MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?


Hii siyo siku hizi tu ni toka zamani ila kwa kuwa umekuwa ndipo unaona kama ni siku hizi.
 
mchungaj.jpg


hilo pepo litakuwa limeingilia hapo alipopashika.
 
Wanawake wanachafuka kwa mengi ....na mapepo yanapenda kukaa sehemu chafu.
1. Hedhi
2. Kuchafuka wakifanya mapenzi
3. Kuchafuka na damu ya uzazi.
Mwanamke anatakiwa kujisafisha vizuri na kujisitiri maungo yake ( wanawake wana open port nyingi) ili kujiepusha na haya mapepo.
 
Naomba kuuliza hiki kitu, hii miaka ya sasa hivi kalibu kila mwanamke iwe mashuleni, vyuoni,makazini na hata sehemu za biashara wanasumbuliwa na haya matatizo ni kwa nini?
am not sure kwa miaka ya zamani ulijuaje kuhusu hii hali, kitakwimu mpaka ukajua trend yake kuwa inaongezeka!. ila takwimu ninayojua ni kuwa idadi ya watu ulimwenguni inaongezeka, wanawake wanaofanya kazi ofisini wanaongezeka, wanawake wanaosoma shule wanaongezeka, wanawake wanafanya biashara wanaongezeka watoa majini na mapepo pia wanaongezeka.pengine ratio ni 1:1:1:1
 
Kufanya ngono ovyo na watu tofauti.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

kaka sahihi kabisa....nimesoma kwenye vitabu vya spiritual sciences, kama sutra,art of sex..kwamba wakati wa kufanya ngono kati mwanaume na mwanamke...kuna kubadilishana nguvu za kingono kati ya mwanamke na mwanaume..yaani kwa kimombo "exchange of sexual energies between man and a woman".na kila mtu ana sexual energy signature ya kwake kulingana na malezi aliyokulia.sasa tukirudi kwenye mada yetu..mwanamke anapojamiana na wanaume tofauti..nikwamba anakua ana accumulate ile sexual energies of various signatures..nyingine zinakua harmful kwake kwa maana kwamba haziendani na sexual signature yake...kwahiyo unakuta blending process ya siganature yake na hizi nyingine zikishindwa unakuta mtu anakua kama kichaa...au anakua na personality nyingi....
 
Natumai hamjambo. Leo nilikuwa katika huduma mahali fulani. Katika huduma hiyo ulipoeika wakati wa maombi na maombezi wanawake wengi walipagawa na mapepo kulinganisha na wanaume. Na hili nimeliona mara nyingi zaidi na zaidi nimeona nije tujadili pamoja. Tukijua chanzo ni rahisi kusaidiana. Asanteni.
 
There are more cases of possessions out there and most, if not all victims are women.

Why did Satan first approach the woman in the garden of Eden (before the man)?

Could it be because females, have the ability to give birth, create a life? Could it be because of Satan's jealousy regarding God's creation and thus wants to eliminate them by eliminating the women on earth?
 
nami pia nimeshuhudia hili jambo.
nahisi ni kutokana na wanawake kuwa na majukumu mengi ya kijamii, kwani hata kwa waganga wanawake huwa ni wateja wengi kuliko wanaume.
nadhani linahitaji ufahamu mkubwa wa kiroho kuwa na jibu sahihi
 
Du! Pastor kwa kweli umeniwahi kwa kuuliza hili swali. Nami siku za nyuma nmekuwa nkijiuliza swali hili hili.

Siku moja nlijaribu kuuliza hili swali nkapewa jibu lisilo ridhisha nkasema ningekuja kulileta hapa ili tuweze kujua nn chanzo hasa.

Jibu nlilopewa ambalo sikuridhika nalo ni "Jamaa nliyemuuliza hili suala alinambia kuwa, kutokana na sababu za kimaumbile ndio Maana wanawake wengi huingiwa na Mapepo.
Akanifafanulia akasema kuwa,Mapepo/Majini yana hisia kama Mwanadamu, hivyo Basi Mara nyingi wakati wa Usiku Mwanamke akilala Uchi usiku ni rahisi sana Jini/Pepo kumtamani na kuamua kufanya Makazi katika Mwili wake."

Sababu ya Pili aliyonipa ni hii "Kutoka na wanawake kuwa katika Mzunguko wa hedhi kila Mwezi na kuona siku zao/damu, Asilimia kubwa ya Majini/pepo yanavutiwa na Damu,pia chakula chao kikuuu ni Damu. Hivyo Basi kwa wanawake wanaokaa Muda Mrefu bila ya kujisafi wakati wakiwa katika mzunguko wa Hedhi, Hawa wadudu huwaingia na kujipatia Chakula kutoka hiyo sehemu. Na wakivutiwa na Damu yako Basi hufanya Makazi katika Mwili wako huku wakisubiria kila Mwezi ili waweze kujitwalia Damu yako"

Hizo ndio Sababu Mbili alizonipa.

Kuna Mwanazuoni Mwongine aliyesomea Dini zote Mbili(Uislam & Ukristu)
Yeye baada ya kumuuliza hili suala akanambia kuwa Sababu kubwa inayowafanya wanawake wapagawe, sio kwamba wote wanakuwa na Mapepo/Majini, lah, ila sababu inayopelekea wao kupagawa, ni yale Mafuta ya Upako ambayo yanatokana na Mti wa Mzeituni. Akanielezea kuwa yale Mafuta yana nguvu fulani ambayo yakikutana na Mtu ambaye yuko weak(mdhaifu) kiasilia, basi hutokea ukinzano na kumfanya aenze kurukaruka mithili ya Mtu aliye pagawa.

Sikuishia hapo, Nliwahi kumuuliza Nabii Mmoja maarufu hapa Dar, akanambia angenijibu siku akiwa na wasaa kwani nlimtumia sms.

Tunaomba kwa yoyote yule mwenye kujua zaidi ya haya atujuze ili nasi tujifunze kupitia kwenu.

Nawakilisha.
 
mwanaume ni kichwa na nikiongozi na nimwanadam wa kwanza kuumbwa na mwenyezi mungu.

mwanaume kaumbwa kwamfano wa mwenyezi mungu nakapewa mamlaka ya kutawala na mwenyezi mungu.
mwanamke kaumbwa kutoka katika ubavu wa mwanaume kwahiyo kamwe hawezi fanana na mwanaume hata siku moja.

in natural mwanamke ni dhaifu siku zote .ndio maana huingiwa sana na majini?
ndio maana hata shetani alipo taka kumdanganya mwanadam alimfuata mwanamke coz alifaham ya kuwa ni dhaifu.
na angethubutu kumfuata adam hakika angeferi.

ndio maana hata wanawake wanaolalama kuwa haki sawa wakae wakijua kamwe hiyo kitu haitatokea ikawepo.

ndio maana kwamambo yakishenzi yote kamwe huwezi wakosa wanawake.
michezo yadanganya jinga asilimia kubwa ni wanawake ndio hudanganyika.
waganga wanaotengeneza pesa humkosi mwanamke
 
wanawake wsnapenda sana mambo ya ushirikina...ndomana yanawapata hayo
 
Back
Top Bottom