya picha kuwafariji wakristu kipind kile waliokua wanateswa na kunyanyasika katika utawala wa mfalme nero.....
Mtarukaruka sana lakini Neno la Mungu liko pale pale. Mnyama wa ufunuo 13 na 14 ni papa, kahaba wa ufnuo 17:15 ni kanisa katoliki chini ya papa, pembe ndogo inayoazimu kubadili amri za Mungu ni papa Daniel 7:25.Chukizo la uharibifu lisimamalo mahali patakatifu alilolitaja Yesu Kristo ni mamlaka ya kirumi na upapa, Mathayo 24:15. Mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu, yule pingamizi,ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu,ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kama kwamba ndiye Mungu(2 Wathesalonike 2:2-4).

Ukisoma kwa makini aya zote hizi zinazungumzia kanisa katoliki chini ya papa. Ni kanisa hili pekee limethubutu kubadili amri za Mungu (Daniel7:25).Kiongozi wa kanisa hili, papa hujiita mbadala wa Kristo, "Vicarius Filii Dei", yaani Vicar of the Son of God.Na katika ufunuo 13: 18 Ndipo tunaipata ile namba 666 ambayo ni jumla ya herufi za kirumii katika cheo anachojiita papa yaani VICARIUS FILII DEI. Ndiyo maana Biblia katika ufunuo 13 inasema " ana majina ya makufuru".Ukiangalia ibada za kikatoliki papa anaabudiwa kama Mungu "makufuru". Yesu aliita chukizo la uharibifu,.Paulo alimwita mwana wa kuasi.Yohana namwita Kahaba Mkuu.[/QUOTE]
G. White
 
Sasa ni vitabu gani vimekuwa hidden.. ??

Apokrifa books zinajulikana bana ...(Tatizo unachanga Deuterokanoni books na Apokrifa)

Apokrifa mf. zipo Injili 20..., maana wakati wa ukusanyaji wa Biblia kulikuwa na Injili 24 ila zikachaguliwa 4 tuu...Sasa zile zilizobaki 20 ndio tunaita Apokrifa...Au Apokrifa Gospel
Wape shule maana wamezoea uongo unaofanana na ukweli ...
 
Wakatoliki hawawezi kuamini katika Biblia kwani inaanika wazi uovu wao, bali misale ya waumini na biblia yao wenyewe yenye vitabu vya makabayo na wengine wasiovuviwa.
Unajua kazi ya misale wewe? To be deep in history is to cease to be protestant ....
 
Nyie endeleeni kubushana! Ninachojua Yesu ni mwokozi, Yesu ni bwana nae ndie anaesamehe dhambi. Bikira mariamu alimzaa Yesu tu
na siamini eti bikira maria atuombee dhambi, hio hapana
Ila mchungaji wako anaweza kukuombea? Bikira Maria ni mwombezi wetu kama ilivyo kwa watakatifu wengine. Hili ni Kanisa ambalo lipo hai mbinguni kwa Baba ...sio wafu kama mnavyoaminishwa ....pale Yesu alipotokewa na Musa , Eliya kumtia moyo kabla ya kukamatwa na kuteswa nyie ndugu zetu si mngesema Yesu katokewa na wafu?
 
Biblia ni neno ka Mungu, ni mali ya Mungu wala si mali ya kikundi chochote.Acheni upotoshaji.
Biblia yenyewe haijajipa mamlaka ya kuwa ndio msingi pekee wa imani lakini Biblia inakiri Kanisa ndio msingi wa ukweli ...Kanisa ndio limezaa Biblia kwavile Kanisa linaongozwa na Roho Mtakatifu ....ndio maana Kanisa la kwanza mitume hawakuwa Biblia ....mafunuo ya Mungu hayakukomea kwenye Biblia ndio maana Yesu alituhaidi kutuachia Roho Mtakatifu ambaye ndiye anayeongoza Kanisa ... Biblia yenyewe inakiri " This is the church of the living God, which is the pillar and foundation of the truth" 1Timothy 3:15 ....
 
Ila mchungaji wako anaweza kukuombea? Bikira Maria ni mwombezi wetu kama ilivyo kwa watakatifu wengine. Hili ni Kanisa ambalo lipo hai mbinguni kwa Baba ...sio wafu kama mnavyoaminishwa ....pale Yesu alipotokewa na Musa , Eliya kumtia moyo kabla ya kukamatwa na kuteswa nyie ndugu zetu si mngesema Yesu katokewa na wafu?
Eliya inajulikana alipaa mbinguni, Musa alifufuliwa na Mungu alimtwaa. Binadamu mwingine aliyepaa mbinguni ni Henoko, pia kundi la watakatifu waliofufuliwa pamoja na Kristo wakati wa ufufuo wake. Zaidi ya hapo hakuna binadamu mwingine aliyepaa mbinguni. Wote wamelala kaburini wanasubiri ufufuo,Yesu ajapo.
 
Ona huyu! Yesu mwenyewe alitumia Biblia katika mafundisho yake, kitabu cha matendo ya mitume kinasifia watu walioitwa waberoya kwa hekima na kusoma maandiko ili kulinganisha na yale yaliyohubiriwa na mitume. Kunyamaza kunaficha mengi kuliko kujifanya mjuaji wakati hujui.
 
Eliya inajulikana alipaa mbinguni, Musa alifufuliwa na Mungu alimtwaa. Binadamu mwingine aliyepaa mbinguni ni Henoko, pia kundi la watakatifu waliofufuliwa pamoja na Kristo wakati wa ufufuo wake. Zaidi ya hapo hakuna binadamu mwingine aliyepaa mbinguni. Wote wamelala kaburini wanasubiri ufufuo,Yesu ajapo.
Bikira Maria hakupaa mbinguni ila alipalizwa mbinguni....
 
Luther hawezi kuumbuka alishalala mauti miaka mingi iliyopita anasubiri parapanda ya mwisho kuwaamsha waliolala mauti, wengine kwa uzima wa milele na wengine hukumu ya milele. " msistaajabie maneno hayo; kwa maana sa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake.Nao watatoka,wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu" (Yohana 5:28-29). Siku hiyo wafu wote akiwemo Mariamu, Abrahamu, Daudi, Petro,Yakobo, Yohana na watakatifu wengine wataisikia sauti ya Bwana wao na kuamka toka kaburini.
Ndio mafundisho ya Kisabato hayo ehh....???
 
Ndio mafundisho ya Kisabato hayo ehh....???
Pole sana inainyesha huamini Biblia.Mafungu niliyoweka hapo yote yanatoka katika Biblia. Maria ni mfu, mkipigia magoti sanamu yake, jueni mnaabudu mfu. "Kufuru ilioje" Ndiyo maana Biblia inasema kanisa hili limejaa makufuru.
 
Eliya inajulikana alipaa mbinguni, Musa alifufuliwa na Mungu alimtwaa. Binadamu mwingine aliyepaa mbinguni ni Henoko, pia kundi la watakatifu waliofufuliwa pamoja na Kristo wakati wa ufufuo wake. Zaidi ya hapo hakuna binadamu mwingine aliyepaa mbinguni. Wote wamelala kaburini wanasubiri ufufuo,Yesu ajapo.
Yesu pale msalabani alipomuhaidi yule mwivi kuwa leo hii utakuwa nami kwa Baba unajua maana yake? Kama wewe ni Mkristo alafu huamini kama ukifa katika hali ya neema unaenda mbinguni direct basi tumaini lako ni Bure. Ufufuo unaozungumzia unajua maana yake? Inaonesha hata ufunuo wa Yohana hamuuelewi ....subiri Bruda Otorong'ong'o awakate shule akili zenu zifunguke ....
 
Wapi uliposoma ya kuwa Musa alifufuliwa na Mungu?
Ila mchungaji wako anaweza kukuombea? Bikira Maria ni mwombezi wetu kama ilivyo kwa watakatifu wengine. Hili ni Kanisa ambalo lipo hai mbinguni kwa Baba ...sio wafu kama mnavyoaminishwa ....pale Yesu alipotokewa na Musa , Eliya kumtia moyo kabla ya kukamatwa na kuteswa nyie ndugu zetu si mngesema Yesu katokewa na wafu?
 
Ndio mafundisho ya Kisabato hayo ehh....???
Pole sana inanyesha huamini Biblia.Mafungu niliyoweka hapo yote yanatoka katika Biblia. Maria ni mfu, mkipigia magoti sanamu yake, jueni mnaabudu mfu. "Kufuru ikioje" Ndiyo maana Bibli
Yesu pale msalabani alipomuhaidi yule mwivi kuwa leo hii utakuwa nami kwa Baba unajua maana yake? Kama wewe ni Mkristo alafu huamini kama ukifa katika hali ya neema unaenda mbinguni direct basi tumaini lako ni Bure. Ufufuo unaozungumzia ni miili ila Roho zao zipo kwa Baba sasa.
Ile ilikuwa ni ahadi, "nakuambia leo hivi, utakuwa nami peponi". Ahadi hii ni kwa yeyote amwamimiye Yesu awe hai ama amekufa ahadi itatimia mara tu Yesu ajapo. "Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao walalao mauti,msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.Maana,ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka,vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu, nao walikifa katika Kristo watafufuliwa kwanza, kisha sisi tulio hai, tuliosalia,tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu,ili tumlaki Bwana hewani, na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.( 1 wathesalonike 4:12-16).
Soma kwa makini mafungu hayo ya Biblia. Inasema tutakuwa na Bwana milele, kama Yesu alivyomwahidi yule mwizi kuwa atakuwa naye peponi, hii ahadi hukamilika Yesu ajapo.

Msijidanganye kwa hadithi za kiroma ili kuhalalisha ibada ya wafu.someni Biblia wenyewe msingoje kuhadithiwa Padri.
 
Yesu pale msalabani alipomuhaidi yule mwivi kuwa leo hii utakuwa nami kwa Baba unajua maana yake? Kama wewe ni Mkristo alafu huamini kama ukifa katika hali ya neema unaenda mbinguni direct basi tumaini lako ni Bure. Ufufuo unaozungumzia unajua maana yake? Inaonesha hata ufunuo wa Yohana hamuuelewi ....subiri Bruda Otorong'ong'o awakate shule akili zenu zifunguke ....
Goooood....[emoji106]
[emoji106]
 
Back
Top Bottom