AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Fanya subra watakuja na hiyo ilmu mkuu.Kutoka huko kwa Uislamu mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya subra watakuja na hiyo ilmu mkuu.Kutoka huko kwa Uislamu mkuu!
Haha mkuu nipo...nipe deal za mtangazowe jamaa bado una produce? au ulishafungaga studio?
We umeyajuaje hayo majinin kama yanapenda hivo vitu au ndo..story....kahawanLeta hoja iliyosahihi tuijifunze tofaut na hayo
Unajuaje kuwa anadanganya?.Acha kudanganya watu ww
Kwani wakristo wao hawaendi bridi, hawafanyi mapenzi, hawasuki, hawavai kucha feki. Mimi ni mkristo lakini nimemwelewa na kweli kuna ukweli kiasi ktk andiko lake.Nimeelezea Kwa upande ninaoufaham ,ingekuwa vizuri akatokea mtu akaelezea kwa upande wa wanawake wa kikristo tatizo hasa nini wanawake kuwa na mapepo kwani tatizo hili ni la dini zote mbili kwakweli
Wote watoe kisha tupimeMkuu unataka elimu hii kutokea upande upi maana uislam una maelezo yake lakini pia kuna maelezo kutoka pande tafauti na uislam nao wana maelezo yao kuhusiana na majini.
Well said mkuuMiili ya akina mama natural ni michafu hivyo viumbe hivyo hugeuza miili hiyo kuwa makazi yao na ndio wanayoipenda,tiba yake ni kudumu ktk ibada na kuwa tohara muda wote kujiepusha na mizunguko isiyo na msingi wakiwa ktk hali zao.
Da umenifanya nikumbuke mbaliMikufu,pete,hereni,kucha za bandia na mawigi wanayopendelea kuvaa ndiyo naamini ni chanzo maana wigi hajui limetoka wapi anavaa lingine labda la jini maimuna,kucha za bandia wanasema zimetengenezwa ni plastic wanabandika wakati haijulikani kama ni kweli, mikufu na pete inaaminiwa na wengi kuwa majini hupenda kukaa humo
Kwa nn mkuuSichangii chochote