MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Ni kweli,unaamini kuwa hata waliosoma bado wanafanya uchawi, uchawi ni tabia

Hata hao waliosoma na bado wanaenda kwa ushirikina wengi wametoka familia maskini we chunguza
 
Ushirikina Hauna jinsia, wanaume wengi wanafata Utajir na waganga wa hivi wanapatikana Mbali nje ya miji ngumu kuona akienda. wakat wanawake wanatafuta Dawa za mvuto na limbwata hizi simple waganga wamjini wanazimudu Ndio maana rahisi kuwaona wakipishana mitaan kwa waganga
 
Ushirikina Hauna elimu Wala Kipato . Haya ni mambo ya kiiman zaid.
 
Hata hao waliosoma na bado wanaenda kwa ushirikina wengi wametoka familia maskini we chunguza
Mmmmhh kua kwanza uione Dunia. Mganga Anataka zaid ya Lak tano akufanyie Dawa maskini yupi atamudu Asilimia kubwa ya matajiri ni washirikina wakati wanawake wakisaka Dawa za mvuto. Ni bila bila
 
Washirikina wamama na dada zetu.

Mshana jr na Mtu Mzito ni dada zetu?

Hebu watake radhi kwanza
 
Mmmmhh kua kwanza uione Dunia. Mganga Anataka zaid ya Lak tano akufanyie Dawa maskini yupi atamudu Asilimia kubwa ya matajiri ni washirikina wakati wanawake wakisaka Dawa za mvuto. Ni bila bila

Umaskini si wa Mali tu na akili pia. Kama matajiri ni washirikina INA maana unasema wanaume ni washikirina kwa sababu wanaume wengi ni matajiri ukilinganisha na wanawake.
 
Binafsi ninamuunga mkono mtoa mada japo kidogo. Hili swali nimekua nikijiuliza sana tena kwa muda mrefu sana. Sijawahi kuona mkutano wa dini umefanyika au maombi yamefanyika alafu mwanaume mtu mzima au mvulana akapandisha mashetani. Siku zote nimekua nikiona wanawake tu wasichana kwa wamama watu wazima.
 
WELL SAID MKUUπŸ˜‰πŸ™„
 
YAN M
YANI MIE WAGA NASHANGAA SANA WAWEZA SEMA LABDA WANA PRETEND WENGNE.FOR SURE WANAWAKE NI WAZAIVU SANA NDIO MAANA HATA MASHETANI/MAJINI NI VYEPESI KUWAPATA
 
Mmmmhh kua kwanza uione Dunia. Mganga Anataka zaid ya Lak tano akufanyie Dawa maskini yupi atamudu Asilimia kubwa ya matajiri ni washirikina wakati wanawake wakisaka Dawa za mvuto. Ni bila bila
NAKUPINGA TENA KWA HERUFI KUBWA MATAJIRI WENGI SIO WACHAWI MASKINI NDIO WACHAWI JIULIZE TAJIRI ASHAKAMATWA ANAROGA?
 
KWELI ASE WE KUTA PAFYUMU ANAYOPULIZA KWA FUJO KUTWA MARA3 KA DOZI, MAIMUNA HAWEZI KUKUACHA SALAMAπŸ˜€πŸ˜›
Hahahahaah.. unajua unazingua saaana daaaah. Sijui umewaza nini na maimuna.. Ila iyo avatar yako ni kwikwi
 
Hahahahaah.. unajua unazingua saaana daaaah. Sijui umewaza nini na maimuna.. Ila iyo avatar yako ni kwikwi
NIMEJIKUTA NAANDIKA BANDIKO HILI BAADA YA KUTOKA KATIKA IBADA JIONI,HII NI BAADA YA KUONA WA MAMA & WADADA WANASUMBULIWA NA MAJINIπŸ™
 
UNAKUTA JAMAAA ANAPIGWA UPAKO LAKINI HADONDOKI ILA AKIENDA DADA & MAMA UPAKO MMOJA TU CHINIπŸ˜€
 
aisee i luv ur avatars
 
Miili ya akina mama natural ni michafu hivyo viumbe hivyo hugeuza miili hiyo kuwa makazi yao na ndio wanayoipenda,tiba yake ni kudumu ktk ibada na kuwa tohara muda wote kujiepusha na mizunguko isiyo na msingi wakiwa ktk hali zao.
 
Mikufu,pete,hereni,kucha za bandia na mawigi wanayopendelea kuvaa ndiyo naamini ni chanzo maana wigi hajui limetoka wapi anavaa lingine labda la jini maimuna,kucha za bandia wanasema zimetengenezwa ni plastic wanabandika wakati haijulikani kama ni kweli, mikufu na pete inaaminiwa na wengi kuwa majini hupenda kukaa humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…