Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Necessity is the mother of all creation....Umeongea kwa level ya Individual, hebu tupe picha ya nchi mfano Kwanini Tanzania ni maskini licha ya utajiri wa rasilimali tulizonazo, kwanini Congo ni maskini licha ya utajiri wa rasilimali walionao?, huko Sierra leone, na nyingine nyingi za Kiafrika.
Hata nchi zisizokuwa Africa lakini wananchi wake ni watu weusi mfano huko Brazili n.k kwanini ni full umaskini ilihali rasilimali zipo tele?
Africa always tuna plenty ndio maana hatukuhangaika wala hatukuwa na sababu ya kuhangaika, kwanini usumbuke kuvumbua fridge ili uweke maji baridi wakati mtungi unafaa..., Misri kutokana na shida ilibidi wavumbue umwagiliaji..., ulaya baridi bila kupata mbinu za kupata heat wangekufa...,
Pili hao wenye shida bila kuwa wanyanganyi na kuwavamia Congo ili wajenge Belgium ingekuwa vice versa kwa sasa..., Ila that was then why now tuna continuation ya matatizo !!!
Utagundua bado kuna marginalization na kubanwa na nchi hizo ili mwisho wa siku tuendelee kuwa they dumping ground na soko la their junks..., Hili kuondokana na hilo ni kujitahidi kujitegemea, Pia utamaduni unachangia, extended families na watu kupenda kuishi abstract life..., huwezi kuendelea kama unathamini sana kiatu sababu tu kina made in Italy na kuona chochote made in Tanzania ni Ushamba basi kwa hio perception utaona tatizo lipo wapi !!!, unaona a holiday in New York ingawa unaenda kukaa kwenye apartment bila hata kuzungukia vivutio vya huko ndio ujanja kuliko fresh air at Serengeti au Soronera (utaona hapo tatizo lipo wapi)
Kwahio tatizo la sasa lipo kwenye mindset... (Narudia am not protectionist wala sisemi kila cha nje ni kibaya bali nasema uzuri au ubaya sio kwamba sababu ni cha nje, bali tuangalie ubora no matter ni cha wapi) Emancipation from Mental Slavery