MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

Popote penye mtu mweusi basi ni matatizo matupu...angalia kule Haiti hali ilivyo, nenda kusini mwa America alafu angalia maisha ya mtu mweusi.
Mpka leo sijajua hii rangi ina matatizo gani!
Mkuu tujiangalie mimi na wewe. Je tuna mipango ya miaka 10 mbele? Kama hamna tujitafakari.
 
Hizi mambo theoretically ni rahisi kuzitaja na kudhani zitafanya kazi kama ulivyotegemea.
Kwenye practical unakutana na matatizi mengine zaidi...
Ni ngumu sana kuwa na taasisi huru kwenye jamii ya watu ambao bado elimu yao ni duni,
kama profesa anaitwa nonsense na bado anasujudu kwa form four failure na open uni
nadhani elimu ianzie ngazi ya familia ya kujitambua, na sio kudhani shule ndio itakufanya uelimike.
NONESENSE kwa kweli njaa mbaya. I think you summed up the whole thing.
 
Real good contribution kila kitu ni jinsi unavyokiona. Ila mmasai anaweza kula green matibabu? sehemu anayolala?, maji anayokunywa ni salama?
Umeanza kuja ninapopataka tuongelee usalama wa maji na matibabu kabla ya sehemu anayolala na sustainability....

Moja siungi mkono sana mmasai anavyoishi sababu idadi yao ikiongeza ni impractical na sio sustainable (atahitaji ardhi kubwa na uharibifu utakuwa mkubwa) Bali kwa sasa mmasai huenda maji anayokunywa ni salama kuliko wewe..., Kwanini !!!, Kama anakunywa maji ya mto au mvua hayo ni salama kuliko maji ambayo unadhani ni salama wakati ni dumping ground ya sewage, uchafu wa viwandani na kila aina ya takataka (sababu dunia ya sasa badala ya ku-treat maji kwanza ni kwamba yanakwenda moja kwa moja hukom ndio maana taasisi za maji zinatumia madawa kila leo au watu kutumia bottled water kwamba ni usasa ; Je hayo ni better kuliko natural ? (sio bahati mbaya kuna vimagonjwa vimezidi siku hizi watu wanakula sumu si kawaida)

Kwahio huenda mmasai sio sahihi 100% (sababu maisha yake sio sustainable numbers zikiwa nyingi) ila na huko tunakoelekea pia tunapotea (hatuishi sustainably kulingana na mazingira yetu) which means hata hao unaowasifia kwamba ndio wanafaa maisha ya kuishi ndio wanaoongoza kupunguza lifespan ya hii dunia (short term gains for long term sufferings)

Kwenye Matibabu nimeona watu wanafia reception sababu hawana BIMA, sijawahi kusikia mmasai kule kwao anakosa jani la kutibu hiki au kile (though simaanishi wasijenge zahanati na kuboresha wanachojua, sababu miti shamba pekee hata kama inatibu haiweze ikawa mass produced kumsaidia kila mtu)....

Tatizo sio rangi ni culture... and culture takes time either kuharibika au kutengemaa..., Egypt walikuwa wamepiga hatua sana kwenye civilization duniani, ila machafuko yaliyotokea na vizazi vinavyozaliwa kwenye hayo machafuko usitegemee kwamba vizazi vijavyo vitakuwa bora kama ancestors wao....
 
Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla.

Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini hasa alimaanisha je ni ile bei ya pump pale sheli au alimaanisha tozo zilizopo katika mafuta?

Ila kikubwa hapa kwa nini nchi za Afrika haziendelei nini tatizo rasilimali zipo, watu wapo na serikali sikivu zipo lakini hali si nzuri sasa hivi vita ipo Ukraine, Ethiopia, Somalia, madagascar hali si shwari.

Wapi Serikali au nchi zetu zinakosea?

Tafadharini tusaidiane kimawazo, Makamba akipita hapa tuwe tumemwongezea kitu. Karibuni.

Hii series ni kulingana na uzito:

  • Uchawi na Ushirikina.
  • Fitina na Ubaya.
  • Chuki na Visasi.
  • Laana....

Dark continent
 
Hizi mambo theoretically ni rahisi kuzitaja na kudhani zitafanya kazi kama ulivyotegemea.
Kwenye practical unakutana na matatizi mengine zaidi...
Ni ngumu sana kuwa na taasisi huru kwenye jamii ya watu ambao bado elimu yao ni duni,
kama profesa anaitwa nonsense na bado anasujudu kwa form four failure na open uni
nadhani elimu ianzie ngazi ya familia ya kujitambua, na sio kudhani shule ndio itakufanya uelimike.
Ila hizi stable institution ZINAWEZEKANA katiba iki stipulate kabisa Rais hana influence kwenye uendeshaji.
 
Pia watu weusi tunatatizo la kuvumila shida badala ya kuzitatua. Mtu anashida kibao eti anaamuachia Mungu kweli!!

Common Phrases Tanzania
1. Sa nitafanyaje? - ukukashika tama
2. Hamna namna
3.Tumuachie Mungu nk.
 
Yawezekana ikasaidia kwa kiwango chake kama itakuwa na uwezo wa kujilinda,
kwa sababu hata iliyopo sidhani kama inafuatwa angalau kwa asilimia 50.
 
Umeanza kuja ninapopataka tuongelee usalama wa maji na matibabu kabla ya sehemu anayolala na sustainability....

Moja siungi mkono sana mmasai anavyoishi sababu idadi yao ikiongeza ni impractical na sio sustainable (atahitaji ardhi kubwa na uharibifu utakuwa mkubwa) Bali kwa sasa mmasai huenda maji anayokunywa ni salama kuliko wewe..., Kwanini !!!, Kama anakunywa maji ya mto au mvua hayo ni salama kuliko maji ambayo unadhani ni salama wakati ni dumping ground ya sewage, uchafu wa viwandani na kila aina ya takataka (sababu dunia ya sasa badala ya ku-treat maji kwanza ni kwamba yanakwenda moja kwa moja hukom ndio maana taasisi za maji zinatumia madawa kila leo au watu kutumia bottled water kwamba ni usasa ; Je hayo ni better kuliko natural ? (sio bahati mbaya kuna vimagonjwa vimezidi siku hizi watu wanakula sumu si kawaida)

Kwahio huenda mmasai sio sahihi 100% (sababu maisha yake sio sustainable numbers zikiwa nyingi) ila na huko tunakoelekea pia tunapotea (hatuishi sustainably kulingana na mazingira yetu) which means hata hao unaowasifia kwamba ndio wanafaa maisha ya kuishi ndio wanaoongoza kupunguza lifespan ya hii dunia (short term gains for long term sufferings)

Kwenye Matibabu nimeona watu wanafia reception sababu hawana BIMA, sijawahi kusikia mmasai kule kwao anakosa jani la kutibu hiki au kile (though simaanishi wasijenge zahanati na kuboresha wanachojua, sababu miti shamba pekee hata kama inatibu haiweze ikawa mass produced kumsaidia kila mtu)....

Tatizo sio rangi ni culture... and culture takes time either kuharibika au kutengemaa..., Egypt walikuwa wamepiga hatua sana kwenye civilization duniani, ila machafuko yaliyotokea na vizazi vinavyozaliwa kwenye hayo machafuko usitegemee kwamba vizazi vijavyo vitakuwa bora kama ancestors wao....
Mkuu Ufugaji Wa Kuhama Kama Hao Masai Ng'ombe Hawezi Kuwa Na Afya Nzuri kwanini Wasiwekewe Sehemu Nzuri Waletewe Chakula Kuliko Kuwatembeza Kwenye Jua?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Umeanza kuja ninapopataka tuongelee usalama wa maji na matibabu kabla ya sehemu anayolala na sustainability....

Moja siungi mkono sana mmasai anavyoishi sababu idadi yao ikiongeza ni impractical na sio sustainable (atahitaji ardhi kubwa na uharibifu utakuwa mkubwa) Bali kwa sasa mmasai huenda maji anayokunywa ni salama kuliko wewe..., Kwanini !!!, Kama anakunywa maji ya mto au mvua hayo ni salama kuliko maji ambayo unadhani ni salama wakati ni dumping ground ya sewage, uchafu wa viwandani na kila aina ya takataka (sababu dunia ya sasa badala ya ku-treat maji kwanza ni kwamba yanakwenda moja kwa moja hukom ndio maana taasisi za maji zinatumia madawa kila leo au watu kutumia bottled water kwamba ni usasa ; Je hayo ni better kuliko natural ? (sio bahati mbaya kuna vimagonjwa vimezidi siku hizi watu wanakula sumu si kawaida)

Kwahio huenda mmasai sio sahihi 100% (sababu maisha yake sio sustainable numbers zikiwa nyingi) ila na huko tunakoelekea pia tunapotea (hatuishi sustainably kulingana na mazingira yetu) which means hata hao unaowasifia kwamba ndio wanafaa maisha ya kuishi ndio wanaoongoza kupunguza lifespan ya hii dunia (short term gains for long term sufferings)

Kwenye Matibabu nimeona watu wanafia reception sababu hawana BIMA, sijawahi kusikia mmasai kule kwao anakosa jani la kutibu hiki au kile (though simaanishi wasijenge zahanati na kuboresha wanachojua, sababu miti shamba pekee hata kama inatibu haiweze ikawa mass produced kumsaidia kila mtu)....

Tatizo sio rangi ni culture... and culture takes time either kuharibika au kutengemaa..., Egypt walikuwa wamepiga hatua sana kwenye civilization duniani, ila machafuko yaliyotokea na vizazi vinavyozaliwa kwenye hayo machafuko usitegemee kwamba vizazi vijavyo vitakuwa bora kama ancestors wao....
Mkuu maji ya mvua na mto si salama hata kidogo. Hapo tukubaliane kwa sababu yanakusanya taka zote unazozijua na hazichujwi. Mbali na kutokuwa hayachujwi nikiwa shule tulifanya mambo ya ku grow bacteria. Unaambiwa tu weka finger print kwenye plate halafu ikifanyiwa incubation unapigwa na butwaa vitu tunavyokuwa navyo kwenye mikono hata kama unaiona ni misafi. Mmasai hanywi maji salama. Ukiicheck clear water katika slide ya darubini utaona namaanisha nini.
Matibabu ni kigezo cha maendeleo, ukianguka na pikipiki utapata huduma? je dawa zipo? Bima sawa lakini basic ipo? na je unapokuwa na bima ma specialist unaweza kuwaona na wapo? Mama akitaka kujifungua kwa operation huduma ipo? ukizungumzia mizizi na appreciate sana ni muhimu lakini kuna mambo haifanyi.
 
Hii series ni kulingana na uzito:

  • Uchawi na Ushirikina.
  • Fitina na Ubaya.
  • Chuki na Visasi.
  • Laana....

Dark continent
Mkuu tufanye nini kwa sababu hizi ndio sababu zinazotuchelewesha. Haya mambo hata kwa wazungu lakini yakaisha je ni elimu watu waelimishwe?
 
Umaskini wetu umetoka a na kutojitambua kwa viongozi WA bara Zima la Africa
Africa Ina potential kubwa sana lakini viongozi wanapewa chambo ndogondogo na mabeberu na kujali interest ndogo ndogo zao binafsi na nchi Moja Moja
Kitakachoikoa Africa ni umoja na ushirikiano WA karibuu
 
Pia watu weusi tunatatizo la kuvumila shida badala ya kuzitatua. Mtu anashida kibao eti anaamuachia Mungu kweli!!

Common Phrases Tanzania
1. Sa nitafanyaje? - ukukashika tama
2. Hamna namna
3.Tumuachie Mungu nk.
Tuna matatizo mengi ya kimtazoma, dignity, ethics, morality.
Na haya yanakuwa na contradiction nyingi kwenye maisha yetu na choice zetu.
Haya ndio yanaenda ku-determine evil and good, ukienda kwenye kuziapply kwenye
uchumi wa dunia unaonekana umepotoka.
Mtanzania akimaliza chuo akaajiriwa anatakiwa asaidie ukoo wake au angalau wazazi wake,
Ulaya mzazi akija kukutembelea anasema anakaa siku ngapi na possibly hutamuacha nyumbani
akae unamchukulia chumba kwenye hotel.
Japan ni nchi inayoongoza kwa watu kujinyonga, kwanini!? Wanasheria ambazo ni hash kiasi
kwamba ukikutwa na makosa haya ya ubadhirifu basi ni hatari kwako same to china, sisi utaambiwa
ni sheria kandamizi.
Marekani kwa mtu yeyote anayehatarisha maslahi yao basi hawezo kusurvive kama yuko ndani
ya uwezo wao awe ndani ya nchi au nje ya nchi nation interest first, sisi hiyo ni violation ya human rights.
Elimu yao na yetu ni two difference things.
China leo uchumi wake umepaa sio kwa sababu ya kufikiri sana kwa sababu tu ya horizontal thinking
gorbalization inatuwezesha kuiba maarifa wanaongoza kwa kuiba maarifa au kuigirizia sisi
hata hiyo imetushibda.
Soma hiyo paragraph ya pili.

Screenshot from 2022-05-08 09-54-44.png
 
Ngozi nyeusi tuna tatizo kubwa la msingi la namna tunavyotumia akili zetu kufikiri na hiki ndo kinachotutofautisha na ngozi nyeupe, mengine ni blah! blah.......kwa hiyo utagundua hata udumavu wa mwili na akili upo kwa kiwango cha juu sana miongoni mwa watu weusi.
Challenge Kikwete akiwa London alisema kuzaliwa Africa peke yake ni challenge. Upbringing yetu. Mfano mtu unakua unalala chini, income ya kwanza badala ya kuinvest unaanza kuwaza kitanda, nyumba ya kuishi na kwa sababu unakuwa ushapigwa sana na maisha unaanza kunywa na bia ambayo ulikuwa hu afford. Mtu akizungumzia investment ni maili nyingi sana kichwani.
 
Ngozi nyeusi tuna tatizo kubwa la msingi la namna tunavyotumia akili zetu kufikiri na hiki ndo kinachotutofautisha na ngozi nyeupe, mengine ni blah! blah.......kwa hiyo utagundua hata udumavu wa mwili na akili upo kwa kiwango cha juu sana miongoni mwa watu weusi.
Hizo akili zilizodumaa na kupenda vitu vibaya zinachangiwa zaidi na ulaji, watu weusi wanakula kwa kushibisha tumbo tu na siyo afya ya mwili na akili mpaka wamejipangia Milo mitatu mikubwa ya kushibisha tumbo tu, imagine Kuna maziwa mengi tu lakini maziwa yanachakatwa yanatolewa butter na cheese yanabaki makapi ndo mtu anakunywa hayo mabaki alafu hizo cream Bora zinapelekwa nje na Leo tunalia mafuta ya kupikia hakuna wakati wenzetu weupe Kila pishi ni butter, cheese, olive oil ambavyo huku unaambiwa usitumie utegemee mafuta ya alizeti tu, nenda sukari ile sukari guru ni nzuri kwa afya kama Ilivyo asali lakini unatengenezewa sukari makapi inayopaswa kutumika kidogo tu na haileti joto na nguvu kama Ilivyo sukari guru Sasa ndo tatizo linapoanzia watu wanakosa akili za kufikiri kwa ufasaha kwasababu ya ulaji kama wanyama wanaokula kwaajili ya kujaza tumbo tu.
 
Ajabu na wataalam wapo...
Tatizo ni nini unadhani!?
 
Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla.

Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini hasa alimaanisha je ni ile bei ya pump pale sheli au alimaanisha tozo zilizopo katika mafuta?

Ila kikubwa hapa kwa nini nchi za Afrika haziendelei nini tatizo rasilimali zipo, watu wapo na serikali sikivu zipo lakini hali si nzuri sasa hivi vita ipo Ukraine, Ethiopia, Somalia, madagascar hali si shwari.

Wapi Serikali au nchi zetu zinakosea?

Tafadharini tusaidiane kimawazo, Makamba akipita hapa tuwe tumemwongezea kitu. Karibuni.
Chanzo cha Afrika (Tanzania) kuwa maskini ni..

1. Mfumo mbovu wa elimu.

2. Usalama wa taifa/TISS mbovu (hiki ndio chanzo kikuu).

3. Viongozi wabovu ambao hawajaandaliwa (refer magufuli alipo sema ameokota parachichi chini ya mwarobaini).

4. Kutotumia rasilimali zetu vizuri (refer gesi ya mtwara).
 
Back
Top Bottom