Bora kwa nani ? Kwa macho au kwa afya ?
Tuongelee makazi kidogo.., je ni afya kujifungia kwenye kuta nne bila hewa sijui dirisha la aluminium wakati ukilifungua unapata hewa half the space ?!!!
Au tuongelee kipindi kirefu watu walijiona wajanja kutumia eti bati za kisasa (Asbestos) ila kuja kugundua madhara yake kwa afya na watu walikuwa wanajifungia humo kutwa na kuchwa !!!, Don't get me wrong ubora na kuboresha ndio maisha ila sio kila kipya ni kizuri na cha zamani ni kibaya..., Mfano nyumba ya udongo ni environmental friendly na inakupa joto kwenye baridi na baridi kwenye joto kuliko nyumba ya cement...
Unaongelea lishe bora, Mmasai anakula fresh food na sio processed food ambayo imejaa makemikali na addictives za kufa mtu (junk food)..
Kwahio perception yetu ni kwamba the grass is greener kwa jirani ila kwa mtu ambaye ameishi maisha yote huku na kule atakwambia its not so...
Umasikini upo mijini, umasikini upo sasa na utaendelea kuwepo kutokana na gap in classes kuongezeka siku baada ya siku..., Umasikini unachangiwa na sio sababu kuna less for everyone (there is enough for everyone need ila sio for everyone greed)..., kwahio kutokuweza ku-manage mazingira yetu ndio kunaleta umasikini na sio sababu mtu mweusi hana akili (la hasha) sababu ni marginalization, as well as indoctrination ambayo tumeshajengewa ya kwamba nini kinafaa na nini hakifai hence kutukuza mkate zaidi ya muhogo..., cement zaidi ya udongo, bati la msausi zaidi ya msonge n.k. (wakati hivyo vyote vingeweza kuboreshwa kuendana na wakati na mazingira yetu)...,
Don't get me wrong siongelei kila cha jirani ni kibaya hivyo tusiige mazuri (bali naongelea pia kila kilicho chetu sio kwamba hakifai na kinahitaji kuboreshwa)