Hakuna anayekuchanganya ,ni kiasi cha kujibu hoja kwa hoja. Hapa nimezungumzia wanawake kwa ujumla wa dini zote hata kwenye maombez wanawake ni wahanga kuliko wanaume. Hata makanisani wanaoanguka na mapepo wengi ni wanawake tofauti na wanaume . Kinachotakiwa uweke chanzo tofauti na hayo niliyoaelezea .
Asante kwa kushiriki.Kama ni wanawake kwa ujumla... kwa wakrito hakuna kitu janaba, na kingekuwepo wanawake wote wa kikristo wangekuwa na majini. Wa kizungu wangeongoza.
Issue ya hedhi hata wasioanza kupata hupata majini.
Sikubaliani na sababu ulizotoa kuwa zinasababisha kupata majini.
Nimeelezea Kwa upande ninaoufaham ,ingekuwa vizuri akatokea mtu akaelezea kwa upande wa wanawake wa kikristo tatizo hasa nini wanawake kuwa na mapepo kwani tatizo hili ni la dini zote mbili kwakweli
Majini ni viumbe wa Allah kama ilivo wanaadamu..Sasa si tuliambiwa majini ni viumbe vyenye kumtii Mungu (Allah), nijuavyo Mungu yuko kinyume na uchafu, inakuwaje hapa mbona hizi habari zinachanganya, au majini nayo huugua uchizi kwahiyo hizi ni sifa za majini vichaa?
Asante ubarikiwe.Ukweli nikuwa ukimuamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai na kumtegemea huwezi kupata na hayo majini/ mapepo. Suala la hedhi,kutawaza,damu ya uzazi hayo yote nimaumbile ya kibinadamu hayana mahusiano na majini/mapepo. Aidha suala la kutawadha inategemea desturi,mazingira,makuzi ya mtu n.kk japo kiuhalisia ni vema kutumia maji zaidi japo haina mahusiano na majini/ mapepo.
Mwishoni tambua kuwa majini/ mapepo yote ni kazi yaShetani.
Viumbe wenye kumtii Mungu 100% ni malaika pekee, majini na binadamu tunatakiwa tumtii Mungu, lakini kwa vile ni wajeuri tuajipa machaguo yetu kama ni kuishia motoni au peponiSasa si tuliambiwa majini ni viumbe vyenye kumtii Mungu (Allah), nijuavyo Mungu yuko kinyume na uchafu, inakuwaje hapa mbona hizi habari zinachanganya, au majini nayo huugua uchizi kwahiyo hizi ni sifa za majini vichaa?
Asante kwa kushiriki.
Hahahaha hata kwenuu huoni jina la Bwana likitajwa idadi ya wanaonguka ni kubwa kuliko kaka zetu. Nenda tu kamtafune.
Best answerHata kwa manabii na mitume wa tv 95% wanaoanguka kwa mapepo ni wanawake
Probably wako psychologically weak na prone to mass hysteria
Ingawa mimi ni mkristu, ingawa mimi ni mchaga, inagwa mimi ni chadema, ingawa mimi ni mwafrika ,ingawa mimi natoka dar etc. ni kutoka kwa watu wenye hoja ndogo sana.Nani kakuambia kuwa mkristu ndio kunakufanya uje vyema misingi na maandiko ya Kikristu? we tetea ajini ujuavyo km umeenda sana kwa waganga. Wanawake lazima wapate majini sana kwa vile wengi wana malezi mabaya, matokeo yake wanapenda sana shortcuts,ambazo zinawafikisha ktk shida nyingi sana. Ni wanawakae hao hao, ndio wanatapeliwa na kutapeliana ktk vikoba, ni wanawake hao wanauza watoto wao.Japo mimkristu nakubaliana na hoja zako sababu hata upande wetu ukiangalia wenye kusumbuliwa na ivi viumbe ni wanawake.
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba yale matakwa yao ya kuusimamisha uislamu ni fitina tu ya majini wafitini? Mi nilidhani majini mafitini yangehtaji kuisimamisha dini ya mola wao shetwani labda, okay maisha ni kujifunza, dunia pana sana hii.Wewe elmu GANI ya majini?!au unataka tu uikosoe uislamu unavyotaka wewe??
Tena nikufahamishe hakuna viumbe fitna kama Hawa.ukimkuta muumini ni muumini kiukweli ukimkuta mchafu ni mchafu hasa....
Lakini hayo majini yanakuwa yanawaamrisha yaleyale yaliyo amrishwa na vitabu na hadithi za mtume na maswahaba, hapo ndiko kizungumkuti kinapoanzia, yaani mwanamke mwenye majini atauuishi uislamu zaidi kuliko asiye kuwa nayo, tena kwa taarifa pia, hata awe ni Mkristu, yakishamvaa tu atauishi uislamu ktk mambo mengi sana.Ukimuona mtu anafuata anayoamrishwa na majini jua huyo ni mshirikina
Ukweli nikuwa ukimuamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai na kumtegemea huwezi kupatwa na hayo majini/ mapepo.
Nimeelezea Kwa upande ninaoufaham ,ingekuwa vizuri akatokea mtu akaelezea kwa upande wa wanawake wa kikristo tatizo hasa nini wanawake kuwa na mapepo kwani tatizo hili ni la dini zote mbili kwakweli
Lakini hayo majini yanakuwa yanawaamrisha yaleyale yaliyo amrishwa na vitabu na hadithi za mtume na maswahaba, hapo ndiko kizungumkuti kinapoanzia, yaani mwanamke mwenye majini atauuishi uislamu zaidi kuliko asiye kuwa nayo, tena kwa taarifa pia, hata awe ni Mkristu, yakishamvaa tu atauishi uislamu ktk mambo mengi sana.
Mfano anaweza akazuiwa asiingiie kanisani, akaamrishwa kutofanya kazi ijumaa, udi, mavazi nk. Hapo nako kuna walakini juu ya huu mshikamano, tujifunze zaidi.