Hawa wazee wanazingua sanaBado elimu ya majini kama ifundishwavyo na uislamu inakanganya sana, kuna wanaosema kwamba yale yote yanayowakumba watu ni majini waasi, sasa mbona huwa yanawaamuru viti wao kutimiza yote yaliyo kwenye uislamu, tena inasemekana na ndivyo ilivyo, huwa viti wao ni wasafi washika udhu, hawataki janaba na ni swala tano, akizingua hayo huchapwa na majini yao, huyu naye anasema yanapenda uchafu, hapaeleweki hapo.
Majini wema ndio wapi hao? Waweza kututajia majina yao?Majini ni kama binadamu wapo wema na waovu.
Sanaa...!Unayaita ili iweje? unataka kuniambia wanayapenda?
Enhee bana.Kunduva kumbe umeiva kidini hivi.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kama unaweza kutaja binadamu wepi ni wema na wepi wabaya basi na majini utaweza.Wao ni jamii kama tulivyo binadamu au kuna binadamu Fulani wema na wengine wabaya?Majini wema ndio wapi hao? Waweza kututajia majina yao?
Ila Hawa wajuzi wa mambo haya waanze na elimu ya awali kwamba:Somo zuri wahusika wamekuelewa nadhani
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Beef Lasagna maswali umeonA hapaIla Hawa wajuzi wa mambo haya waanze na elimu ya awali kwamba:
1.majini ni nini
2.nini historia yao
3.nini lengo la kuumbwa kwao
4.wanaishi wapi
5.nini mahusiano yao na wanadamu
Haya nadhani yanaweza kupunguza mengi ya maswali maana inaonyesha watu wanachangia wasichokijua.
Enhee bana.
Jini, Shetani na wachawi uzi Huu nilidadavua kidogo. JoseverestIla Hawa wajuzi wa mambo haya waanze na elimu ya awali kwamba:
1.majini ni nini
2.nini historia yao
3.nini lengo la kuumbwa kwao
4.wanaishi wapi
5.nini mahusiano yao na wanadamu
Haya nadhani yanaweza kupunguza mengi ya maswali maana inaonyesha watu wanachangia wasichokijua.
Mkuu unataka elimu hii kutokea upande upi maana uislam una maelezo yake lakini pia kuna maelezo kutoka pande tafauti na uislam nao wana maelezo yao kuhusiana na majini.Ila Hawa wajuzi wa mambo haya waanze na elimu ya awali kwamba:
1.majini ni nini
2.nini historia yao
3.nini lengo la kuumbwa kwao
4.wanaishi wapi
5.nini mahusiano yao na wanadamu
Haya nadhani yanaweza kupunguza mengi ya maswali maana inaonyesha watu wanachangia wasichokijua.
Kutoka huko kwa Uislamu mkuu!Mkuu unataka elimu hii kutokea upande upi maana uislam una maelezo yake lakini pia kuna maelezo kutoka pande tafauti na uislam nao wana maelezo yao kuhusiana na majini.
Jini yoyote anayemuingia mwanadamu ni muasi. Hata akimuamlisha kuswali lakini baadae atamuamlisha kufanya ushirikina.Bado elimu ya majini kama ifundishwavyo na uislamu inakanganya sana, kuna wanaosema kwamba yale yote yanayowakumba watu ni majini waasi, sasa mbona huwa yanawaamuru viti wao kutimiza yote yaliyo kwenye uislamu, tena inasemekana na ndivyo ilivyo, huwa viti wao ni wasafi washika udhu, hawataki janaba na ni swala tano, akizingua hayo huchapwa na majini yao, huyu naye anasema yanapenda uchafu, hapaeleweki hapo.
hakuna jini mkristoKuna kitu kinanichanganya naomba kujua, kwanini watoto wa kike wa kiislam ndo huwa wanadondoka sana na hayo mapepo?
lazima yaanzie yalikotokea...majini yote ni maislamuKwanini majini hayamuamrishi mtu waliyemuingia aende kanisani. Lazima yatamwambia aanze kuswali msikitini
we jamaa bado una produce? au ulishafungaga studio?Sawaa...bishaneni kwa hoja sasa