MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

most of them kuhangaika sana kwenda kwa waganga....na c unajua 'pepo hatoi pepo' hope umenisoma.

though zopo na sabb nyingine nyingi tu
 
Hakuna mapepo wala majini. Ni wagonjwa wa akili tu.

dscn1347.jpg
dscn1384.jpg
 
Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?

dscn1347.jpg
dscn1366.jpg
dscn1368.jpg
 
Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?

masanja mkandamizaji ana jibu la swali lako....

1235050_461227907309312_1001732574_n.jpg
 
Kuna mtu aliniambia madada wengi wanapenda kuvaa vitu venye asili ya madini mwilini mwao eg hereni,bangili,cheni na madini yapo jirani sana na majini.
 
Wanawake ni wadhaifu miili yao. Wapo easily attacked na mapepo hasa wakiwa wachafu. Mapepo yanapenda kukaa sehemu chafu
 
Jibu rahisi ni kwamba wanawake wana 'malango' mengi kuliko wanaume...

Ila kutoka katika heading yako ningependa nami kukuuliza, je wanawake wengi/wachache wa zamani hawakuwa wakipatwa na hali hii?
 
Tyta huyo aliyevaa kijani pepo lake liko hapo alipoekewa mkono....? au Ndio analitoa kupata hapo ?
 
Last edited by a moderator:
ni kweli...wengine hata ukimpa dawa hamezi anaenda kutoa mapepo...na hospitali kaja mwenyewe
 
Jibu rahisi ni kwamba wanawake wana 'malango' mengi kuliko wanaume...

Ila kutoka katika heading yako ningependa nami kukuuliza, je wanawake wengi/wachache wa zamani hawakuwa wakipatwa na hali hii?

sisi wanaIT tunasemaga wana "open port" nyingi!
 
mbona wanaocomment hii thread kama vile wamepatwa na mapepo?
 
Asilimia kubwa ya haya majini yamekuzwa na hawa wachungaji wa kizazi kipya akina Gwajima. Fix tuuu.
 
Back
Top Bottom