Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hapo nakupinga Afrika ni kubwa na maendeleo yanatofautiana, kuna nchi za Afrika ambazo ni middle income, mfano Botswana inazidi nchi nyingi tu Asia hata Namibia wanajitahidi pia, hivyo labda uongelee Tanzania yetu ingawaje ni kweli nchi za Afrika ni masikini lkn Kidunia ni nchi chache sana tajiri.