MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Kat ya mwanamke na mwanaum mwanamke n dhaif hata tukikumbuka adam na hawa hawa ndo halikua dhaif akajaribiwa na shetan {nyoka} na akamshawish mwanamme mapepo yanawafata kwa sababu wenyewe ndo watawashawish wanaume wao kwenda tofaut
 
Nijuavyo mimi ni kwamba:
1. Vipodozi vingi vya wanawake vina attract mapepo, hii ni pamoja na perfumes
2. Kulala uchi usiku, kwa wanawake ni rahisi kuingiliwa na mapepo.

Nawakilisha.

Kwahiyo kulala uchi kunaleta mapepo? Basi wengi tungekuwa nayo
 
Na dhani kwa mada yako ingebidi wataalamu watuandikie makala ndefu ambayo itatufafanulia kwa kina kuhusu wanawake ki mustakabali wa tabia, maumbile na saikolojia yao wakiwa kwenye wasiwasi au emotional yeyote ile...pia watuambie kuhusu mahusiano ya mwanamke na mgonjwa mwingine kisaikolojia...

Baada ya hapo tujuzwe kuhusu mapepo, kinadharia na kisayansi

Kingine tujuzwe mahusiano yaliyopo baina ya nguvu hizi mbili yaani mwanamke na hayo mapepo...

Tujuzwe side effects zake endapo hao wanawake watakuwa kwenye state ya kupagawa...mwandishi hapa ajaribu kutujuza kwa kuwahoji waliopatwa na matatizo...

Tujuzwe kwa nadharia za wataalamu wa dini na wanasaikolojia kuhusiana na tatizo hili pamoja Na way forward kwa aidha ku reduce tatizo au kutibu tatizo...

Hii case ime athiri jamii yetu... Na still bado watu wanadhurika.. Hakuna jibu rasmi... Watafiti anzieni hapo!!!
 
umeongea vema, lakini kuna watalamu wao uhisi kama ni usumbufu usio na faida kwao.Kwa hiyo nao hunyamaza
 
Nimekuwa nikihudhuria na kusikiliza mikutano ya kiroho, nimeshangazwa sana inapokuja suala la kuombewa wanaonguka huwa ni wanawake.

Sasa najiuliza, kwanini wanawake ndio wanaanguka sana na mapepo? Wenye ujuzi na elimu hii wanisaidie
 
kwasababu wanayatoa sehemu nyingi kama kwa waganga wa kienyeji, kwenye mawigi na macosmetics

asante sana hii nimeipenda na ina ukweli ndani yake
 
Sifa mojawapo ya kimaumbile ya mwanamke ni kulinda uhai. Uhai unapotishiwa mwanamke anakosa amani, sasa hawa wachungaji wanapotoa mahubiri yao ya vitisho vya majini, mapepo, laana kwa mwanamke ni kitisho dhidi ya uhai kwa hyo wanajikuta wakiingiwa na hofu na kujiona kama wamepagawa.
 
logic yako nmeikubali
 
asante kwa walionisaidia mapepo ni nguvu ya ajabu ya giza inamwingia mtu na ndio anakuwa msemaji utakuta mtu anakuwa na nguvu ya ajabu anajipiga chini sasa kuna watu wanayakemea baadae linamuachia huyu mtu na kuondoka
 
Ni rahisi Sana kushawishiwa, wana udhaifu wa asili lakini pia ni viumbe dhaifu(kwa mujibu wa maandiko) na ndio maana shetani kwa kujua Hilo alifanikiwa kumshawishi na yeye akamshawishi mumewe na wote wakajikuta wameingia dhambini: kwa kupitia hiyo historia ndo maana wengi wao hushamvuliwa Sana na mapepo
 
Nimeshuhudia makanisa mengi sana yaani asilimia kubwa ya wanaokuwa na mapepo ni wanawake na pia asilimia kubwa ni wepesi kuamini miujiza.

We anzisha kanisa utafute wanawake wanne halafu uende Nigeria au uwaone akina Mwingira, Gwajima, Lusekelo, Kakobe nk wakupe maufundi ya kucheza na akili zao pia kuponya misukule, kufufua wafu, kuponya kisanii walemavu, matatizo ya uja uzito, kutopata mchumba, kutaka kuwa tajiri, kupona UKIMWI, yaani utapata wanawake wengi sana, pia hata ukianzisha tiba mbadala we tibu uzazi, hormone imbalance, kutopata mimba, via vya uzazi nk, utapata wanawake sana nawe utakuwa tajiri, najiuliza kwanini wanawake sana.

Hata mkiwa kwenye ibada utasikia ghafula aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhiii! Sitaki niache ukifuatilia ni jinsia ya kike, jamani mnamatatizo gani hivi hata Ulaya na Asia ni hivyo?

Tujadiliane.
 
Mbona hata kwenye bibilia imetamkwa, Shetani(nyoka) alimdanganya Eva(Mwanamke) halafu Mwanamke ndiyo akamdanganya mwanaume(Adam), ndiyo maana watu wenye akili huwa ni waangalifu sana wanaposikiliza ushauri wa mwanamke
Nashukuru sana mkuu umenipatia mwanga kumbe toka zamani iko hivyo,dah basi kazi tunayo,ujumbe wako nimeupenda
 
Mapepo nayo c yanapenda K!
Soma kwenye Biblia kuhusu habari za giants.. Wale kina Azazel walikuwa malaika kama mia mbili na walitumwa huku Duniani.
Bac walipowaona wanawake wakawatamani na kujitwalia wake.. Wale malaika wakazaa giants na wanawake wa kibinadamu.
Wale giants (Nephilm) wakaleta mateso makubwa sana coz kumlisha giant mmoja ilihitaji kama ng'ombe mzima.. Watu wakamlilia Mungu juu ya hawa giants ndio Mungu akawatangazia hukumu hawa malaika waasi kwa kumtumia Enock na akawafunga kina Azazeli kuzimu gizani na ndipo Mungu baada ya hapo akaleta gharika ya Nuhu kwani wale malaika waasi walikuwa wamesha wafundisha binadamu maovu mengi yaliyomchukiza Mungu...
 
Back
Top Bottom