Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
duuh...mkuu umeielezea kwa undani zaidi....kwa hiyo ni kumbe ndio maana wengi wanahusudu sana hata mambo ya ndumba!!!
Mojawapo ya sababu ni kuwa mapepo mengi hupenda kukaa kwenye mapambo zaidi ambayo wanawake ndo watumiaji wakubwa. Kwa mfano bangili, pete, vipodozi, madawa ya nywele, perfumes, mawigi n.k. Pia wanawake hushambuliwa zaidi na "spiritual husbands" ambayo ni mapepo ya kiume na wengi huota ndoto wanafanya mapenzi nayo na kwa wale walioolewa huwachukia waume zao au wanapokuwa kwenye tendo la ndoa wanawake hawa hukereka na kusikia maumivu makali sana ili hali wakiwa na hayo mapepo husikia raha. Kuna cases chache pia kwa wanaume kuwa na "spritual wives". Wanawake pia ni watu wa kupewa vizawadi kwa wingi ukilinganisha na wanaume, na katika zawadi hizo nyingi pia huambatana na mapepo ndani yake. n.k