MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

1.wao ni dhaifu zaidi kiimani(wanashawishika haraka) 2.kwa sababu ya menstruation ya kila mwezi {sina ufafanuzi zaidi ila ni sababu kuu} 3.wao ndio wazazi kwaiyo pepo likimwingia mwanamke ni rahisi kuwa na mwendelezo kwa kizazi chake(watoto) kuliko mwanaume
 

Hehehe uuwi
 
MMM jamani ninavyoingia hii thread nilidhani napata jibu la mada hiyo kumbe ndo kwanza naulizwa???
Kusema ukweli mi mwenyewe sielewi japo nahisi mapepo huwaingia pia wanaume si kwa wanawake tu.
 
maana hiyo waganga wanawapa mapepo?

Ukienda kwa mganga wa kienyeji lazima akuwekee mapepo/majini na kukufunga katika maeneo fulani ya maisha yako. Mganga wa kienyeji ana mapepo ambayo yana uadui wa asili (tangu Adam) na mwanadamu. Hivyo kwenda kwa mganga japo wengi hawajui ni kuingia kwenye mtego wa shetani wa kukuangamiza! EPUKA.
 

Hiyo namba 5. Imenikumbusha mbali sana
 
Kuhusu kuanguka mashuleni sijui,ila makanisani inawezekana kwa sababu wanawake ndio wanaohudhuria kwa wingi ndio maana unaona wanaanguka wengi. Wanaume wanaanguka pia,sema wachache kwa sababu hata kanisani idadi yao inakuwa ndogo.
 
Wpai tena huko mbali mkuu

Niliwahi kumuona mmoja kabandika ndefu sana kiasi kwamba ugali hawezi kula kwa mkono,na rangi alipaka ya Bendera ya Jamaica. Kiukweli nilimuota usiku wake,kama ananiparua hivi.
 
Sababu kubwa ni maumbile yao!!.Majini mara nyingi chakula chao ni damu na kila mwezi wanawake wengi hutoa damu hivyo kama haupo vizuri kiroho au nafsi basi majini yanaweza kukuingilia.
Vilevile idadi kubwa ni msongo wa mawazo,sio wote wanaoanguka wana pepowengine huwa ni msongo wa mawazo!!!(Maumivu ya ndani)
 
nenda kwa waganga, wapiga ramli na watu wengine wa ovyo asilimia 99 utakuta ni wanawake.
 

Pointi yako ya pili ndo yenyewe haswaaaaa!!!.
 
Habarini za jumapili wadau?

Jamani naomba tupanuane uelewa na tulichanganue hili suala.Hivi ni kwanini wanawake huwa waathirika wakubwa wa nguvu za giza(demon spirit)?

Hili unaweza kulishuhudia katika mikutano ya injili asilimia kubwa ya wanaoangushwa na hizi nguvu za giza huwa ni wanawake. Sasa mi hujiuliza kwa nini hizi nguvu huwapendelea sana wanawake.

Karibuni wadau tusaidiane michango yenu ni muhimu sana na ninaamini jibu halisi litapatikana hapa.

Ahsanteni Jboy
 
Kwa sababu uhai unaanzia kwa mwanamke(mimba)&mwanamke ndo kila ki2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…