MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

Umeongea kwa level ya Individual, hebu tupe picha ya nchi mfano Kwanini Tanzania ni maskini licha ya utajiri wa rasilimali tulizonazo, kwanini Congo ni maskini licha ya utajiri wa rasilimali walionao?, huko Sierra leone, na nyingine nyingi za Kiafrika.

Hata nchi zisizokuwa Africa lakini wananchi wake ni watu weusi mfano huko Brazili n.k kwanini ni full umaskini ilihali rasilimali zipo tele?
Necessity is the mother of all creation....

Africa always tuna plenty ndio maana hatukuhangaika wala hatukuwa na sababu ya kuhangaika, kwanini usumbuke kuvumbua fridge ili uweke maji baridi wakati mtungi unafaa..., Misri kutokana na shida ilibidi wavumbue umwagiliaji..., ulaya baridi bila kupata mbinu za kupata heat wangekufa...,

Pili hao wenye shida bila kuwa wanyanganyi na kuwavamia Congo ili wajenge Belgium ingekuwa vice versa kwa sasa..., Ila that was then why now tuna continuation ya matatizo !!!

Utagundua bado kuna marginalization na kubanwa na nchi hizo ili mwisho wa siku tuendelee kuwa they dumping ground na soko la their junks..., Hili kuondokana na hilo ni kujitahidi kujitegemea, Pia utamaduni unachangia, extended families na watu kupenda kuishi abstract life..., huwezi kuendelea kama unathamini sana kiatu sababu tu kina made in Italy na kuona chochote made in Tanzania ni Ushamba basi kwa hio perception utaona tatizo lipo wapi !!!, unaona a holiday in New York ingawa unaenda kukaa kwenye apartment bila hata kuzungukia vivutio vya huko ndio ujanja kuliko fresh air at Serengeti au Soronera (utaona hapo tatizo lipo wapi)

Kwahio tatizo la sasa lipo kwenye mindset... (Narudia am not protectionist wala sisemi kila cha nje ni kibaya bali nasema uzuri au ubaya sio kwamba sababu ni cha nje, bali tuangalie ubora no matter ni cha wapi) Emancipation from Mental Slavery
 
Watu weusi wana ubinafsi uliopitiliza. Hawana uwezo wa kufikiri mambo kwa upana unaohitajika.

Tuitolee mfano nchi yetu. Mimi leo nimeamka, nimetoka nyumbani kuja mjini. Njiani ninakutana na magari, kwa kukadiria si chini ya 300 na yote yanatumia mafuta na wanalipa kodi. Lakini maajabu ni kuwa nilipotoka nje ya geti, nilikutana na madimbwi na mashimo kwenye asilimia 80 ya njia niliyopita mpaka kufika mjini. Mashimo na madimbwi haya huharibu magari kwa kiwango kikubwa hivyo kulazimu matumizi ya mabilioni ya pesa kwenda nje ili spea ziletwe zitengeneze tena hayo magari.

Badala ya kuzuia tatizo ili kupunguza matumizi makubwa ya kulikabili, sisi kwa ujinga wetu tupo tayari kuacha magari yaharibike ili tusubiri wananchi wapeleke pesa nje huko kwa mjapani na serikali ikamate hapo kiasi kidogo kama kodi. Mzunguko huu utamhakikishia mjapani kuvuna pesa za bure bure za wajinga waliopo Tanzania. Halafu tutamlaumu mzungu kwa ujinga huu.

Mfano wa pili. Nilipokuwa naelekea mjini, mahali pa mwendo wa dakika 20, nililazimika kutembea mwendo mdogo sana na kuishia kutumia dakika 90 ili kuzuia kuharibu chombo cha kusafiri. Badala ya kutumia muda wangu kufanya kazi, kubuni bidhaa mpya, kufikiri, kusoma, nk, nimelazimika kuutumia kupambana na mashimo barabarani. Hapa nina hakika tukichukua huo muda unaopotea pekee unatosha kuiweka Tanzania iwe sawa na South Korea.

Lingine nililokutana nalo likanishangaza ni ujenzi wa wananchi kuwa mbele sana ukilinganisha na uwezo wa serikali kupangilia na, kujenga miundombinu inayopaswa kuwepo. Makazi ya wananchi yapo ya kiwango cha juu sana. Nyumba za mamilioni na mabilioni zimejengwa kila mahali lakini serikali haioni umuhimu wa kuweka miundombinu. Badala ya serikali kuweka miundombinu inayolingana na uwekezaji wa wananchi, wapanga mipango wanaibua miradi iliyo kinyume kabisa na mahitaji ya wananchi. Mifano ni mingi sana sana.

Sina hakika kama tutafika mahali pa kustaarabika kwa kiwango cha kuonekana tuna maendeleo. Watu weusi wana hitilafu nyingi zinazonipa mawazo sana nikizifikiria.
 
Kichwa chako hakina ubongo

Utakuja kusema na watoto kukaa chini madarasani ni Sawa.

Wamama kujifungulia kwenye sakafu ni Sawa

Wanafunzi kutembea peku kwenda shule bila viatu ni Sawa
 
Umeongea point kubwa
 
Kwenye ku-adapt mazingira mimi nalaumu dini hapo ndio tulipotea. Mlokole kushika pombe ni dhambi. Mwisilamu wa Africa anaona dhambi kuuza pombe lakini wanaomiliki casino huko kwa wenzetu ni masheik
Hili Nalo Neno.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kichwa chako hakina ubongo

Utakuja kusema na watoto kukaa chini madarasani ni Sawa.

Wamama kujifungulia kwenye sakafu ni Sawa

Wanafunzi kutembea peku kwenda shule bila viatu ni Sawa
Nimesema hayo au wewe ndio umesema ?!!!!

Ngoja nikupe mifano mingine Kiafya kipi kinafaa Choo cha Kukaa (Wester) au cha Kuchuchumaa (Eastern)

Pia Wajapan na utamaduni wao wa kukaa kwenye matress chini wakati wanakula na shughuli nyingine ni Ushamba au inawasaidia ki-afya ??

To each his / her own...., tatizo umejengewa kwamba kila kinachofanywa au kiliochofanywa ni ushamba na kukosa ustaarabu na kila unacholetewa ndio usasa (ndio maana tunahangaika kuweka tiles kwenye madarasa yetu kwa pesa ya mkopo kabla hata hatujaboresha maktaba, vitabu wala waalimu (eti ndio usasa)
 
Tatizo ni mfumo wa uongozi na majukumu, mfanyakazi ni mmoja tu, Rais, Rais asiposema au kufuatilia jambo fulan basi tumepigwa, jiulize hapo Mwanza kwenye ujenzi wa meli imekuwaje mkandarasi analipwa %80 na mradi huko %65 je waliopitisha malipo hawajuhi taratibu au hawajui kusoma mikataba ya kimataifa??halafu baada ya mkandarasi kukomba hela karibia zote eti anajidai kuuza mradi kwa mkandarasi mwingine, Kuna mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya,mwanasheria wa serikali,eng. Wa mkoa wapo tu wameangali. Mpaka Rais aseme au afuatilie ndio watu wanazinduka.
 
Watu weusi wana ubinafsi uliopitiliza. Hawana uwezo wa kufikiri mambo kwa upana unaohitajika.

Tuitolee mfano nchi yetu. Mimi leo nimeamka, nimetoka nyumbani kuja mjini. Njiani ninakutana na magari, kwa kukadiria si chini ya 300 na yote yanatumia mafuta na wanalipa kodi. Lakini maajabu ni kuwa nilipotoka nje ya geti, nilikutana na madimbwi na mashimo kwenye asilimia 80 ya njia niliyopita mpaka kufika mjini. Mashimo na madimbwi haya huharibu magari kwa kiwango kikubwa hivyo kulazimu matumizi ya mabilioni ya pesa kwenda nje ili spea ziletwe zitengeneze tena hayo magari.

Badala ya kuzuia tatizo ili kupunguza matumizi makubwa ya kulikabili, sisi kwa ujinga wetu tupo tayari kuacha magari yaharibike ili tusubiri wananchi wapeleke pesa nje huko kwa mjapani na serikali ikamate hapo kiasi kidogo kama kodi. Mzunguko huu utamhakikishia mjapani kuvuna pesa za bure bure za wajinga waliopo Tanzania. Halafu tutamlaumu mzungu kwa ujinga huu.

Mfano wa pili. Nilipokuwa naelekea mjini, mahali pa mwendo wa dakika 20, nililazimika kutembea mwendo mdogo sana na kuishia kutumia dakika 90 ili kuzuia kuharibu chombo cha kusafiri. Badala ya kutumia muda wangu kufanya kazi, kubuni bidhaa mpya, kufikiri, kusoma, nk, nimelazimika kuutumia kupambana na mashimo barabarani. Hapa nina hakika tukichukua huo muda unaopotea pekee unatosha kuiweka Tanzania iwe sawa na South Korea.

Lingine nililokutana nalo likanishangaza ni ujenzi wa wananchi kuwa mbele sana ukilinganisha na uwezo wa serikali kupangilia na, kujenga miundombinu inayopaswa kuwepo. Makazi ya wananchi yapo ya kiwango cha juu sana. Nyumba za mamilioni na mabilioni zimejengwa kila mahali lakini serikali haioni umuhimu wa kuweka miundombinu. Badala ya serikali kuweka miundombinu inayolingana na uwekezaji wa wananchi, wapanga mipango wanaibua miradi iliyo kinyume kabisa na mahitaji ya wananchi. Mifano ni mingi sana sana.

Sina hakika kama tutafika mahali pa kustaarabika kwa kiwango cha kuonekana tuna maendeleo. Watu weusi wana hitilafu nyingi zinazonipa mawazo sana nikizifikiria.
Mkuu umeongea point, kinachotusumbua ni rushwa.
 
N
Swadakta.
Tukikubali kuwa uwezo wetu kiakili mdogo, tutakwenda kuwaita wenye uwezo waje watuwekee mambo sawa. na kwa hiyo maisha yatanawirika kwa wote.
Lakini tukijifanya wajuwaji, tutaendelea kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Mwisho wa yote tuanza minyukano ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.
na huo utakuwa ndio mwiisho wetu.
Kila Uchaguzi kwetu ni majuto na Maangamizi, kwa kuwa hatujakuwa na vipaumbele vya kitaifa zaidi ya kuibakiza CCM madarakani.
Na tulishagota sidhani kama tutatoka mahali tulipo kama tutatoka ni kwa speed ndogo sana.
 
Kama mtu anaweteza kutembea peku na barmaid, akapata ngoma alafu akaenda kuombewa.
 
Uchumi wa dunia unawatenga watu weusi kwa makusudi, ni racism tu. Hasa hasa ukizingatia marais wa Afrika ni vikaragosi (puppets) wa mabeberu.
 
Hapo nakupinga Afrika ni kubwa na maendeleo yanatofautiana, kuna nchi za Afrika ambazo ni middle income, mfano Botswana inazidi nchi nyingi tu Asia hata Namibia wanajitahidi pia, hivyo labda uongelee Tanzania yetu ingawaje ni kweli nchi za Afrika ni masikini lkn Kidunia ni nchi chache sana tajiri.
“Botswana is one of the few countries in Africa that fully funds social protection programs out of its own resources, dedicating 4.4% of its GDP to social spending,” said Guang Zhe Chen, World Bank Country Director for Botswana. “We have seen from this report that this spending has had a significant impact on poverty, mitigating crises by means of increasing benefits and expanding the number of beneficiaries during bad times.”

The report highlights several reasons for the drop in poverty and rise in growth. Poverty reduction has been accompanied by significant improvements in shared prosperity, the report notes, with the country’s poorest benefiting most. Wages and various formal and informal incomes increased substantially, especially in rural areas. Government-supported agricultural incomes and employment and changes in demographics also contributed to the decrease in poverty, including smaller household sizes and a smaller number of those not in the labor force, according to the report.

The amount of household loans increased, helping net incomes to rise, the report says, and access to primary, secondary and university education improved.

“We saw that the level and quality of education are crucial factors in determining poverty,” said Victor Sulla, World Bank senior economist. “While income gaps by level of education are narrowing, higher levels of education are still strongly associated with lower levels of poverty.”

Despite significant improvements, the report notes that half of Botswana’s population remains either poor or vulnerable, with 46.2% of them children under 15.

(Botswana Poverty Assessment, 2015)​

Mtu mweusi ni mbinafsi.
Mambo mengi atafanya kwa faida ya tumbo lake na mslahi yake.,

Angalia Mfano wa South Africa ya mzungu.
Na south Africa ya mtu mweusi.
Ni kama ni inchi mbili tofauti.

Mtu mweusi ukimpa madaraka hata ya kuongoza chochote,
Kwanza anajifikiria yeye.,
Jinsi gani aiibie serikali.

Mimi bado sijapata majibu
Mtu mweusi anauwezo wa kumiliki nyumba 50,
Magari 20
Na bado anang'ang'ania madaraka azidi kuibia serikali.
Vitu vyote hivi lengo ni nn?

Africa inashindwa kuendelea sababu ya akili zetu waafrika,
Kila unayempa madaraka fulani basi anasimamisha masikioni kuiba.

RIP Magufuli.
 
Uchumi wa dunia unawatenga watu weusi kwa makusudi, ni racism tu. Hasa hasa ukizingatia marais wa Afrika ni vikaragosi (puppets) wa mabeberu.
Ebwana hii ni mada kubwa. Kuna imani kuwa ukiwa Rais halafu ukawa against hawa jamaa hudumu madarani. Kuna mdau mmoja aliandika kuhusu mzee mmoja wa kihaya alikuwepo wakati wa uhuru nilisoma sehemu fulani sikumbuki vizuri kama ni jamii forum kuwa, walipokuwa wanakabidhiwa uhuru wazee wetu walifurahi sana. Mzungu mmoja akawaambia " You are not real free but we are just reducing administration costs - everything remains the same"
 
“Botswana is one of the few countries in Africa that fully funds social protection programs out of its own resources, dedicating 4.4% of its GDP to social spending,” said Guang Zhe Chen, World Bank Country Director for Botswana. “We have seen from this report that this spending has had a significant impact on poverty, mitigating crises by means of increasing benefits and expanding the number of beneficiaries during bad times.”

The report highlights several reasons for the drop in poverty and rise in growth. Poverty reduction has been accompanied by significant improvements in shared prosperity, the report notes, with the country’s poorest benefiting most. Wages and various formal and informal incomes increased substantially, especially in rural areas. Government-supported agricultural incomes and employment and changes in demographics also contributed to the decrease in poverty, including smaller household sizes and a smaller number of those not in the labor force, according to the report.

The amount of household loans increased, helping net incomes to rise, the report says, and access to primary, secondary and university education improved.

“We saw that the level and quality of education are crucial factors in determining poverty,” said Victor Sulla, World Bank senior economist. “While income gaps by level of education are narrowing, higher levels of education are still strongly associated with lower levels of poverty.”

Despite significant improvements, the report notes that half of Botswana’s population remains either poor or vulnerable, with 46.2% of them children under 15.

(Botswana Poverty Assessment, 2015)​

Poverty inategemea na kipimo wanachotumia, poverty ya Botswana siyo sawa na poverty ya Tanzania, mfano USA watu wanaoishi kwenye poverty ni kama 10% ambapo ni kama watu milioni 30 lkn poverty ya USA wanatumia vipimo vingine siyo sawa na Tanzania mtu masikini USA labda ana pato la $ 1000 kwa mwezi lkn mtu masikini Tanzania ana $ 0. / mwezi, hivyo kuna poverty na absolute poverty hivyo ni vitu viwili tofauti.

Nimefika Botswana na nimetembea huwezi kuona mtoto kwa mfano anakwenda Shuleni peku, Tanzania ni kawaida tembea kidogo Mikoani angalia watoto wakienda shuleni, Botswana hata vijijini kwenye nyumba 5-10 kuna bomba la maji safi ya kunywa, Tanzania wengi wanakunywa maji machafu ya kisima ambacho pia wanyama wanakunywa.

Nachotaka kusema poverty ina viwango, kuna poverty halafu kuna absolute poverty hivyo ni vitu viwili tofauti!
 
Mtu mweusi ni mbinafsi.
Mambo mengi atafanya kwa faida ya tumbo lake na mslahi yake.,

Angalia Mfano wa South Africa ya mzungu.
Na south Africa ya mtu mweusi.
Ni kama ni inchi mbili tofauti.

Mtu mweusi ukimpa madaraka hata ya kuongoza chochote,
Kwanza anajifikiria yeye.,
Jinsi gani aiibie serikali.

Mimi bado sijapata majibu
Mtu mweusi anauwezo wa kumiliki nyumba 50,
Magari 20
Na bado anang'ang'ania madaraka azidi kuibia serikali.
Vitu vyote hivi lengo ni nn?

Africa inashindwa kuendelea sababu ya akili zetu waafrika,
Kila unayempa madaraka fulani basi anasimamisha masikioni kuiba.

RIP Magufuli.
Nafikiri hii ni mada pendwa sana. Why mtu anakuwa fisadi? Anaweza kuwa analipwa vizuri ama ameiba vya kutosha lakini bado tu ameng'ang'ania kuendelea kuiba?
Jibu ni kwamba
1. Anahofia future yake na kizazi chake. Tungekuwa na NHF, PSSR etc imara yaani mtu akizeeka hana cha kuhofia may be ingepunguza mambo ya kuogopa future.
2.Hatuna institution za kudhibiti mapato au za kujiendesha bila kutegemea siasa. Ukiona mwanasiasa eg. Makamba kijana alikopa 400m toka PSSR kama sikosei na hataki kulipa na hamna cha kumfanya basi hapo tatizo lipo kuanzia kwa Rais mwenyewe.

Dawa nafikiri appointment zingine zisifanywe na Rais kuwe na bodi ya wataalamu -Regulatory Board ) ambako wakurugenzi wanawajibika. Maoni yangu please.
 
Mbali na nchi nyingi za weusi kuwa maskini ila nimeona pia hata nchi tajiri duniani ambapo kuna watu weusi wanaishi utakuta bado hali yao ni duni sana

Hawana maendeleo kabisa na sehemu zao ni chafu na maisha yao wengi ni obese wapo wapo tu hata iwe [emoji631]

[emoji636] pia hivyo hivyo sehemu wanapoishi watu weusi kwa wingi ni mtihani tu ukipita unaona kabisa dhiki na tafrani
Kwa weusi unakuta biashara zao wamepangana vinyozi na wasuka nywele tu na vipodozi hawajui biashara zingine

Pia nilienda Jeddah pia kuna sehemu inaitwa Haraat ul abiid Yaani sehemu ya watumwa
Nyumba wanazoishi na maisha yao unaweza kulia
Kazi zao ni kuchimba makaburi na labour jobs tu
Huku pia niliona kwa macho

Sasa hata kama tulikandamizwa na wakoloni na waarabu Kwa hiyo mpaka leo wamechukua na bongo zetu pia wamegoma kuturudishia

Mbona mweusi kila alipo ni dhalili?
Hata India nilienda nimewakuta wana hali mbaya sana na wananyanyaswa sana na wahindi wenzao

Mweusi kafanya nini mpaka anashindwa kujitetea tena na kuwa na maendeleo?

Kama ni nchi zetu africa mbona hatuna maendeleo Sisi wenyewe hata kuwa na viwanda? Na tukajiuzia sisi wenyewe waafrika?

Naona viongozi pia wanachangia kiasi kikubwa kwa kutokutumia akili bali kuiba tu
 
Back
Top Bottom