Siyo kwa upande wangu. Ni ukweli kwamba Biblia ina contradictions nyingi, na si tu imekuwa edited, bali pia yote imeandikwa na watu tu.View attachment 3161439
View attachment 3161440
View attachment 3161444
umeeleweka vizuri kwamba huamini Mungu yupo kwa kigezo cha kutumia maandiko ya Biblia kwani ni contaradictory na yapo Edited . kwa upande wako
Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi.HApo kwa Abrahamu ni baada ya kumcha Mungu na kutii amri zKe ndo Mungu akambariki na akaona na jina alibadili kama leverage. Same to Sarah
UMeelewekaSiyo kwa upande wangu. Ni ukweli kwamba Biblia ina contradictions nyingi, na si tu imekuwa edited, bali pia yote imeandikwa na watu tu.
Hivyo kusema kitu ninkweli kwa sababu kimeandikwa kwenye Biblia ni logical fallacy. Ni argument from authority logical fallacy.
Na mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi.Basi anzisha uzi wako mwingine nikuthibitishie maana tusha toka kwenye mada ya huu Uzi. Ukisha anzisha ni Tag nije
Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi.UMeeleweka
Yuiweke hivi.
Anzisha uzi wako wa 'thibitisha Mungu yupo'
Kisha Ni Tag. Nitakuja na prove zangu.
Usiishie tu kusema "hibitisha Mungu yupo"
Weka maelezo yako na Hoja zako kwa nini unakataa hayupo.
Maana mpaka sasa tusha toka kwenye mada ya Uzi. Kazi ni kwako nakusubiri
inategemea na katuni yenyeweEti anakua kilaza. Akili yake ina lemaa
Huyo alie Comment kwenye post na nikamjibu kwenye namba 11.Habari ya Mungu umeanza kuileta wewe post namba 11, sijaileta mimi
Majibu zaidi kama nilivyokuelezea ukianzisha uzi wako nitakuthibitishiaMimi nimekujibu tu.
Thibitisha Mungu yupo.
Story ya Mungu ulishaikubali kwenye uzi huu tangu post namba 11.Huyo alie Comment kwenye post na nikamjibu kwenye namba 11.
NImemjibu hivyo kwa sababu nimemuelewa kua ana maanisha/ nakumuongelea Abraham na Sarai wa kwenye kitabu cha Biblia. Na kama ni hivyo Stori ya Abraham ilioko kwenye maandiko ya Biblia Mungu anahusishwa kwenye hio stori yao.
View attachment 3161462
Labda kama alikua anaongelea Abrahamu wa mtaani kwao ambae mimi simjui
Majibu zaidi kama nilivyokuelezea ukianzisha uzi wako nitakuthibitishia
Kazi ni kwako kama kweli unataka uthibitisho
Ndo
Mbona jibu nililokujibu hapo juu kwenye namb 87 limejitosheleza.Story ya Mungu ulishaikubali kwenye uzi huu tangu post namba 11.
Ungekuwa hutaki habari za Mungu kwenye uzi huu ungezikataa tangu post namba 11.
Umekubali story ya Mungu kwenye uzi huu tangu post namba 11, hivyo usinilazimishe nianzishe uzi mwingine kujadili habari za Mungu.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Kwani Kabla ya kufanikiwa au kuwaza kufanikiwa alikua kwenye hali gani?Mtu aliyefanikiwa yupoje?
Umeleta habari za Mungu bila kuweza kuthibitisha Mungu yupo.Mbona jubu nililokujibu hapo juu limejitosheleza.
Ni wewe sasa kumtafta huyo aliecomment na nikamjibu post namba 11 alikua ana maanisha Abrahamu yupi wa kwenye kitabu cha Biblia au wa mtaani kwao.
View attachment 3161479
Kama ni abraham wa BiBlia stori ilikua ya Abraham, Sarai na Mungu wahusika wa 3
Wewe ndo utakua umedandia gari kwa mbele ujaelewa mada ilipo anzia
Kama kweli unataka uthibitisho anzisha uzi usilete visababu. Inakua ubishi usio na maana.
#LETA UZI KAMA KWELI UNATAKA UTHIBITISHO
LETA UZI KAMA KWELI UNATAKA UTHIBITISHO .Umeleta habari za Mungu bila kuweza kuthibitisha Mungu yupo.
Unakubali au unakataa hilo?
Hujajibu swaliKwani Kabla ya kufanikiwa au kuwaza kufanikiwa alikua kwenye hali gani?
Kwa nini nilete uzi wakati uzi huu upo tayari na ushamjadili Mungu hapa?LETA UZI KAMA KWELI UNATAKA UTHIBITISHO .
Usilete visababu. Humu Tuwaachie wenye watu waendelee kuchangia kuhusiana na mada ya Uzi.
Unaogopa nini kuleta uzi kama lweli unataka uthibitisho?
Nimecheka sana MkuuWatu wana imani za ajabu
Kuna watu wanaamini mtoto akiangalia katuni anapata mapepo
Ungeuliza swali lako na kulifafanua zaidi kwa mifano ungeelewekaHujajibu swali
Unazungumzia mafanikio/kufanikiwa kwenye angle ipi?
Ukisoma thread namba 87 na 89Hapa lazima mpishane pakubwa, na hamtaelewana kamwe. Sababu kuu: mmoja anatetea hoja yake kwa kutumia Imani wakati mwingine anataka hoja ijibiwe kwa logic.
Mmoja anataka intuition evidence pia itumike wakati mwingine anataka empirical evidence tu ndiyo itumike ku-justify uwepo wa mungu.
Bifu lenu halina muafaka. Binafsi kila mmoja namuaona Yuko sahihi kulingana na muktadha wa Aina ya Elimu, religion or philosophy.
Hapo umeongea point.Binafsi kila mmoja namuaona Yuko sahihi kulingana na muktadha wa Aina ya Elimu, religion or philosophy
HIO AVATAR yako inaonesha una elimu / imani ya Astrology/ nyota au ni picha tu haina maana yoyote?Kwa nini nilete uzi wakati uzi huu upo tayari na ushamjadili Mungu hapa?
Sema tu umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo unaleta kisingizio cha "leta uzi".
Hujathibitisha Mungu yupo.
Astrology ni nini?HIO AVATAR yako inaonesha una elimu / imani ya Astrology/ nyota au ni picha tu haina maana yoyote?
Kwa vile wote wawili tunabishana.Astrology ni nini?
Hujathibitisha Mungu yupo.