MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Mke ni msaidizi na hapaswi kuwa kiongozi/bosi ndani ya kanisa.!
 
NIMEKUELEWA SANA HATA WAKIJA KUKUPINGA ILA UJUMBE UMEELEWEKA,ATAKAYEJIDAI HAELEWI IPO SIKU ATAJIBU HATA KATIKA WANAFUNZI WA YESU MBONA HAPAKUWA NA MWANAMKE KWANI YESU HAKUWAONA,HAWAKUWEPO,WALIKUWEPO ILA ALIMAANISHA HAWA WATU SIO ACHA WABAKI KUWA HAWA

Shukrani sana Mkuu kwa kulitambua hili.

Big up.
 

Ahksante kwa Maelezo.
 
Rejea kichwa cha habari. Ni kwanini wanawake/watoto wa kike kuliko wa kiume?
 
Nasikia eti dawa yao kupigwa Dushe........Eti ni kweli jamani?😱😱
 
Nadhani Mshana Jr wanaweza kutuma Maelezo ya kina
 
Wanasema wataalamu wa kiroho kuwa wanawake wapo katika ghiliba la kuvamiwa na mapepo kurahisi kwa vile ni watu wa hisia nyingi,waoga na vilevile wadhaifu.Pia mapepo eti wanapenda kujificha katika nyumba za uzazi za wanawake.
Lakini kingine nachofikiri ni kuwa wanawake TUNAPENDA sana DRAMA.Sasa mtumishi akikemea akakosa wa kumwangusha ni aibu,kwa hiyo wanawake na huruma ni watu wa kuokoa situation.
 
Husika na swali hapo juu
Mara nyingi nimekua najiuliza Kwa nini makanisa mengi ya kilokole waumini wake wengi ni wanawake
Kwa nini wanawake Tu ndio wanaombewa na kutolewa Mapepo na sijawahi ona mwanaume kaanguka kwa Mapepo kule kanisani
Kwa nini wapenda dini wengi yani wale wanaopenda penda kusali ni wanawake?
Mwenye jibu anipe
 
"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
 
Ki biblia ,shetani huingilia kwa mwanamke, rejea kwa EVA/HAWA, kwa DELLILA, nk. Kwa kuwa pepo ni mfuasi wa shetani, anajua mwalimu wake kwenye udhaifu ambao aliingilia
 
Hapo kwa wanaume wapo wanaoanguka mkuu kama bado hujaona basi fatilia vyema.

Ila idadi kubwa ni wanawake hapo sina neno ngoja waje kutujuza.
 
pole yao wenye mapepo Mungu awasaidie yatoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…