Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuavyo mimi ni kwamba:
1. Vipodozi vingi vya wanawake vina attract mapepo, hii ni pamoja na perfumes
2. Kulala uchi usiku, kwa wanawake ni rahisi kuingiliwa na mapepo.
Nawakilisha.
Na dhani kwa mada yako ingebidi wataalamu watuandikie makala ndefu ambayo itatufafanulia kwa kina kuhusu wanawake ki mustakabali wa tabia, maumbile na saikolojia yao wakiwa kwenye wasiwasi au emotional yeyote ile...pia watuambie kuhusu mahusiano ya mwanamke na mgonjwa mwingine kisaikolojia...
Baada ya hapo tujuzwe kuhusu mapepo, kinadharia na kisayansi
Kingine tujuzwe mahusiano yaliyopo baina ya nguvu hizi mbili yaani mwanamke na hayo mapepo...
Tujuzwe side effects zake endapo hao wanawake watakuwa kwenye state ya kupagawa...mwandishi hapa ajaribu kutujuza kwa kuwahoji waliopatwa na matatizo...
Tujuzwe kwa nadharia za wataalamu wa dini na wanasaikolojia kuhusiana na tatizo hili pamoja Na way forward kwa aidha ku reduce tatizo au kutibu tatizo...
Hii case ime athiri jamii yetu... Na still bado watu wanadhurika.. Hakuna jibu rasmi... Watafiti anzieni hapo!!!
Sifa mojawapo ya kimaumbile ya mwanamke ni kulinda uhai. Uhai unapotishiwa mwanamke anakosa amani, sasa hawa wachungaji wanapotoa mahubiri yao ya vitisho vya majini, mapepo, laana kwa mwanamke ni kitisho dhidi ya uhai kwa hyo wanajikuta wakiingiwa na hofu na kujiona kama wamepagawa.
Hilo ni suala la kiimani zaidi! inadaiwa km wanawake wana mioyo dhaifu kuliko wanaume!
halafu eti kuna nabii mwanamke !
Nashukuru sana mkuu umenipatia mwanga kumbe toka zamani iko hivyo,dah basi kazi tunayo,ujumbe wako nimeupendaMbona hata kwenye bibilia imetamkwa, Shetani(nyoka) alimdanganya Eva(Mwanamke) halafu Mwanamke ndiyo akamdanganya mwanaume(Adam), ndiyo maana watu wenye akili huwa ni waangalifu sana wanaposikiliza ushauri wa mwanamke