MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

duuh...mkuu umeielezea kwa undani zaidi....kwa hiyo ni kumbe ndio maana wengi wanahusudu sana hata mambo ya ndumba!!!
 
mapepo ni nguvu za ajabu ambazo hazionekani kwa giza...wengine wanasema ni majini na huhusiana na nguvu za giza zaidi. kama kuna mtaalam anayeweza kuelezea maana halisi ya mapepo naomba asaidie...ni swala la kiimani zaidi...
mtoa mada,mapepo ndo kitu gani?
 
mapepo ni nguvu za ajabu ambazo hazionekani kwa giza...wengine wanasema ni majini na huhusiana na nguvu za giza zaidi. kama kuna mtaalam anayeweza kuelezea maana halisi ya mapepo naomba asaidie...ni swala la kiimani zaidi...
mtoa mada,mapepo ndo kitu gani?
 
I see.....
Jibu lote lipo hapa.....


 
aiseeeh ! Na wewe una pepo la uzushi na uongo !
 
" Tena mwanamke ndio alionifanya nifukuzwe heaven na anaponipa tunda bado najihisi nipo heaven"---Weusi GMF
 
mapepo ni mchanganyiko wa pepo za kusi na kaskazi.......

Seriously, mapepo nadhani hawana tofauti na mashetani....
una amini mapepo yapo ? Nani kayaleta kayaunda au kayaweka ? Nini makusudio yake ?
 
du mada nzito but ndo ukweli huu asilimia kubwa ya wanawake ndo wenye mapepo....
 
Uislaam unawataka wanawake kufanya ibada nyumbani ni bora zaidi kwao, vinginevyo wanasehemu yao maalum ! Wengine ni waongo tuu !
 
wanawake wanakisima kinachotema damu kila mwezi ....chakula kuu ya majini ni damu mkuuu shituka.......
tuseme na wale wanao honga vitara, nyumba kwa ajili ya kisima cha damu, na wao ni majini au wamekumbwa na majini ?!
 
Nadhani wanaokwenda kwenye makanisa ambayo mwanzisha mada ameyataja wengi wao ni wale wenye stress za maisha ambao wengi wao ni wanawake.
Hakuna cha mapepo wala nini, tatizoni stress tu.
 
someni hii makala ina majibu mazuri sana

Shetani au "majini" wana ubaguzi wa kijinsia? Tuseme wao ni wapenda wanawake,
yaani kwa Kiingereza womanizers? Je, mashetani na hao "majini" wanawaogopa wanaume?
Waafrika hebu tufunuke! Tutazame vyema!

MAJIBU YAKO HAPA

Kwanini kesi za watu kupagawa mapepo zinaongezeka? (2)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…