MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?


Pwenti la msingi lilokosa ithibati ya kisayansi.....

Lakini tunaweza kulithibitisha kwa kwenda kuwafanyia maombi kila mwenye postnatal depression.

Wakipona haraka sana tunachapisha majarida yanayoonyesha uwepo wa mapepo.

Afrika tupo juu :]
 

Lawyer hapo pekundu I think it's more of a psychological problem kwahiyo unakua unakosea kutafuta ufafanuzi kwenye hormone imbalance ambayo imekaa kibaolojia zaidi.
 
Pwenti la msingi lilokosa ithibati ya kisayansi.....

Lakini tunaweza kulithibitisha kwa kwenda kuwafanyia maombi kila mwenye postnatal depression.

Wakipona haraka sana tunachapisha majarida yanayoonyesha uwepo wa mapepo.

Afrika tupo juu :]

Hivi unajua rate ya postnatal depression afrika ni ndogo kuliko ulaya kwasababu ya yale madawa wanayofukizana, wewe ni wa pwani bana utakuwa ushayaelewa. Mimi leo nimejitolea kulifatilia hili suala kwa undani kabisa lakini sjui nani kajifungua karibuni hapa JF ili nikafanye research bila mume wake kujua lakini, manake hii research haihitaji wivu kabisa
 
Lawyer hapo pekundu I think it's more of a psychological problem kwahiyo unakua unakosea kutafuta ufafanuzi kwenye hormone imbalance ambayo imekaa kibaolojia zaidi.
Ok lets say ni psychological, why only common in six weeks time while wanawake wanableed?? thats where my curiousity ipo.
Pia usisahau mapepo pia ni tatizo la kisaikolojia
 

Ati mumewe asijue! Hahaha

Kwa hiyo tunaweza kuendelea kuwasihi akina mama kutoacha kutumia mavushi kwa muda wote watakaokuwa kwenye arubaini zao ili kujikinga na mapepo aka postnatal depression
 
@ gaijin sasa hapo tutahitaji ushuhuda wenu kinamama espesheli wa pwani, yale madubwana yanawapa nafuu? au ni usanii tu. Usione masuala mengi, tayari nimeanza research
 

Now you are talking Gaijin...Sadaka ya nywele kwa miungu yao? Huoni hiyo ni dhahiri kabisa kwamba ndio maana hayo mawigi yanasababisha wanwake kuwa na mapepo?
 
Now you are talking Gaijin...Sadaka ya nywele kwa miungu yao? Huoni hiyo ni dhahiri kabisa kwamba ndio maana hayo mawigi yanasababisha wanwake kuwa na mapepo?

Masaki ina maana Mungu ndio anahusiana na mapepo? Kwa sababu nywele zinatolewa kwa ajili ya Miungu basi lazima mapepo watahusika?

Documentary yenyewe ni hii hapa chini. Wenye kutumia wigs na extensions tafadhalini angalieni kuelewa vitu mnavyotumia vinatoka wapi

 
Last edited by a moderator:

umeambiwa mimi ndo sheikh yahya ?lol.....
 
Hiki kitu kimenishangaza sana na iliniwia vigumu kuamini macho yangu!!.
Leo nilikuwa naangalia Trenet tv ya hawa jamaa wa Efatha ministries. Ilipofika muda wa kuombea wagonjwa, utafiti wangu wa harakaharaka uligundua kuwa katika watu waliogalagala chini kwa mapepo, asilimia zaidi ya 90 ni watu wa jinsia ya kike. Hali hii nimeiona hata kwa wanamaombi wengine kama Mwalimi Mwakasege, Mch Lusekelo na hata kwa Kakobe.
Sasa hivi ni kwa nini wanawake wengi ndio wenye mapepo? Naomba tulijadili hili swala jameni wanaJF......
 
Hilo ni suala la kiimani zaidi! inadaiwa km wanawake wana mioyo dhaifu kuliko wanaume!
 
halafu wanawake ndo wahudhuriaji wazuri kwenye haya makanisa...... Sijui wanakuwa na mapepo kweli au la.......
 
Mojawapo ya sababu ni kuwa mapepo mengi hupenda kukaa kwenye mapambo zaidi ambayo wanawake ndo watumiaji wakubwa. Kwa mfano bangili, pete, vipodozi, madawa ya nywele, perfumes, mawigi n.k. Pia wanawake hushambuliwa zaidi na "spiritual husbands" ambayo ni mapepo ya kiume na wengi huota ndoto wanafanya mapenzi nayo na kwa wale walioolewa huwachukia waume zao au wanapokuwa kwenye tendo la ndoa wanawake hawa hukereka na kusikia maumivu makali sana ili hali wakiwa na hayo mapepo husikia raha. Kuna cases chache pia kwa wanaume kuwa na "spritual wives". Wanawake pia ni watu wa kupewa vizawadi kwa wingi ukilinganisha na wanaume, na katika zawadi hizo nyingi pia huambatana na mapepo ndani yake. n.k
 
"....nitaweka uadui kati yako (ibilisi) na mwanamke" ndo maana mwanamke ana mapambano makali kuliko mwanaume
 
hata mimi huwa nashindwa kuelewa... labda ni rahis mwanamke kuwa attacked na mapepoz kuliko mwanaume... sasa sjiui huo urahis ni sababu ya kimaumbile au kiroho/kinafs...
 
asilimia 80 ya 'wateja' wa makanisa hayo ni wanawake
asilimia 80 ya wateja wa waganga wa kienyeji ni wanawake
asilimia 80 ya wanaotapeliwa fedha kuanzia karata tatu,deci,upatu na kadhalika ni wanawake

chochote kila kinachohusu 'kutoa pesa' utakuta 'victim' asilimia kubwa ni wanawake

go figure that.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…