Pia watu weusi tunatatizo la kuvumila shida badala ya kuzitatua. Mtu anashida kibao eti anaamuachia Mungu kweli!!
Common Phrases Tanzania
1. Sa nitafanyaje? - ukukashika tama
2. Hamna namna
3.Tumuachie Mungu nk.
Tuna matatizo mengi ya kimtazoma, dignity, ethics, morality.
Na haya yanakuwa na contradiction nyingi kwenye maisha yetu na choice zetu.
Haya ndio yanaenda ku-determine evil and good, ukienda kwenye kuziapply kwenye
uchumi wa dunia unaonekana umepotoka.
Mtanzania akimaliza chuo akaajiriwa anatakiwa asaidie ukoo wake au angalau wazazi wake,
Ulaya mzazi akija kukutembelea anasema anakaa siku ngapi na possibly hutamuacha nyumbani
akae unamchukulia chumba kwenye hotel.
Japan ni nchi inayoongoza kwa watu kujinyonga, kwanini!? Wanasheria ambazo ni hash kiasi
kwamba ukikutwa na makosa haya ya ubadhirifu basi ni hatari kwako same to china, sisi utaambiwa
ni sheria kandamizi.
Marekani kwa mtu yeyote anayehatarisha maslahi yao basi hawezo kusurvive kama yuko ndani
ya uwezo wao awe ndani ya nchi au nje ya nchi nation interest first, sisi hiyo ni violation ya human rights.
Elimu yao na yetu ni two difference things.
China leo uchumi wake umepaa sio kwa sababu ya kufikiri sana kwa sababu tu ya horizontal thinking
gorbalization inatuwezesha kuiba maarifa wanaongoza kwa kuiba maarifa au kuigirizia sisi
hata hiyo imetushibda.
Soma hiyo paragraph ya pili.