Nikweli ndg unachooongea,jaribu kufanya uchunguzi kwa familia zinazopatwa na matatitizo hayo...kwa upande wa wanafunzi mtoto wa kike anakabiliwa na hofu sana hasa pale anapoandamwa na na vitisho kutoka kwa mazi,mwalimu na ukwepaji wao ktk shughuli mbalimbali ni mdogo sana ukilinganisha na watoto wa kiume ambao kukwepa au kuingia mitini ni jambo jepesi kwao......mambo yako mengi ndg yangu siwezi kuongea yote,hata mimi ni mwl. shule yangu iliatwa na matatizo hayo sana lakini baada ya kumwsita mtaalam na kubainisha mambo mengi mno nilikubaliana naye.......nitaendelea kuchangia kwa kadr nitakavyopata wasaa ahsante kwa mada nzuri......