ndisi-jujo
Member
- May 7, 2017
- 40
- 37
Umenena vyema"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
Pia wanasema