MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

Mkuu Kwanini Hapa Tanzania Watu Wanasubiri Mvua Inyeshe Ndo Walime Wakati Tuna Mito Na Maziwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Wa Msimu Kama Ni Nyanya Au Mboga Za Majani Utakuta Mbei Ndogo Sana Mpka Ushangae Msimu Ukiisha Vitu Bei Kubwa Kwanini Tusiweze Kutengeneza Kitu Cha Kuhifadhi Kwa Muda Mrefu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Uongozi Usianzie Kwenye Familia, Uanzie Juu Selikarini Yani Unavyoona Watu Kuna Pahala Kuna Imani za Kishirikina Ujue Huko Maendeleo Watu Wanaishi Kama Wanyama

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ajabu na wataalam wapo...
Tatizo ni nini unadhani!?
Tatizo lipo mpaka kwa wataalamu wetu wao wanatumia ushauri wa mazingira tunayoweza kuishi kwa urahisi akikwambia acha sukari utafurahi kusikia hivyo maana inapunguza gharama za kununua sukari kwa kisingizio sukari haifai wakati sukari ni lazima na siyo muhimu Bali ni lazima ila sukari asilia, na upande wa vitu vingine hivyo hivyo mfano niliosema wa mafuta hivyo hivyo butter original ya wanyama ni Bora kwa protein kuliko hata mayai na maziwa lakini Leo tunalia mafuta hakuna na tunajumlisha mafuta ya mgando ya kupikia yaliyotengezwa kwa mimea ni mabaya, wakati ya wanyama ni mazuri na wenzetu weupe ndo wanatumia kupikia vyakula vyao, gee imejaa tu madukani na butter na cheese vyote ni mafuta ila vinauzwa ghali kwa vile wananunua weupe tu kwa afya zao ila tungetumia na sisi na wataalamu wakashauli tungepata kwa bei ndogo na akili zetu zikawa na kiwango kizuri, hata hizo olive sijui zaituni zingelimwa kwa wingi.
 
Some Africans are stupid AF
 
Maendeleo ndio hayo ya uboreshaji wa vitu vya zamani kuwa vya kisasa mkuu......kutoka nyumba za nyasi kwenda za cement......kutoka kupanda punda mpaka magari....kutumia mitishamba mpaka dawa za hospitali.....kutuma barua mpaka kutumia simu..... Na hivyo vyote tumeletewa kutoka Ulaya ...... Mi nimeishi kijijini ambako tulikuwa tunatembea peku peku bila viatu...Kuishi nyumba za tembe..kupikia kuni..... naelewa maisha yalivyokuwa magumu......kupata mia 5 ya kununua hata sabuni ni shughuli....acha kabisa fikiria uko kwenye nyumba ya udongo yatokee mafuriko hali itakuwaje........
 

Kwanini hapo hapi Mzungu, mhindi mwaraabu anatajirika, fursa?
 
Ndo umejibu nini hapa.huyo mansa mussa naye mwenyewe huo utajiri wake ulitokana na kujimilikisha mali za Mali empire.Hoja ya mtoa mada haiwezi kujibiwa kwa hoja rahisi hivyo kwasababu hali ya waafrika ni ngumu zaidi ukilinganisha na jamii zingine.Tatizo letu halitatuliki kwa kuangalia mtu mmoja mmoja bali jamii nzima.
 
WEWE UNAPASWA KUTUMIA PUNDA KUJA MJINI, WALA SI GARI
KWA VILE HUKO UNAPOISHI HAKUJAKUWA NA BARABARA BADO.
Hiyo ni njia ya punda na magari ya punda na Ngombe.
Unafosi kupitisha gari kisha unawalaumu Wazungu , au Viongozi.
Kweli Waafrika tunashindwa hata kuwa na fikara sahihi.
 
Uzalendo haupo, kila mtu anapigania tumbo lake. Angalia waliopewa mashirika ya Umma wakati wa mwalimu, kila mtu alichukuwa chake mapema, SU= soma ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya Research kidogo angalia Nchi za Watu wanaokula Ugali for Breakfast,Lunch n Dinner angalia na Umasikini na IQ zao.

After all huu Ugali tumeletewa na Wareno i mean Wamisionari wa Kireno.
Mkuu umesoma biochemistry? Unaijua kazi ya thiamine?
 
Chanzo cha umasikini ni laana za mababu waliojiconnect na mizimu.Ili kuutokomeza umasikini ni kukata connection na mizimu. Familia zote au Jamii zote zisizona connection na mizimu zipo njema. Kwann.
Mizimu haitaki maendeleo kwani kupitia maendeleo watu wataelimika na kustaarabika nao wataacha kuabudu mizimu.
Hivyo umasikini ni negative power nayo uambukiza uthibisho ukikaa na watu au mitaa masikini baada ya mda utaaiga tabia zao nawe utacopy automatic utakuwa masikini. Umasikini ni tabia na sio asilia.
 
Kwanza ieleweke watawala wa kiafrica wote wanafanana uongo na propaganda ndio sifa yao kuu. Wao huwa awaangalii asili ya tatizo bali kudakia tatizo Ili kujifichia udhaifu wa kushindwa kwao. Vita upiganwa ukraine ni mbali mafuta uagizwa toka middle east, kwa akili ya kawaida tu ni uongo.
 
Sababu ni zilezile:
1: ignorance and encompitance
2: Lack of capital
3: poor leadership and governance
4: infeliority complex
5: lazyness and lack of self discipline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…