Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
Tulipokuwa tunasoma zamani,mwalimu alitupa mtihani wa kujieleza swali moja lazima mjibu wote.Tulijibu lakini kila mmoja kwa majibu tofauti lakini yaliyolenga kwenye majibu sahihi na kila mmoja alipewa maksi zake hakuna aliyeshindwa.Tuliyapenda sana kwa sababu huwezi kukosa marksi zako hapo kwa sababu sio hesabu hiyo ambayo wote ni lazima mpate jibu linalofanana.Jamaa unaongea na kulazimisha watu wakufuate as if una monopoly ya FACTS!
Sit your monkey ass down!
Tume Huru tunataka sisi,sio wewe!
Wewe hutaki,sisi tunataka,I wonder unatuzungumzia sisi wewe kama nani?Tumekutuma?
Sasa kwann unamuita mpumbavu, si ndio demokrasia mnayoitaka, watu waelezee maoni yao. Lkn lazima muwatukane.Wewe ni mpumbavu tu, je umefanya utafiti! Je kichwa chako kinaona hii tume iko sawa sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachofuatilia ni kipi mkuu?Ina maana wewe huelew umuhim wa tume huru?Wote tunajua kwamba amekuja kujaribu kupotosha hitaji halali la wakati huu,haiwezekani Mwenyekiti wa Tume,Mkurugenzi wa Tume wote hawa wanateuliwa na Rais(Mwenyekiti wa Chama) na hawana kinga yoyote na hapo atujazungumzia kuhusu wakurugenzi wa halmashauri,Sasa mnaingiaje kwenye battle field kwa namna hii?Aziz Musa, asante, tunafuatilia
P
Mkuu tindoHapo tu uliposema kuwa watu wanaitafsiri kuwa tume ni huru iwapo itawasaidia kushinda uchaguzi. Hapo nimegundua uko na dhana zako lakini zenye lengo la upotoshaji.
Mkuu tindo
Hoja hiyo siitoi kwa kuwa tu nataka kuitoa. Naitoa kwa 'evidence'. Na evidence ziko wazi wala hazihitaji kufikiri sana ili kuelewa. Ushahidi wa kwanza, Tumesikia watu wengi wakisema wanataka tume huru ili kuingoa CCM . sasa ukishasema hivyo; maana yake unasema unataka tume ambayo itakupa ushindi wewe.Au hayo huwa nayasema mimi? au hayasemwi?
Ushahidi wa pili, ukiwauliza CCM watakuambia tume ni huru kabisa, nikuulize wewe sasa unadhani kwa nini huwa wanasema hivyo?
Ushahidi wa tatu, watu wanaohama kutoka kwenye vyama vya upinzani (ambako wamekuwa wakidai tume si huru) wakifika CCM wanadai tume ni huru, unadhani ni kwa nini? Kama huamini hili, mtafute Dr. Mashinji sasa umuulize hili swali halafu uje na majibu kisha upime kama yatapingana na hoja ya msingi au yatakuwa yana support.
Kwa hiyo mimi najaribu kusema facts, sio ushabiki. Mafanikio kwenye mambo ya msingi yanakuja kwa kuzingatia facts, sio ushabiki.
Kwa mfano mada serious kama hii watu wanakuja kutukana na kunung'unika bila hoja ya msingi halafu wanaamini kwa kufanya hivyo ndio hiyo tume wanayotaka itakuja, kweli?
Umeffanua vizuri. Na kwa kweli umeunena ukweli.Mkuu tindo
Hoja hiyo sikuisema kwa kuwa tu nataka kuisema. Naitoa kwa 'evidence'. Na evidence ziko wazi wala hazihitaji kufikiri sana ili kuelewa. Ushahidi wa kwanza, Tumesikia watu wengi wakisema wanataka tume huru ili kuingoa CCM . sasa ukishasema hivyo; maana yake unasema unataka tume ambayo itakupa ushindi wewe.Au hayo huwa nayasema mimi? au hayasemwi?
Ushahidi wa pili, ukiwauliza CCM watakuambia tume ni huru kabisa, nikuulize wewe sasa unadhani kwa nini huwa wanasema hivyo?
Ushahidi wa tatu, watu wanaohama kutoka kwenye vyama vya upinzani (ambako wamekuwa wakidai tume si huru) wakifika CCM wanadai tume ni huru, unadhani ni kwa nini? Kama huamini hili, mtafute Dr. Mashinji sasa umuulize hili swali halafu uje na majibu kisha upime kama yatapingana na hoja ya msingi au yatakuwa yana support.
Kwa hiyo mimi najaribu kusema facts, sio ushabiki. Mafanikio kwenye mambo ya msingi yanakuja kwa kuzingatia facts, sio ushabiki.
Kwa mfano mada serious kama hii watu wanakuja kutukana na kunung'unika bila hoja ya msingi halafu wanaamini kwa kufanya hivyo ndio hiyo tume wanayotaka itakuja , kweli? (ikumbukwe tushasema tafsiri ya tume huru pia inatofautiana kati ya mtu na mtu hadi sasa kama tulivyofafanua awali).Kwa mfano hawa wanaoleta matusi humu, unaweza kufahamu tafsiri yao kuhusu tume 'huru"?