kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Mapepo ni nini? na huko "kuanguka" ni nini?
kwa uelewa zaidi tafuta kamusi ikufafanulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapepo ni nini? na huko "kuanguka" ni nini?
Huoni mambo wanayofanya? Kuna mambo kama sio mapepo au upungufu wa akili basi mtu mwenye akili nzima hawezi fanya
1. Kuvaa nusu uchi
2. Kushona nguo za kubana wakati uwezo wa kushona inayokutosha sawa upo..
3. Kununua nguo iliyochanika kisa fasheni..
4. Kueka nywele feki .
5. Kupaka mirangi kama upinde wa mvua...
Haya mambo ndo husababisha mashetani wawafate wao
maana hiyo waganga wanawapa mapepo?

Hiyo namba 5. Imenikumbusha mbali sana
Wpai tena huko mbali mkuu
Sababu kubwa ni maumbile yao!!.Majini mara nyingi chakula chao ni damu na kila mwezi wanawake wengi hutoa damu hivyo kama haupo vizuri kiroho au nafsi basi majini yanaweza kukuingilia.
Vilevile idadi kubwa ni msongo wa mawazo,sio wote wanaoanguka wana pepowengine huwa ni msongo wa mawazo!!!(Maumivu ya ndani)
kwa sababu wanawake/wasichana wanamatundu mengi yanayoweza kufanya mapepo yakawaingilia
Huo si ukweli.
Adam hakuangushwa. Kama aliangushwa ni wapi alipochubuka au kuvunjika?
Mapepo ni nini?
nenda kwa waganga, wapiga ramli na watu wengine wa ovyo asilimia 99 utakuta ni wanawake.
Kwa sababu uhai unaanzia kwa mwanamke(mimba)&mwanamke ndo kila ki2![/QUOTE.
Dada dori jibu lako ni zuri na inawezekana unauelewa zaid juu ya hili ila umejibu kifupi saana