MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
Umenena vyema

Pia wanasema
IMG-20170606-WA0012.jpg
 
"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
Naaam
Kifupi siyo mapepo ni roho zao mbaya za chuki,wivu,vinyongo nk
 
"Mapepo" mengine huwa in vinyongo, stress za hali ya juu sana sababu ya kutoolewa, kutendwa na wenza, maisha magumu etc. Wanawake wengi wanatunza vinyongo mioyoni mwao kwa muda mrefu na matokeo yake ndo hayo "mapepo" kufumuka siku wakikunwa vizuri na Injili kanisani.
aisee
 
Kulikuwepo na semina moja inayohusiana na mada tajwa kwenye kanisa moja mwanza la Nabii mmoja aitwae GB Malisa.Semina iliendeshwa na mkewe na haikuhusu wanaume.Ebu wanawake waliohudhuria watiririke watujuze kwanini wanawake ndio huwa na mapepo sana sana.
 
Ki biblia ,shetani huingilia kwa mwanamke, rejea kwa EVA/HAWA, kwa DELLILA, nk. Kwa kuwa pepo ni mfuasi wa shetani, anajua mwalimu wake kwenye udhaifu ambao aliingilia
Farao, Yuda,Kaini, hao vip
 
Kna wat wanasema tanzania ina laana, wanawake wataanza kuzaa na wanaume wa nchi tofauti na kupoteza kizaz cha tanzania.
 
Wachawi wengi ni wanawake.wanawake wengi wana roho mbaya hivi ni rahisi sana mapepo kuwaingja.
 
Kasome Marko sura ya 5, utaona Yesu alimtoa mapepo mwanaume, soma pia hata kitabu cha Matendo ya mitume utaona Paul walimkemea mtu mwenye pepo la uaguzi(uganga/unabii wa uongo).

Mapepo yanamvaa yeyote yule.
 
15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

Mwanzo 3 :15
Hapa ndio siri ya mapepo mengi kuwapata wanawake, nyoka ni shetani ambae mwanamke alitangaziwa uadui nae,lakini uzao wa mwanamke ni Yesu Kristo ambae ndio alimkanyaga kichwa shetani.kila mwanamke amwaminiye Yesu na kuokoka hayuko tena chini ya laana ya kupatwa na mapepo
 
Husika na swali hapo juu
Mara nyingi nimekua najiuliza Kwa nini makanisa mengi ya kilokole waumini wake wengi ni wanawake
Kwa nini wanawake Tu ndio wanaombewa na kutolewa Mapepo na sijawahi ona mwanaume kaanguka kwa Mapepo kule kanisani
Kwa nini wapenda dini wengi yani wale wanaopenda penda kusali ni wanawake?
Mwenye jibu anipe
Msiwalaumu wanawake bure, mnatakiwa mjue kwamba kiumbaji mwanaume amepewa uungu yani uwezo wa kuumba kitu, na ndio mana hata wanapokutana kimwili mwanaume anatoa mbegu ambazo mwanamke anazihifadhi hadi hapo mtoto atakapokuwa tayari kuzaliwa hivyo, Mapepo, shetani, mwanaume na viumbe vingi viliumba na mwenyezi Mungu ila mwanamke alitoka katika mwili/ubavu wa mwanaume.

Hivyo viumbe wengine huwa wanamwogopa mwanaume sababu ana uungu ndani yake na ana uwezo mkubwa kama walivyo mashetani, mapepo n.k.

Hii hali ipo hata kwa wanyama kama nyani wanapokula mazao shambani wanapomuona mwanamke hawaogopi ila wanapomuona mwanaume lazima waogope.

Hivyo jambo la mwanamke kutoogopwa na viumbe wengi ni la kiumbaji zaidi kuliko wadau wengine walivyoelezea.
Note:
mwanaume ana uwezo mkubwa sana ambao unaendana kidogo na nguvu za mashetani na mapepo kiumbwaji na ndio mara nyingi shetani anashindwa kumu attack mwanaume moja kwa moja hivyo anamtumia mwanamke kumvuruga mwanaume sababu anajua mwanaume ni mdhaimu kwa mwanamke kwa kuwa ametoka mwili wake au ubavu kama maandiko matakatifu yanavyosema.

Nitaendelea badae kwa mjadala zaidi..
 
Habarini za jioni wakuu,

Hivi ni kwa nini Majini na uchawi huwasumbua sana mama na Dada zetu, hapa namaanisha jinsia ya kike ni kwa nini wao ni virahisi zaidi kupatwa na nguvu za kishirikina kuliko jinsia ya kiume?.

Pia hata ukija swala la washirikina utakuta wengi ni wadada & wamama.

Huwa najionea sana haya Katika kanisa langu ninalo sari,yakwamba jinsia hii inavyo sumbuliwa sana

Na nguvu za Giza[emoji22] .Karibuni tujadiliane wandugu.
 
Umaskini ndio unawasumbua mataifa ambayo wanawake wamepiga hatua huwezi kukuta huo ujinga, so elimu elimu elimu kubwa sana inahitajika kwa mama zetu na hii hata kwa taifa letu maana naona hata kasii yetu ya maendeleo ni kidogo ukilinganisha na wenzetu.
 
Ni kweli,unaamini kuwa hata waliosoma bado wanafanya uchawi, uchawi ni tabia
 
Back
Top Bottom