MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Body structure ya Mwanamke ndiyo huwafanya Mapepo kuwasumbua mno tofauti na wanaume pamoja na Minds zao zinavyoji-operate kama mchangiaji mmoja alivyokwisha kutanabaisha hapo juu.Kama u-Mkristo ukisoma maandiko utaelewa hili zaidi.

Pia shetani (Mapepo) huwatumia wanawake zaidi kufanikisha adhma yao kwakuwa ni viumbe dhaifu kuliko wanawake.Rejea kwa Eva pale bustanini,Rejea kwa Delilah alivyomlaghai Samson kwa wafilisti,Rejea kwa mke wa Ayubu (Japo hakufanikiwa).Mifano ni mingi mno katika Maandiko,Kasome utaelewa.

Hata Dunia ya leo hayo Mapepo hufanya juu chini kupitia kwa mwanamke ili kuitawala/kuiteka Dunia.Nafikiri juu ya kiumbe ambaye ni Msaidizi (Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu) tunapompa nafasi za kuongoza eti kwa kigezo cha HAKI SAWA/USAWA WA KIJINSIA huku tukisahau kabiisa kuwa Mwanamke hapaswi kuwa kiongozi.Binafsi nasema kuwa huu ni muendelezo wa hila za hawa Mapepo na siyo vinginevyo (Mapenzi ya Allha).

Hizi ni hila za hao Mapepo tu,Si Mapenzi ya Mungu mwanamke kumuongoza Mwanamke japo Uwezo huo anao ila MUNGU HAKUWAPA MAMLAKA HAYO.Ndiyo tafasiri ya Mwanamke kutolewa ubavuni mwa Mwanaume,ili tu Mmoja awe chini ya Mwenzake na siyo kama tulivyokubali kuliwa Vichwa na hawa Mapepo kwa vigezo vya kipuuzi.

Hakuna Dhambi ambayo hatutosamehewa kwa Mungu kama kumpa nafasi za uongozi Mwanamke.Mwanamke ni msaidizi,ni mtu wa Nyumbani na siyo vinginevyo.Huku kufanya kazi,Kuwa Boss,Mmiliki wa Kampuni,Asasi mbali mbali nk ni uzembe wa baadhi ya Wanaume kutotimiza wajibu wao ipasavyo hivyo kumpelekea mwanamke kuwa mtu fulani/kujishughulisha.

Ieleweke kuwa mimi siyo muumini wa Kuwapinga wanawake kimaumbile/Kijinsia,Bali najaribu kuonyesha Uhalisia uliopotezwa na haya MAPEPO kwa visingizio visivyokuwa na maana ilhali sisi wanaume ambao ndio vichwa tukiwa kimya kanakwamba hatuelewi lolote.

Mungu atupe Macho pamoja na Maarifa tuyaone haya.
NIMEKUELEWA SANA HATA WAKIJA KUKUPINGA ILA UJUMBE UMEELEWEKA,ATAKAYEJIDAI HAELEWI IPO SIKU ATAJIBU HATA KATIKA WANAFUNZI WA YESU MBONA HAPAKUWA NA MWANAMKE KWANI YESU HAKUWAONA,HAWAKUWEPO,WALIKUWEPO ILA ALIMAANISHA HAWA WATU SIO ACHA WABAKI KUWA HAWA
 
Mapepo nayo c yanapenda K!
Soma kwenye Biblia kuhusu habari za giants.. Wale kina Azazel walikuwa malaika kama mia mbili na walitumwa huku Duniani.
Bac walipowaona wanawake wakawatamani na kujitwalia wake.. Wale malaika wakazaa giants na wanawake wa kibinadamu.
Wale giants (Nephilm) wakaleta mateso makubwa sana coz kumlisha giant mmoja ilihitaji kama ng'ombe mzima.. Watu wakamlilia Mungu juu ya hawa giants ndio Mungu akawatangazia hukumu hawa malaika waasi kwa kumtumia Enock na akawafunga kina Azazeli kuzimu gizani na ndipo Mungu baada ya hapo akaleta gharika ya Nuhu kwani wale malaika waasi walikuwa wamesha wafundisha binadamu maovu mengi yaliyomchukiza Mungu...
Sawasawa mkuu,nmepata somo
 
Pia shetani (Mapepo) huwatumia wanawake zaidi kufanikisha adhma yao kwakuwa ni viumbe dhaifu kuliko wanawake.Rejea kwa Eva pale bustanini,Rejea kwa Delilah alivyomlaghai Samson kwa wafilisti,Rejea kwa mke wa Ayubu (Japo hakufanikiwa).Mifano ni mingi mno katika Maandiko,Kasome utaelewa.

Kwa akili ya kawaida adui hawezi kumshambulia mdhaifu ili mdhaifu akamshambulie mwenye nguvu. Huanza na mwenye nguvu, hivyo shetani alimshawishi kwanza mwanamke kwa kuwa ndiye mwenye nguvu na ndiye lango la maisha ya binadamu. Angeanza na Adam kusingekuwa na impact yoyote kwani Adam alishaonekana dhaifu tangu mwanzo ikabidi kuumbiwa msaidizi mwenye nguvu. Ikabidi msaidizi aumbwe kwa mfupa. Mfupani imara mara 1000 kuliko udongo. Au? Wafalme na wanaume wote waliokuwa na nguvu za kimwili na kisiasa na kiuchumi hawakuweza kusimama mtikisiko wa mwanamke. Si Daudi, si Sulemani, si Samsoni, si Ahabu mbele Jezebel, si Xerxes mbele ya Esther, si Yuda mbele ya Tamari, si wapelelezi mbele ya Rahabu.

Nafikiri juu ya kiumbe ambaye ni Msaidizi (Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu) tunapompa nafasi za kuongoza eti kwa kigezo cha HAKI SAWA/USAWA WA KIJINSIA huku tukisahau kabiisa kuwa Mwanamke hapaswi kuwa kiongozi.Binafsi nasema kuwa huu ni muendelezo wa hila za hawa Mapepo na siyo vinginevyo (Mapenzi ya Allha).

Mungu yupi unamuongelea? Miriam alikuwa kiongozi sambaba na Musa na Haruni. Katika Waamuzi 4 tunamuona mwanamke nabii Debora akiongoza taifa. Kaangalie mchango wake kwenye vita ya Sisera na Barak. Hapo utamkuta na mwanamke mwingine aitwaye Jael. Ni watumiaji wazuri wa akili. Ndo maana mkaambiwa muishi nao kwa akili (knowledge).

Hizi ni hila za hao Mapepo tu,Si Mapenzi ya Mungu mwanamke kumuongoza Mwanamke japo Uwezo huo anao ila MUNGU HAKUWAPA MAMLAKA HAYO.Ndiyo tafasiri ya Mwanamke kutolewa ubavuni mwa Mwanaume,ili tu Mmoja awe chini ya Mwenzake na siyo kama tulivyokubali kuliwa Vichwa na hawa Mapepo kwa vigezo vya kipuuzi.

Mtu mwenye nguvu na akili hawezi kuliwa kichwa na kitu dhaifu. Ndo maana mapepo hayahangaiki na vitu dhaifu tayari kwa sababu havina impact kwenye falme na mamlaka. Yanashambulia wenye nguvu. Hakuna mahali biblia imesema wanaume ni jeshi kubwa, bali wanawake ni jeshi kubwa.

Hakuna Dhambi ambayo hatutosamehewa kwa Mungu kama kumpa nafasi za uongozi Mwanamke.Mwanamke ni msaidizi,ni mtu wa Nyumbani na siyo vinginevyo.Huku kufanya kazi,Kuwa Boss,Mmiliki wa Kampuni,Asasi mbali mbali nk ni uzembe wa baadhi ya Wanaume kutotimiza wajibu wao ipasavyo hivyo kumpelekea mwanamke kuwa mtu fulani/kujishughulisha.

Hii ni kinyume na Quran na Biblia takatifu. Navyojua Bi Khadija alikuwa mfanyabiashara mkubwa. Na katika Biblia mke katika kitabu cha Mithali 31(Epilogue: The Wife of Noble Character) ni mwanamke anayejishughulisha. Kama unajua historia vijana walikuwa wakienda vitani. Akioa alikuwa anapumzika kupigana kwa muda wa mwaka mmoja kisha hurudi vitani. Kama kazi ya mwanamke ni kukaa nyumbani, ni nani alikuwa akilisha familia wanaume wakiwa vitani? Ni nchi gani duniani iliyopoteza utukufu kwa kuwa wanaume wake wamekufa au kufulia au kulewa gongo? Wanawake wanaweza kuhimili maisha bila wanaume kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Mwanaume akifiwa na mke atahangaika hajui afanye nini. Lazima atatafuta msaada wa mwanamke: kama si mama yake basi dada yake au housegirl au mwalimu wa day care. Ndo hivyo. Sasa hebu tusikie wanawake wa Rombo wameanza nao kulewa gongo uone kama Rombo haitabaki mahame ya kihistoria ndani ya miaka mitano.

Mungu atupe Macho pamoja na Maarifa tuyaone haya
Hapa umenena vyema. Mungu awape macho na maarifa. Wanaume wengi mmepoteza nafasi zenu. Hamtulii kwenye nafasi zenu. Kilichomtuma Adam kuondoka kwenye ulinzi wa mkewe ni nini? Matokeo yake shetani mwenye nguvu kuliko mwanamke akapata nafasi ya kumpa mlinzi mwenye nguvu kuliko mwanamume hila yakatukuta yaliyotukuta. Au hujui imeandikwa mke atamlinda mumewe? Je, mlinzi aweza kuwa dhaifu kuliko alindwaye? Ukijidai una nguvu kwa kuwa ni mwanaume ukajifanyia mambo bila kutambua nafasi ya mwanamke popote alipo mwanaume, na mwanamke asipotambua nguvu zake na majukumu yake shurti tupatwe.

Wote tunahitaji maarifa. Tukianza kudharauliana kwa vigezo vya udhaifu na nguvu hatutafika. Tunahitaji kuheshimiana na kupendana ili tuweze kufanya kusudio la Mungu.
Body structure ya Mwanamke ndiyo huwafanya Mapepo kuwasumbua mno tofauti na wanaume pamoja na Minds zao zinavyoji-operate kama mchangiaji mmoja alivyokwisha kutanabaisha hapo juu.Kama u-Mkristo ukisoma maandiko utaelewa hili zaidi.

Pia shetani (Mapepo) huwatumia wanawake zaidi kufanikisha adhma yao kwakuwa ni viumbe dhaifu kuliko wanawake.Rejea kwa Eva pale bustanini,Rejea kwa Delilah alivyomlaghai Samson kwa wafilisti,Rejea kwa mke wa Ayubu (Japo hakufanikiwa).Mifano ni mingi mno katika Maandiko,Kasome utaelewa.

Hata Dunia ya leo hayo Mapepo hufanya juu chini kupitia kwa mwanamke ili kuitawala/kuiteka Dunia.Nafikiri juu ya kiumbe ambaye ni Msaidizi (Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu) tunapompa nafasi za kuongoza eti kwa kigezo cha HAKI SAWA/USAWA WA KIJINSIA huku tukisahau kabiisa kuwa Mwanamke hapaswi kuwa kiongozi.Binafsi nasema kuwa huu ni muendelezo wa hila za hawa Mapepo na siyo vinginevyo (Mapenzi ya Allha).

Hizi ni hila za hao Mapepo tu,Si Mapenzi ya Mungu mwanamke kumuongoza Mwanamke japo Uwezo huo anao ila MUNGU HAKUWAPA MAMLAKA HAYO.Ndiyo tafasiri ya Mwanamke kutolewa ubavuni mwa Mwanaume,ili tu Mmoja awe chini ya Mwenzake na siyo kama tulivyokubali kuliwa Vichwa na hawa Mapepo kwa vigezo vya kipuuzi.

Hakuna Dhambi ambayo hatutosamehewa kwa Mungu kama kumpa nafasi za uongozi Mwanamke.Mwanamke ni msaidizi,ni mtu wa Nyumbani na siyo vinginevyo.Huku kufanya kazi,Kuwa Boss,Mmiliki wa Kampuni,Asasi mbali mbali nk ni uzembe wa baadhi ya Wanaume kutotimiza wajibu wao ipasavyo hivyo kumpelekea mwanamke kuwa mtu fulani/kujishughulisha.

Ieleweke kuwa mimi siyo muumini wa Kuwapinga wanawake kimaumbile/Kijinsia,Bali najaribu kuonyesha Uhalisia uliopotezwa na haya MAPEPO kwa visingizio visivyokuwa na maana ilhali sisi wanaume ambao ndio vichwa tukiwa kimya kanakwamba hatuelewi lolote.

Mungu atupe Macho pamoja na Maarifa tuyaone haya.
 
Soma kitabu cha Mwanzo 6. Pia kama unajua Kiingereza google 'The book of Enock' Kitabu hiki hakijahumuishwa kwenye Biblia toleo tulilo nalo.
Subiri toleo lijalo watakiweka,Mtachakachua Injili mpaka basi lakini Injili original ni ile ambayo ALLAH alimpa Issa Bin Mariam
 
Nimekuelewa
Lakini nahisi umetafsiri mambo ki feminist kweli kweli
 
Wote tunahitaji maarif
Subiri toleo lijalo watakiweka,Mtachakachua Injili mpaka basi lakini Injili original ni ile ambayo ALLAH alimpa Issa Bin Mariam
katika wanafunzi wote wa Yesu hapakuwa na mwanamke Yesu au nabii ISAYA alimaanisha,hata Mungu mwenyewe kumuumba mwanamke kupitia ktk ubavu tena wa kushoto alimaanisha,alikuwa na uwezo wa kumfinyanga kama mwenzie,hata alipompa adhabu ya kubeba mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu alimaanisha angeweza angempa raha ktk uzao,mi naona mama atabaki kuwa mama kama kiumbe dhaifu tutaongea weeeeeeeeeeeeeeeee tutajifariji ila mwanamke utabaki ukikojoa umechuchumaa ukikaribia ardhi na mwanaume atabaki akikojoa amesimama akiwa mbali na ardhi,kuna wengine wamewahi sema akili ya mwanamke inaishia pafupi kama asivyoweza kukojoa mbali ila mwanaume ana uwezo wa kulenga mbali,wote tunategemeana ila swala la mke kusimama kwenye mimbar NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO hadi Yesu atakaporudi
a. Tukianza kudharauliana kwa vigezo vya udhaifu na nguvu hatutafika. Tunahitaji kuheshimiana na kupendana ili tuweze kufanya kusudio la Mungu.
Pia shetani (Mapepo) huwatumia wanawake zaidi kufanikisha adhma yao kwakuwa ni viumbe dhaifu kuliko wanawake.Rejea kwa Eva pale bustanini,Rejea kwa Delilah alivyomlaghai Samson kwa wafilisti,Rejea kwa mke wa Ayubu (Japo hakufanikiwa).Mifano ni mingi mno katika Maandiko,Kasome utaelewa.

Kwa akili ya kawaida adui hawezi kumshambulia mdhaifu ili mdhaifu akamshambulie mwenye nguvu. Huanza na mwenye nguvu, hivyo shetani alimshawishi kwanza mwanamke kwa kuwa ndiye mwenye nguvu na ndiye lango la maisha ya binadamu. Angeanza na Adam kusingekuwa na impact yoyote kwani Adam alishaonekana dhaifu tangu mwanzo ikabidi kuumbiwa msaidizi mwenye nguvu. Ikabidi msaidizi aumbwe kwa mfupa. Mfupani imara mara 1000 kuliko udongo. Au? Wafalme na wanaume wote waliokuwa na nguvu za kimwili na kisiasa na kiuchumi hawakuweza kusimama mtikisiko wa mwanamke. Si Daudi, si Sulemani, si Samsoni, si Ahabu mbele Jezebel, si Xerxes mbele ya Esther, si Yuda mbele ya Tamari, si wapelelezi mbele ya Rahabu.

Nafikiri juu ya kiumbe ambaye ni Msaidizi (Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu) tunapompa nafasi za kuongoza eti kwa kigezo cha HAKI SAWA/USAWA WA KIJINSIA huku tukisahau kabiisa kuwa Mwanamke hapaswi kuwa kiongozi.Binafsi nasema kuwa huu ni muendelezo wa hila za hawa Mapepo na siyo vinginevyo (Mapenzi ya Allha).

Mungu yupi unamuongelea? Miriam alikuwa kiongozi sambaba na Musa na Haruni. Katika Waamuzi 4 tunamuona mwanamke nabii Debora akiongoza taifa. Kaangalie mchango wake kwenye vita ya Sisera na Barak. Hapo utamkuta na mwanamke mwingine aitwaye Jael. Ni watumiaji wazuri wa akili. Ndo maana mkaambiwa muishi nao kwa akili (knowledge).

Hizi ni hila za hao Mapepo tu,Si Mapenzi ya Mungu mwanamke kumuongoza Mwanamke japo Uwezo huo anao ila MUNGU HAKUWAPA MAMLAKA HAYO.Ndiyo tafasiri ya Mwanamke kutolewa ubavuni mwa Mwanaume,ili tu Mmoja awe chini ya Mwenzake na siyo kama tulivyokubali kuliwa Vichwa na hawa Mapepo kwa vigezo vya kipuuzi.

Mtu mwenye nguvu na akili hawezi kuliwa kichwa na kitu dhaifu. Ndo maana mapepo hayahangaiki na vitu dhaifu tayari kwa sababu havina impact kwenye falme na mamlaka. Yanashambulia wenye nguvu. Hakuna mahali biblia imesema wanaume ni jeshi kubwa, bali wanawake ni jeshi kubwa.

Hakuna Dhambi ambayo hatutosamehewa kwa Mungu kama kumpa nafasi za uongozi Mwanamke.Mwanamke ni msaidizi,ni mtu wa Nyumbani na siyo vinginevyo.Huku kufanya kazi,Kuwa Boss,Mmiliki wa Kampuni,Asasi mbali mbali nk ni uzembe wa baadhi ya Wanaume kutotimiza wajibu wao ipasavyo hivyo kumpelekea mwanamke kuwa mtu fulani/kujishughulisha.

Hii ni kinyume na Quran na Biblia takatifu. Navyojua Bi Khadija alikuwa mfanyabiashara mkubwa. Na katika Biblia mke katika kitabu cha Mithali 31(Epilogue: The Wife of Noble Character) ni mwanamke anayejishughulisha. Kama unajua historia vijana walikuwa wakienda vitani. Akioa alikuwa anapumzika kupigana kwa muda wa mwaka mmoja kisha hurudi vitani. Kama kazi ya mwanamke ni kukaa nyumbani, ni nani alikuwa akilisha familia wanaume wakiwa vitani? Ni nchi gani duniani iliyopoteza utukufu kwa kuwa wanaume wake wamekufa au kufulia au kulewa gongo? Wanawake wanaweza kuhimili maisha bila wanaume kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Mwanaume akifiwa na mke atahangaika hajui afanye nini. Lazima atatafuta msaada wa mwanamke: kama si mama yake basi dada yake au housegirl au mwalimu wa day care. Ndo hivyo. Sasa hebu tusikie wanawake wa Rombo wameanza nao kulewa gongo uone kama Rombo haitabaki mahame ya kihistoria ndani ya miaka mitano.

Mungu atupe Macho pamoja na Maarifa tuyaone haya
Hapa umenena vyema. Mungu awape macho na maarifa. Wanaume wengi mmepoteza nafasi zenu. Hamtulii kwenye nafasi zenu. Kilichomtuma Adam kuondoka kwenye ulinzi wa mkewe ni nini? Matokeo yake shetani mwenye nguvu kuliko mwanamke akapata nafasi ya kumpa mlinzi mwenye nguvu kuliko mwanamume hila yakatukuta yaliyotukuta. Au hujui imeandikwa mke atamlinda mumewe? Je, mlinzi aweza kuwa dhaifu kuliko alindwaye? Ukijidai una nguvu kwa kuwa ni mwanaume ukajifanyia mambo bila kutambua nafasi ya mwanamke popote alipo mwanaume, na mwanamke asipotambua nguvu zake na majukumu yake shurti tupatwe.

Wote tunahitaji maarifa. Tukianza kudharauliana kwa vigezo vya udhaifu na nguvu hatutafika. Tunahitaji kuheshimiana na kupendana ili tuweze kufanya kusudio la Mungu.
 
Japo mi mi mkristo ila waislamu nawapa salute,huoni mdada na kimini chake kwenye mimbari hata akivaa kigauni mtego haendi pale juu,hongereni waislamu
 
Ndugu yangu sisi waislamu tumeruhusiwa kuoa mpaka mkiristo ambaye anafuata injili original na katika injili original mafundisho yake huwezi kumuona mwanamke sehemu ya ibada mapaja yanaoneka.Injili original haisemi yesu mungu ila ni mtume aliyekua anafufua wafu kwa amri ya mungu,nakupa kazi nitafutie binti mkiristo anayefata injili original nimuoe mwambie kazi nnayo.Ukimpata niPM
 
Mbona hata kwenye bibilia imetamkwa, Shetani(nyoka) alimdanganya Eva(Mwanamke) halafu Mwanamke ndiyo akamdanganya mwanaume(Adam), ndiyo maana watu wenye akili huwa ni waangalifu sana wanaposikiliza ushauri wa mwanamke
Ila dakitare alitekwa naye.....wache waowane.
 
Nadhani wameumbwa hivo kusudi wangekuwa na tabia kama wanaume dunia ingekalika?
 
Body structure ya Mwanamke ndiyo huwafanya Mapepo kuwasumbua mno tofauti na wanaume pamoja na Minds zao zinavyoji-operate kama mchangiaji mmoja alivyokwisha kutanabaisha hapo juu.Kama u-Mkristo ukisoma maandiko utaelewa hili zaidi.

Pia shetani (Mapepo) huwatumia wanawake zaidi kufanikisha adhma yao kwakuwa ni viumbe dhaifu kuliko wanawake.Rejea kwa Eva pale bustanini,Rejea kwa Delilah alivyomlaghai Samson kwa wafilisti,Rejea kwa mke wa Ayubu (Japo hakufanikiwa).Mifano ni mingi mno katika Maandiko,Kasome utaelewa.

Hata Dunia ya leo hayo Mapepo hufanya juu chini kupitia kwa mwanamke ili kuitawala/kuiteka Dunia.Nafikiri juu ya kiumbe ambaye ni Msaidizi (Kwa mujibu wa Biblia na Quran tukufu) tunapompa nafasi za kuongoza eti kwa kigezo cha HAKI SAWA/USAWA WA KIJINSIA huku tukisahau kabiisa kuwa Mwanamke hapaswi kuwa kiongozi.Binafsi nasema kuwa huu ni muendelezo wa hila za hawa Mapepo na siyo vinginevyo (Mapenzi ya Allha).

Hizi ni hila za hao Mapepo tu,Si Mapenzi ya Mungu mwanamke kumuongoza Mwanamke japo Uwezo huo anao ila MUNGU HAKUWAPA MAMLAKA HAYO.Ndiyo tafasiri ya Mwanamke kutolewa ubavuni mwa Mwanaume,ili tu Mmoja awe chini ya Mwenzake na siyo kama tulivyokubali kuliwa Vichwa na hawa Mapepo kwa vigezo vya kipuuzi.

Hakuna Dhambi ambayo hatutosamehewa kwa Mungu kama kumpa nafasi za uongozi Mwanamke.Mwanamke ni msaidizi,ni mtu wa Nyumbani na siyo vinginevyo.Huku kufanya kazi,Kuwa Boss,Mmiliki wa Kampuni,Asasi mbali mbali nk ni uzembe wa baadhi ya Wanaume kutotimiza wajibu wao ipasavyo hivyo kumpelekea mwanamke kuwa mtu fulani/kujishughulisha.

Ieleweke kuwa mimi siyo muumini wa Kuwapinga wanawake kimaumbile/Kijinsia,Bali najaribu kuonyesha Uhalisia uliopotezwa na haya MAPEPO kwa visingizio visivyokuwa na maana ilhali sisi wanaume ambao ndio vichwa tukiwa kimya kanakwamba hatuelewi lolote.

Mungu atupe Macho pamoja na Maarifa tuyaone haya.

huu mfumo dume mlionao utaisha mpaka lini mbona mnachakachua maandiko ya Mungu kwahiyo sisi sio wanadamu kama ninyi achene kutudharau kiasi hiki kwani mambo ya nyumbani tuliambiwa kufanya sisi si yalikuwa mambo yenu wanaume sisi kusaidia tu kazi zote za duniani ni zenu sisi tunasaidia ACHA kutudharau eti sisi kazi zetu ni za kukaa nyumbani tu nasio maofisini wala utawalani ACHENI DHANA POTOFU ZA KUMKANDAMIZA MWANAMKE na kusema sisi HATUFAI huo ndio nauita MFUMO DUME
 
Mkuu sina cha kuongeza kwani nikiandika walau paragraph 2 tu juu ya mpango wa shetani katika kuiangamiza dumia kwa kupitia huyo mwanamke najua wasiokua na imani watasema mengi, ila you partially said it[emoji120] na hata hivyo hizi ni sifa chache za KE kwa jinsi anavyotumiwa na shetani
1. Hawajioni wazuri mpaka waende uchi - utumwa wa akili which open doors for evil spirit
2. Hawa appreciate Mungu alivyowaumba- Hence the evil spirit add to their tone things like skin bleaching, fake nails, hair and devilsh cosmetics etc
3. Tabia kama umalaya , kiburi, ulevi, kuolewa na kuachwa eti kanitenda na hata wakiingia kwenye mahusiano mengine huvunjika "they're possessed by evil spirit
4. They're easily manipulated - wadau walisha sema hapo juu how the devil [emoji49] manipulated then down the history of religious

Mwisho si mpango wa Mungu kumfanya mwanamke kiongozi na wala hakuna na hakutakuwa na usawa baina ya mwanamke na mwanaume hayo mengine ngojera tu. Ila ni juu ya wanaume kuwatendea wema.
 
Tokea siku ya kwanza shetani alimtumia mwanamke kwa iyo ndo ujue wanawake ndo wanaleta maumivu mengi, na machafuko mengi ya kiistoria na kisiasa na hata kijamii ukichunguza mwanamke anausika kwa kiasi kikubwa,...wanawake wanatumia weakness zao kuleta maumivu na machafuko
 
Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya kuzaa..kulea familia na kupika...sio kuwa kiongozi...Sitathubutu kumchagua mwanamke hata ssiku moja.
 
Mafuta mnayopaka mawigi mnayovaai hujui yamet ka wapi na damu ya kila mwenzi ni kivutio cha mapepo
 
Mkuu sina cha kuongeza kwani nikiandika walau paragraph 2 tu juu ya mpango wa shetani katika kuiangamiza dumia kwa kupitia huyo mwanamke najua wasiokua na imani watasema mengi, ila you partially said it[emoji120] na hata hivyo hizi ni sifa chache za KE kwa jinsi anavyotumiwa na shetani
1. Hawajioni wazuri mpaka waende uchi - utumwa wa akili which open doors for evil spirit
2. Hawa appreciate Mungu alivyowaumba- Hence the evil spirit add to their tone things like skin bleaching, fake nails, hair and devilsh cosmetics etc
3. Tabia kama umalaya , kiburi, ulevi, kuolewa na kuachwa eti kanitenda na hata wakiingia kwenye mahusiano mengine huvunjika "they're possessed by evil spirit
4. They're easily manipulated - wadau walisha sema hapo juu how the devil [emoji49] manipulated then down the history of religious

Mwisho si mpango wa Mungu kumfanya mwanamke kiongozi na wala hakuna na hakutakuwa na usawa baina ya mwanamke na mwanaume hayo mengine ngojera tu. Ila ni juu ya wanaume kuwatendea wema.

Hongera sana Mkuu,Mc Zipompapompa.

Umekuwa mmoja wa tuliolitambua hili mapema,tuzidi kuwa makini na tuishi nao kwa akili kubwa mno.Hata mke wangu kuna baadhi ya mambo namnyima kwa makusudi na kuniona Dikteta wakati mlengo wangu ni mwema kwake.

Kwake (wife) ataniona sifai ila kwa Mwenyenzi Mungu napata thawabu kubwa mno.Kama utaweza (Japo siyo lazima) uishi kwa kuyafuata maandiko kwa Mujibu wa imani yako.
 
huu mfumo dume mlionao utaisha mpaka lini mbona mnachakachua maandiko ya Mungu kwahiyo sisi sio wanadamu kama ninyi achene kutudharau kiasi hiki kwani mambo ya nyumbani tuliambiwa kufanya sisi si yalikuwa mambo yenu wanaume sisi kusaidia tu kazi zote za duniani ni zenu sisi tunasaidia ACHA kutudharau eti sisi kazi zetu ni za kukaa nyumbani tu nasio maofisini wala utawalani ACHENI DHANA POTOFU ZA KUMKANDAMIZA MWANAMKE na kusema sisi HATUFAI huo ndio nauita MFUMO DUME

Habari mkuu,Ladyfuraha.

Sina/Hatuna Mfumo dume.Uhalisia ndivyo ulivyo japo unaupotosha kwa Makusudi kwa kigezo cha Mfumo DUME.

Sijui wewe u-muumini wa imani ipi?.Kama ni Mkristo/Muislamu kasome tena/upya Maandiko/Quran tukufu na utanielewa vyema ninachokimaanisha.

Wewe kuwa kiongozi siyo sahihi japo una uwezo huo.Kuwa Boss,Kufanya kazi,Kuwa mmiliki wa chochote nk hupaswi ila uwezo huo unao.

Naomba ujibu hoja ya kilichoulizwa juu ya uhusiano wenu (Wanawake) na mapepo na siyo hoja yangu.Hoja yangu utaipinga kwakuwa pengine una u-mapepo uliozungumziwa ambao unakufanya usiyatambue haya.

Wewe kama ni mfanyakazi somewhere ujue mmeo kashindwa kutimiza wajibu wake kama mume hadi wewe kutafuta kwa jasho.Kama hujaolewa,unasoma utachelea kunielewa vyema.

Nisaidie haya Maswali kadhaa.

Kwanini katika wanafunzi wa Yesu hakukuwepo na mwanamke hata mmoja?? Ina maana Yesu hakuwa na ufahamu juu yenu??

Nitajie Manabii wa kike katika Biblia?

Kwanini Mungu alimuumba Mwanaume then ninyi mkatolewa ubavuni?? Unajua kisa cha Mwanamke wa Kwanza kuumbwa na Mungu (Lilith) kutupwa baharini?? KATAFUTE.

Nachelea kukuelewa,Sina MFUMO DUME,THAT IS REALITY.
 
Back
Top Bottom