Nasisitiza tena ndugu yangu,hatulazimishani kuamini,tunapeana hoja ili kila mmoja apime kwa uelewa wake.
Umeanza kuogopa mapema hivi?
Maswali na majibu kutoka kwa pepo mwenyewe.
Mapepo haya ni kwa waafrika tu? Mbona Ulaya ambako kuna zaidi ya hayo hawana mapepo? R u great thinker realy?Huoni mambo wanayofanya? Kuna mambo kama sio mapepo au upungufu wa akili basi mtu mwenye akili nzima hawezi fanya
1. Kuvaa nusu uchi
2. Kushona nguo za kubana wakati uwezo wa kushona inayokutosha sawa upo..
3. Kununua nguo iliyochanika kisa fasheni..
4. Kueka nywele feki .
5. Kupaka mirangi kama upinde wa mvua...
Haya mambo ndo husababisha mashetani wawafate wao
Huyo Fox msiwe mnahangaika naye, robo saa mbele huyo, makao yake bahariniKuanguka maana yake ni kama ulikuwa na msimamo fulan juu ya jambo fulan mfano wa din au kukataa pombe sasa siku akienda kinyume chake bhas hapo kaanguka...katika iman..
ccm inakuharibu akili wewe acha ujinga
Ameuliza swali gumu wadau wanatoa majibu mepesi,ningekua na muda ningekupa majibu ya kisomi,tatizo hili linawakuta wanawake zaidi kwakuwa wao ndo wanakabiliwa na changamoto nyingi na ngumu zaidi za kimaisha na utatuziwake unapokuwa mgumu na kukata tamaa akili inashindwa kupata njia mbadala ya kupambana na tatizo hivyo kupokea jambo au kashindwa kulitafsiri jambo kama lilivyo na kulitafsiri tofauti.....hiyo ni kwa ufupi.Nitaendelea kushirikiana nanyi kutoa elimu zaidi ili muweze kuisaidia jamii....ahsanteni.
Ndio maana nilikuambia hauna hoja mpya mkuu.
Anyway- endelea na mada zako lakn jua tu hazina jipya ndani yake i,e watakao kuelewa ni wahafidhina na wafia dini wenzako i,e people with free mind wataku-dis tu.
Kila la heri mkuu ktk safari isiyo na tija.
Ndio maana nilikuambia hauna hoja mpya mkuu.
Anyway-endelea na mada zako lakn jua tu hazina jipya ndani yake i,e watakao kuelewa ni wahafidhina na wafia dini wenzako i,e people with free mind wataku-dis tu.
Kila la heri mkuu ktk safari isiyo na tija.
HABARI ZENU NYOOTE!
Tunahitaji kujua uhusiano wa kuanguka mapepo na wanawake.
Je,ni kwa nin kwa kiwango kikubwa wanaokumbwa na kuanguka au kupagawa na mapepo ni wanawake\wasichana?
Nasema wanawake kwa sababu:
A.tukichunguza mashuleni au vyuoni kwa kiwango kikubwa unakuta wasichana ndiyo wahanga wa kuanguka au kupagawa mapepo.
B.vile vile makanisan {hasa ya kilokole} unakuta wanao anguka na kuombewa mapepo ni manawake.
sasa najaribu kujiuliza kwa nini wanawake\wasichana tu ndiyo kwa kiwango kikubwa hukumbwa na tatizo hili?
KARIBUN KATIKA TAFAKULI YAKINIFU.
Mapepo haya ni kwa waafrika tu? Mbona Ulaya ambako kuna zaidi ya hayo hawana mapepo? R u great thinker realy?
1.wao ni dhaifu zaidi kiimani(wanashawishika haraka) 2.kwa sababu ya menstruation ya kila mwezi {sina ufafanuzi zaidi ila ni sababu kuu} 3.wao ndio wazazi kwaiyo pepo likimwingia mwanamke ni rahisi kuwa na mwendelezo kwa kizazi chake(watoto) kuliko mwanaume
Nikweli ndg unachooongea,jaribu kufanya uchunguzi kwa familia zinazopatwa na matatitizo hayo...kwa upande wa wanafunzi mtoto wa kike anakabiliwa na hofu sana hasa pale anapoandamwa na na vitisho kutoka kwa mazi,mwalimu na ukwepaji wao ktk shughuli mbalimbali ni mdogo sana ukilinganisha na watoto wa kiume ambao kukwepa au kuingia mitini ni jambo jepesi kwao......mambo yako mengi ndg yangu siwezi kuongea yote,hata mimi ni mwl. shule yangu iliatwa na matatizo hayo sana lakini baada ya kumwsita mtaalam na kubainisha mambo mengi mno nilikubaliana naye.......nitaendelea kuchangia kwa kadr nitakavyopata wasaa ahsante kwa mada nzuri......
Nijuavyo mimi ni kwamba:
1. Vipodozi vingi vya wanawake vina attract mapepo, hii ni pamoja na perfumes
2. Kulala uchi usiku, kwa wanawake ni rahisi kuingiliwa na mapepo.
Nawakilisha.