Wandugu, kwa aliyeko Ifakara, naomba anipe bei ya Mpunga kwa debe. Asanteni.
Mpaka sasa ni karibu vilevile hazijaachana sana sijajua kwenye kuvuna
Sehemu nyingi ni mwishoni mwa mwezi wa saba mkuuSorry John Deer,unaweza kufahamu mwisho wa mavuno ya mpunga ni lini?...nilikuwa na mpango wa kununua gunia kadhaa but nimekwama so nilikuwa nataka kujua mwisho wa mavuno ni lini ili nijipange kabla bei haijapanda zaidi.
Habari wandugu,
Naomba ushauri wenu kwa biashara ya mpunga.
Nataka kununua magunia baada ya mavuno alafu nauza baada ya jipindi cha navuno kuisha.
Ushauri wenu tafadhali
Asante kwa ushauri.
Mbali na kununua mpunga na kuuza, je, nikiamua kulima mpunga itaniletea faida?
Chodoo,
Kwenye hayo mahesabu kuna contingency? what if mvua haikunyesha? what if mvua ikapitiliza ikanyesha kipindi haitakiwi?
Tuwekee what ifs halafu utupe projections ambazo ni pessimisstic ili tuelewe hali halisi
Asante sana. Mwaka huu Mungu kanifuta machozi, mpunga umestawi vizuri. Kazi ya kuvuna imeanzaPole sana illa usikate tamaa
Habari wandungu,
Mimi si mzoefu wa kilimo, naomba wataalamu na wazoefu wa kilimo wanijulishe kuwa ni kilimo kipi kipo juu zaidi (faida kubwa) kati ya mahindi na mpunga?
Asanteni wana jamvini
Haya makadirio mh