Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
sisi wanaIT tunasemaga wana "open port" nyingi!
Hahah!!! exactly kitu kama hicho au firewall zao zipo weak.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sisi wanaIT tunasemaga wana "open port" nyingi!
mbona wanaocomment hii thread kama vile wamepatwa na mapepo?
Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?
Tunakoelekea mtasema wawe installed ubuntu. Tuishie hapo tu kwenye firewallHahah!!! exactly kitu kama hicho au firewall zao zipo weak.
nae anatoa mapepo...makubwa!masanja mkandamizaji ana jibu la swali lako....
![]()
am not sure kwa miaka ya zamani ulijuaje kuhusu hii hali, kitakwimu mpaka ukajua trend yake kuwa inaongezeka!. ila takwimu ninayojua ni kuwa idadi ya watu ulimwenguni inaongezeka, wanawake wanaofanya kazi ofisini wanaongezeka, wanawake wanaosoma shule wanaongezeka, wanawake wanafanya biashara wanaongezeka watoa majini na mapepo pia wanaongezeka.pengine ratio ni 1:1:1:1Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?
Hapo ndio mlango wa kila kitu.![]()
hilo pepo litakuwa limeingilia hapo alipopashika.
Kufanya ngono ovyo na watu tofauti.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums