Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Naomba hilo fungu la biblia tafadhalibiblia Inakiri Maria alipata upendeleo wa kumpitisha Masihi kwaneema tu, sio kwamba alistahili kuliko binadamu wengine,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba hilo fungu la biblia tafadhalibiblia Inakiri Maria alipata upendeleo wa kumpitisha Masihi kwaneema tu, sio kwamba alistahili kuliko binadamu wengine,
Kwanini yeye apendelewe?lakini pia isingewezekana wanawake wote wacha Mungu wamzae mtu mmoja. Hivyo Neema(upendeleo)ulimtulia Maria.
Wewe unayaelewa? Nani kwambia mimi siyaelewi?Wee jamaa huko unakoelekea siko kabisa! Ukituambia huwa mwanamke ni maria itabidi utufungulie fumbo hili gumu pasi na shaka vinginevyo usitumie mafunuo ambayo huyaelewi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wayaelewa kweli hebu tufumbulie na utuhusianishie mwanamke huyo wa kimaono na Maria. Tujuze pia atawezaje kuvikwa jua halafu chini mwezi. Hebu tupe maana hata Catholic Mary huwa baadhi ya picha kazungushiwa nyota sawa sawa na nyota zilizoko kwenye bendera ya E.U (Europa)Wewe unayaelewa...??? Nani kwambia mimi siyaelewi...???
Hebu nifuatilie toka mwanzo naona umekuja kwa kasi sana...
Akikujibu hili swali mimi ntahama nchi 😂Kama wayaelewa kweli hebu tufumbulie na utuhusianishie mwanamke huyo wa kimaono na Maria. Tujuze pia atawezaje kuvikwa jua halafu chini mwezi. Hebu tupe maana hata Catholic Mary huwa baadhi ya picha kazungushiwa nyota sawa sawa na nyota zilizoko kwenye bendera ya E.U (Europa)![]()
Jamani nyinyi wakatoliki vipofu wa kiroho Yesu hakuacha secretary ambaye cc twapaswa kupitia kwake ili sasa yeye apeleke maomb yetu kwa Yesu.....Yesu kwa uwazi kabisa alisema lolote muombalo kwa jina langu mtapewa.....huyo maria ni marehemu anaesubiri siku ya mwsho kama ilivyo kwa wengine mmeng'ang'ana na fundisho la haruc ya kana ilhali baada ya hapo Yesu kuna mengi tu aliyafanya pasipokuombwa na mama yake rejea ile habar yakuwalisha maelfu samaki na mikate jeeee kuna mtu alimwendea mama yake ili awaombee kwa mwanayeUtuombee sisi wakosefu... Tatizo nyie mwajifanya watakatifu
Una uhakika kwamba wewe ni mwafrika? Pia, una hakika kwamba wewe asili yako ni Afrika? Lakini, je unaweza kuthibitisha kwamba matatizo ya wafrika ni kwasababu ya kutokuwa na dini yao? Na kama ni hivyo, hiyo dini ya waafrika mwanzilishi wake ni nani?Kwa nini tulitwaliwa utumwa kwa miaka zaidi ya 300 na hatukujitetea?
2. Kwa nini na kivipi hatuna dini yetu rasmi kama watu wa Africa?
3. Inakuwa vipi hatuna lugha rasmi kama waafrica ambayo ingetumika kuhifadhi historia yetu?
Ndio nashangaa vitabu vya Mungu, vinafutwa na mtu!!Wakuu mbona mnabishanana sana wakati wazungu walioleta dini/ madhehebu hayo wakila bata na kupiga hatua za maendeleo kila kukicha?, cha msingi Naona kila mtu abaki na iman yake kukosoana na kutokwa na mapovu namna hii utadhan tulikuwepo wakati biblia inaandikwa hakuna maana. Kila mmoja asidharau iman ya mingine na hakuna aliye bora kuliko mwenzake as long as wote mmeumbwa kwa mf na sura ya Mungu