MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Mimi nakwambia nenda kule vijijini kwa wanawake wakulima ni wachafu, hushinda shamba na tena wengi wao hawatumii maji kujitawaza lakini huwezi kusikia habari ya majini huko.
Ila njoo pwani au sehemu yenye population kubwa ya waislam ndio utaanza kusikia habari ya majini. Sijui kwa nini?!!
 
Nimeelezea Kwa upande ninaoufaham ,ingekuwa vizuri akatokea mtu akaelezea kwa upande wa wanawake wa kikristo tatizo hasa nini wanawake kuwa na mapepo kwani tatizo hili ni la dini zote mbili kwakweli
Kwani wakristo wao hawaendi bridi, hawafanyi mapenzi, hawasuki, hawavai kucha feki. Mimi ni mkristo lakini nimemwelewa na kweli kuna ukweli kiasi ktk andiko lake.
 
Hawa wachungaji wanaokemea mapepo kwa wafuasi wao inathibitisha kuwa majini hawachaguwi MTU,Bali hutumia fursa na ndio maana wahanhanga wengi ni wanawake na hawa ndio kila mwezi hua wachafu kwa siku 3_7 kila wanapofanya ngono bila kukpga, hii haijalishi ni dini gani,
 
إِنَّ الشَّيْطَانَ لَكُمْ عَدُوٌّ فَاتَّخِذُوهُ عَدُوًّا ۚ إِنَّمَا يَدْعُو حِزْبَهُ لِيَكُونُوا مِنْ أَصْحَابِ السَّعِيرِ

(Ali Muhsin Al-Barwani)
Hakika Shet'ani ni adui yenu, basi mfanyeni kuwa ni adui. Kwani yeye analiita kundi lake liwe katika watu wa Motoni.

-Sura Fatir, Ayah 6
 
Miili ya akina mama natural ni michafu hivyo viumbe hivyo hugeuza miili hiyo kuwa makazi yao na ndio wanayoipenda,tiba yake ni kudumu ktk ibada na kuwa tohara muda wote kujiepusha na mizunguko isiyo na msingi wakiwa ktk hali zao.
Well said mkuu
 
Mikufu,pete,hereni,kucha za bandia na mawigi wanayopendelea kuvaa ndiyo naamini ni chanzo maana wigi hajui limetoka wapi anavaa lingine labda la jini maimuna,kucha za bandia wanasema zimetengenezwa ni plastic wanabandika wakati haijulikani kama ni kweli, mikufu na pete inaaminiwa na wengi kuwa majini hupenda kukaa humo
Da umenifanya nikumbuke mbali
 
Back
Top Bottom