Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Kitabu gani hichoUnanikumbusha ,hata ktk vitabu vya dini vinasema mwanamke ni mwepesi kushawishiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabu gani hichoUnanikumbusha ,hata ktk vitabu vya dini vinasema mwanamke ni mwepesi kushawishiwa
Ni kweli,unaamini kuwa hata waliosoma bado wanafanya uchawi, uchawi ni tabia
Ushirikina Hauna elimu Wala Kipato . Haya ni mambo ya kiiman zaid.Umaskini ndio unawasumbua mataifa ambayo wanawake wamepiga hatua huwezi kukuta huo ujinga, so elimu elimu elimu kubwa sana inahitajika kwa mama zetu na hii hata kwa taifa letu maana naona hata kasii yetu ya maendeleo ni kidogo ukilinganisha na wenzetu.
Mmmmhh kua kwanza uione Dunia. Mganga Anataka zaid ya Lak tano akufanyie Dawa maskini yupi atamudu Asilimia kubwa ya matajiri ni washirikina wakati wanawake wakisaka Dawa za mvuto. Ni bila bilaHata hao waliosoma na bado wanaenda kwa ushirikina wengi wametoka familia maskini we chunguza
Mmmmhh kua kwanza uione Dunia. Mganga Anataka zaid ya Lak tano akufanyie Dawa maskini yupi atamudu Asilimia kubwa ya matajiri ni washirikina wakati wanawake wakisaka Dawa za mvuto. Ni bila bila
WELL SAID MKUU😉🙄Ushirikina Hauna jinsia, wanaume wengi wanafata Utajir na waganga wa hivi wanapatikana Mbali nje ya miji ngumu kuona akienda. wakat wanawake wanatafuta Dawa za mvuto na limbwata hizi simple waganga wamjini wanazimudu Ndio maana rahisi kuwaona wakipishana mitaan kwa waganga
YANI MIE WAGA NASHANGAA SANA WAWEZA SEMA LABDA WANA PRETEND WENGNE.FOR SURE WANAWAKE NI WAZAIVU SANA NDIO MAANA HATA MASHETANI/MAJINI NI VYEPESI KUWAPATABinafsi ninamuunga mkono mtoa mada japo kidogo. Hili swali nimekua nikijiuliza sana tena kwa muda mrefu sana. Sijawahi kuona mkutano wa dini umefanyika au maombi yamefanyika alafu mwanaume mtu mzima au mvulana akapandisha mashetani. Siku zote nimekua nikiona wanawake tu wasichana kwa wamama watu wazima.
KWELI ASE WE KUTA PAFYUMU ANAYOPULIZA KWA FUJO KUTWA MARA3 KA DOZI, MAIMUNA HAWEZI KUKUACHA SALAMA😀😛Mapambo yao ndo chanzo cha yote
NAKUPINGA TENA KWA HERUFI KUBWA MATAJIRI WENGI SIO WACHAWI MASKINI NDIO WACHAWI JIULIZE TAJIRI ASHAKAMATWA ANAROGA?Mmmmhh kua kwanza uione Dunia. Mganga Anataka zaid ya Lak tano akufanyie Dawa maskini yupi atamudu Asilimia kubwa ya matajiri ni washirikina wakati wanawake wakisaka Dawa za mvuto. Ni bila bila
Hahahahaah.. unajua unazingua saaana daaaah. Sijui umewaza nini na maimuna.. Ila iyo avatar yako ni kwikwiKWELI ASE WE KUTA PAFYUMU ANAYOPULIZA KWA FUJO KUTWA MARA3 KA DOZI, MAIMUNA HAWEZI KUKUACHA SALAMA😀😛
NIMEJIKUTA NAANDIKA BANDIKO HILI BAADA YA KUTOKA KATIKA IBADA JIONI,HII NI BAADA YA KUONA WA MAMA & WADADA WANASUMBULIWA NA MAJINI🙁Hahahahaah.. unajua unazingua saaana daaaah. Sijui umewaza nini na maimuna.. Ila iyo avatar yako ni kwikwi
Wao ni rahisi kushawishiwa na kuingia kingi
aisee i luv ur avatarsUshirikina Hauna jinsia, wanaume wengi wanafata Utajir na waganga wa hivi wanapatikana Mbali nje ya miji ngumu kuona akienda. wakat wanawake wanatafuta Dawa za mvuto na limbwata hizi simple waganga wamjini wanazimudu Ndio maana rahisi kuwaona wakipishana mitaan kwa waganga