klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
heheeh hapana mwalim, niliuza scooter ya urisi.Mahari yenyewe si yalikuwa mkopo au? 😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heheeh hapana mwalim, niliuza scooter ya urisi.Mahari yenyewe si yalikuwa mkopo au? 😛
hayo tumsubirie ze boss ayape majina
lakini walahi hili pointi limenijia leo nikaunganisha na post ya ze boss, unajua mpaka leo wazungu wanashindwa kuifafanua postnatal depression kwa namna ya kuridhisha. wanajifanya hormone imbalance at the same time wanasema mama anaweza akamchukia mwanawe katika kipindi cha hii situation sasa hormone imbalance gani itasababisha mama mwenye furaha ya kujifungua amchukie mwanawe?
heheeh hapana mwalim, niliuza scooter ya urisi.
hayo tumsubirie ze boss ayape majina
lakini walahi hili pointi limenijia leo nikaunganisha na post ya ze boss, unajua mpaka leo wazungu wanashindwa kuifafanua postnatal depression kwa namna ya kuridhisha. wanajifanya hormone imbalance at the same time wanasema mama anaweza akamchukia mwanawe katika kipindi cha hii situation sasa hormone imbalance gani itasababisha mama mwenye furaha ya kujifungua amchukie mwanawe?
Pwenti la msingi lilokosa ithibati ya kisayansi.....
Lakini tunaweza kulithibitisha kwa kwenda kuwafanyia maombi kila mwenye postnatal depression.
Wakipona haraka sana tunachapisha majarida yanayoonyesha uwepo wa mapepo.
Afrika tupo juu :]
Ok lets say ni psychological, why only common in six weeks time while wanawake wanableed?? thats where my curiousity ipo.Lawyer hapo pekundu I think it's more of a psychological problem kwahiyo unakua unakosea kutafuta ufafanuzi kwenye hormone imbalance ambayo imekaa kibaolojia zaidi.
Hivi unajua rate ya postnatal depression afrika ni ndogo kuliko ulaya kwasababu ya yale madawa wanayofukizana, wewe ni wa pwani bana utakuwa ushayaelewa. Mimi leo nimejitolea kulifatilia hili suala kwa undani kabisa lakini sjui nani kajifungua karibuni hapa JF ili nikafanye research bila mume wake kujua lakini, manake hii research haihitaji wivu kabisa
Masaki
Wazungu hasa wenye pesa wanatumia sana extensions pamoja na weaves kuongeza volume and length kwenye nywele zao.
Bila ya shaka matukio hayo ni kidogo zaidi kwa Wazungu au wengine kuliko kwa Waafrika lkn nayo ipo.
Kuna documentary moja ya aljazeera ilikuwa ikionyesha vipi high quality hair pieces and extensions are made; from India to Rome to L.A
Hawakuonyesha kuwa zinatokana na maiti bali sadaka ya nywele (kutoka kwa watoto, vijana na wazee), kwa Miungu wao mahekaluni.
Kwa hiyo kwa uchache basi sio mawig yote na extensions zinazotokana na maiti
Now you are talking Gaijin...Sadaka ya nywele kwa miungu yao? Huoni hiyo ni dhahiri kabisa kwamba ndio maana hayo mawigi yanasababisha wanwake kuwa na mapepo?