MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Wewe
Hana hoja huyo zaidi ya matusi ndiyo anayoyajua na dhihaka.
Wewe maalun, Maimuna ta*ko laini wa magomeni naona una janaba la kulala na majini....au umeolewa na jini Hul?

Mtu mwingine ananiita wewe unakimbiza malapa ya kifuani yaliyofukizwa udi hapa.

Hicho kiherehere kilimponza mtoto khadija akiwa na miaka 9.
 
Yaani Majini na Wanawake wa kiislam ni kama uji na mgonjwa.

Mwanamke wa kiislam kuswali ama kuolewa na Majini sunna sheikh.

watakan...kata.
 
Sababu zako ni za kijinga ingawa kweli wanawake wanaingoza , anyways Hata shetani alimuingia hawa na si adam
 
Haaaa haaa haaa mleta uzi unazingua ina maana dada zetu, mama zetu, shangazi na bibi zetu wanatembea na mizigo barabarani
 
Yaani Majini na Wanawake wa kiislam ni kama uji na mgonjwa.

Mwanamke wa kiislam kuswali ama kuolewa na Majini sunna sheikh.

watakan...kata.

Uwiii... sikujua hilo. Kumbe ni uji na mgonjwa. Ukiyataka unakaaa na majanaba yanakukuta! Mmmmmmh haya
 
Haaaa haaa haaa mleta uzi unazingua ina maana dada zetu, mama zetu, shangazi na bibi zetu wanatembea na mizigo barabarani

Uzi haujakamilika wengi umetuacha na maswali
 
Nashangaaga sana utakuta mzazi ata 40 hajamaliza anazurula tena kariakooo why heeee camon inaniuzigi sana
 
Ni kweli mkuu unaweza kuta kuna mtu ana jini na jini hilo humuamuru kuswali na kutenda mambo mengine mema katika jamii, lakini kwa kawaida jini mwema hakai katika mwili wa mwanaadam, pia hawa ambao huwaamrisha binadam kufanya matendo mema huwa ni janja yao tu ya kuanzia ili aonekane ni jini mwema apewe nafasi aheshimiwe na asibughudhiwe,
Lakini baada ya muda huanza tartiibu kuingiza mambo yake.

mfano anataka uwe mganga basi ataanza kukuotesha mfano anakujia na anakufundisha dawa fulani na wewe kwakutojua unamtii basi baada.ya muda atakufundisha mambo mengi ya kufru na ukimtii unakuwa mganga kweli, unafanya matendo mabaya ya kumuasi muumba lakini upande mwengine waonekana msafi unaswali na kutenda matendo mengine mazuri katika dini na jamii.

Kwa hiyo hawa hawapaswi kusikilizwa hata sekunde moja hata akuamuru jambo zuri vipi usimtii.
Shika kanuni hii JINI MWEMA HAMWINGII MWANAADAM, kinyume cha hapo huyo ni jini mwovu asipewe nafasi.
 
Sasa si tuliambiwa majini ni viumbe vyenye kumtii Mungu (Allah), nijuavyo Mungu yuko kinyume na uchafu, inakuwaje hapa mbona hizi habari zinachanganya, au majini nayo huugua uchizi kwahiyo hizi ni sifa za majini vichaa?
Majini ni kama binadamu wapo wema na waovu.
 
Wewe upo dunia gani huoni kwenye TV na hata vipindi vya redio wachungaji wanaendesha maombi kila siku na watu wanaanguka je Wale ni wanawake wa kiislamu?
 
Hili swali wangejibu KE ingefaa zaidi..nipo hapa kupata majibu mujarab
 
Kwendraaaaaa huna jipya πŸ˜ŽπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Hii elimu ya majini hasa tokea upande wa wenzetu hawa imekuwa na mkanganyiko mkubwa sana, kila mmoja amekuwa akiibuka na nadharia yake ambayo kimantiki ni mgumu kuiamini...wajuvi halisia wa elimu hii wanahitjika ili kuweka mambo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…