MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Mapepo nayo c yanapenda K!
Soma kwenye Biblia kuhusu habari za giants.. Wale kina Azazel walikuwa malauka kama mia mbili na walitumwa huku Duniani.
Bac walipowaona wanawake wakawatamani na kujitwalia wake.. Wale malaika wakazaa giants na wanawake wa kibinadamu.
Wale giants (Nephilm) wakaleta mateso makubwa sana coz kumlisha giant mmoja ilihitaji kama ng'ombe mzima.. Watu wakamlilia Mungu juu ya hawa giants ndio Mungu akawatangazia hukumu hawa malaika waasi kwa kumtumia Enock naakawafunga kina Azazeli kuzimu gizani na ndipo Mungu baada ya hapo akaleta gharika ya Nuhu kwani wale malaika waasi walikuwa wamesha wafundisha binafamu maovu mengi yaliyomchukiza Mungu...
safi sana mkuu dah JF ina watu wako deep sana nimekuwa nikijiuliza sana ,nimeanza pata majibu kumbe ndo sababu ,na hawa viumbe tunaishi nao na wana ushawishi wa hali ya juu,Mungu atusaidie
 
Mapepo nayo c yanapenda K!
Soma kwenye Biblia kuhusu habari za giants.. Wale kina Azazel walikuwa malaika kama mia mbili na walitumwa huku Duniani.
Bac walipowaona wanawake wakawatamani na kujitwalia wake.. Wale malaika wakazaa giants na wanawake wa kibinadamu.
Wale giants (Nephilm) wakaleta mateso makubwa sana coz kumlisha giant mmoja ilihitaji kama ng'ombe mzima.. Watu wakamlilia Mungu juu ya hawa giants ndio Mungu akawatangazia hukumu hawa malaika waasi kwa kumtumia Enock na akawafunga kina Azazeli kuzimu gizani na ndipo Mungu baada ya hapo akaleta gharika ya Nuhu kwani wale malaika waasi walikuwa wamesha wafundisha binadamu maovu mengi yaliyomchukiza Mungu...
Naomba reference mkuu na mm nipafahamu hapo
 
Mashuleni nako mapepo huwapata wasichana tuuu. Lakini mapepi kwa kiasi kikubwa ni saikilojia tu ni akili zaidi wakati mwingine walimu huwachapa viboko na mapepo hukoma. Au unatishia kuwafukuza. Mapepo sio maada/matter
 
[quote uid=383818 name="Kodofan" post=17624396]Mapepo nayo c yanapenda K!<br />Soma kwenye Biblia kuhusu habari za giants.. Wale kina Azazel walikuwa malaika kama mia mbili na walitumwa huku Duniani.<br />Bac walipowaona wanawake wakawatamani na kujitwalia wake.. Wale malaika wakazaa giants na wanawake wa kibinadamu.<br />Wale giants (Nephilm) wakaleta mateso makubwa sana coz kumlisha giant mmoja ilihitaji kama ng'ombe mzima.. Watu wakamlilia Mungu juu ya hawa giants ndio Mungu akawatangazia hukumu hawa malaika waasi kwa kumtumia Enock na akawafunga kina Azazeli kuzimu gizani na ndipo Mungu baada ya hapo akaleta gharika ya Nuhu kwani wale malaika waasi walikuwa wamesha wafundisha binadamu maovu mengi yaliyomchukiza Mungu...[/QUOTE]<br />Naomba reference mkuu na mm nipafahamu hapo
 
Hayo maelezo yanatoka kichwani tu ama yako kwenye Bible? Naona maelezo yamechanganywa kati ya yaliyo kweli na ya kutungwa
 
Nimeshuhudia makanisa mengi sana yaani asilimia kubwa ya wanaokuwa na mapepo ni wanawake na pia asilimia kubwa ni wepesi kuamini miujiza.

We anzisha kanisa utafute wanawake wanne halafu uende Nigeria au uwaone akina Mwingira, Gwajima, Lusekelo, Kakobe nk wakupe maufundi ya kucheza na akili zao pia kuponya misukule, kufufua wafu, kuponya kisanii walemavu, matatizo ya uja uzito, kutopata mchumba, kutaka kuwa tajiri, kupona UKIMWI, yaani utapata wanawake wengi sana, pia hata ukianzisha tiba mbadala we tibu uzazi, hormone imbalance, kutopata mimba, via vya uzazi nk, utapata wanawake sana nawe utakuwa tajiri, najiuliza kwanini wanawake sana.

Hata mkiwa kwenye ibada utasikia ghafula aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhiii! Sitaki niache ukifuatilia ni jinsia ya kike, jamani mnamatatizo gani hivi hata Ulaya na Asia ni hivyo?

Tujadiliane.

Body structure ya Mwanamke ndiyo huwafanya Mapepo kuwasumbua mno tofauti na wanaume pamoja na Minds zao zinavyoji-operate kama mchangiaji mmoja alivyokwisha kutanabaisha hapo juu.Kama u-Mkristo ukisoma maandiko utaelewa hili zaidi.

Pia shetani (Mapepo) huwatumia wanawake zaidi kufanikisha adhma yao kwakuwa ni viumbe dhaifu kuliko wanawake.Rejea kwa Eva pale bustanini,Rejea kwa Delilah alivyomlaghai Samson kwa wafilisti,Rejea kwa mke wa Ayubu (Japo hakufanikiwa).Mifano ni mingi mno katika Maandiko,Kasome utaelewa.

Hata Dunia ya leo hayo Mapepo hufanya juu chini kupitia kwa mwanamke ili kuitawala/kuiteka Dunia.Nafikiri juu ya kiumbe ambaye ni Msaidizi (Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu) tunapompa nafasi za kuongoza eti kwa kigezo cha HAKI SAWA/USAWA WA KIJINSIA huku tukisahau kabiisa kuwa Mwanamke hapaswi kuwa kiongozi.Binafsi nasema kuwa huu ni muendelezo wa hila za hawa Mapepo na siyo vinginevyo (Mapenzi ya Allha).

Hizi ni hila za hao Mapepo tu,Si Mapenzi ya Mungu mwanamke kumuongoza Mwanamke japo Uwezo huo anao ila MUNGU HAKUWAPA MAMLAKA HAYO.Ndiyo tafasiri ya Mwanamke kutolewa ubavuni mwa Mwanaume,ili tu Mmoja awe chini ya Mwenzake na siyo kama tulivyokubali kuliwa Vichwa na hawa Mapepo kwa vigezo vya kipuuzi.

Hakuna Dhambi ambayo hatutosamehewa kwa Mungu kama kumpa nafasi za uongozi Mwanamke.Mwanamke ni msaidizi,ni mtu wa Nyumbani na siyo vinginevyo.Huku kufanya kazi,Kuwa Boss,Mmiliki wa Kampuni,Asasi mbali mbali nk ni uzembe wa baadhi ya Wanaume kutotimiza wajibu wao ipasavyo hivyo kumpelekea mwanamke kuwa mtu fulani/kujishughulisha.

Ieleweke kuwa mimi siyo muumini wa Kuwapinga wanawake kimaumbile/Kijinsia,Bali najaribu kuonyesha Uhalisia uliopotezwa na haya MAPEPO kwa visingizio visivyokuwa na maana ilhali sisi wanaume ambao ndio vichwa tukiwa kimya kanakwamba hatuelewi lolote.

Mungu atupe Macho pamoja na Maarifa tuyaone haya.
 
Mbona hata kwenye bibilia imetamkwa, Shetani(nyoka) alimdanganya Eva(Mwanamke) halafu Mwanamke ndiyo akamdanganya mwanaume(Adam), ndiyo maana watu wenye akili huwa ni waangalifu sana wanaposikiliza ushauri wa mwanamke

Thank you sana Mkuu,MKWEPA KODI.

Basi kwa kulitambua hilo,tujitahidi sana kujiadhari na hawa viumbe.Tuishi nao kwa akili kubwa sana.
 
Ndiyo maana hata kama utaoa mwanamke akakukuta unakazi halafu akakwambia uachane nayo kwasababu zake binafsi be care.
 
Mmmmh ila Mawazo sura ya 6 haizungumzii Habari za azazeli, Habari hizo zinapatikana kitabu cha mambo ya walawi sura ya 16
 
Body structure ya Mwanamke ndiyo huwafanya Mapepo kuwasumbua mno tofauti na wanaume pamoja na Minds zao zinavyoji-operate kama mchangiaji mmoja alivyokwisha kutanabaisha hapo juu.Kama u-Mkristo ukisoma maandiko utaelewa hili zaidi.

Pia shetani (Mapepo) huwatumia wanawake zaidi kufanikisha adhma yao kwakuwa ni viumbe dhaifu kuliko wanawake.Rejea kwa Eva pale bustanini,Rejea kwa Delilah alivyomlaghai Samson kwa wafilisti,Rejea kwa mke wa Ayubu (Japo hakufanikiwa).Mifano ni mingi mno katika Maandiko,Kasome utaelewa.

Hata Dunia ya leo hayo Mapepo hufanya juu chini kupitia kwa mwanamke ili kuitawala/kuiteka Dunia.Nafikiri juu ya kiumbe ambaye ni Msaidizi (Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu) tunapompa nafasi za kuongoza eti kwa kigezo cha HAKI SAWA/USAWA WA KIJINSIA huku tukisahau kabiisa kuwa Mwanamke hapaswi kuwa kiongozi.Binafsi nasema kuwa huu ni muendelezo wa hila za hawa Mapepo na siyo vinginevyo (Mapenzi ya Allha).

Hizi ni hila za hao Mapepo tu,Si Mapenzi ya Mungu mwanamke kumuongoza Mwanamke japo Uwezo huo anao ila MUNGU HAKUWAPA MAMLAKA HAYO.Ndiyo tafasiri ya Mwanamke kutolewa ubavuni mwa Mwanaume,ili tu Mmoja awe chini ya Mwenzake na siyo kama tulivyokubali kuliwa Vichwa na hawa Mapepo kwa vigezo vya kipuuzi.

Hakuna Dhambi ambayo hatutosamehewa kwa Mungu kama kumpa nafasi za uongozi Mwanamke.Mwanamke ni msaidizi,ni mtu wa Nyumbani na siyo vinginevyo.Huku kufanya kazi,Kuwa Boss,Mmiliki wa Kampuni,Asasi mbali mbali nk ni uzembe wa baadhi ya Wanaume kutotimiza wajibu wao ipasavyo hivyo kumpelekea mwanamke kuwa mtu fulani/kujishughulisha.

Ieleweke kuwa mimi siyo muumini wa Kuwapinga wanawake kimaumbile/Kijinsia,Bali najaribu kuonyesha Uhalisia uliopotezwa na haya MAPEPO kwa visingizio visivyokuwa na maana ilhali sisi wanaume ambao ndio vichwa tukiwa kimya kanakwamba hatuelewi lolote.

Mungu atupe Macho pamoja na Maarifa tuyaone haya.
NASHUKURU SANA MKUU KWA HII ELIMU NASHUKURU SANA JF KUNA WATU WENYE UPEO MKUBWA NAMNA HII,SASA NIMEPUNGUZA MASWALI KUMBE HAWA WATU NI KUISHI NAO KWA AKILI SANA TENA SANA NA KUMUOMBA MUNGU KWANI WANA AKILI SANA NA KWA UWEZO WETU HATUWEZI KUYAGUNDUA MENGINE
 
Back
Top Bottom