Umekurupuka tu kama msukule.Wewe ni mpumbavu huna akili. Majaji ajira zao zinalindwa kikatiba hata kama atatoa hukumu dhidi ya serikali au kiongozi mkubwa serikalini, lakini Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na watendaji wote wa tume ajira zao hazilindiwi endapo atatangaza kinyume na matakwa ya aliyemteua. Kasome fisi mkubwa wewe.
Halafu jamaa kaanzisha uzi,badala aruhusu mjadala,anataka yeye ndio awe mchangaiji Mkuu hahahaAzizi Mussa,
Jamaa unaongea na kulazimisha watu wakufuate as if una monopoly ya FACTS!
Sit your monkey ass down!
Tume Huru tunataka sisi,sio wewe!
Wewe hutaki,sisi tunataka,I wonder unatuzungumzia sisi wewe kama nani?Tumekutuma?
Ungeanza kwanza kuochambua tume ya sasaWakuu,
Mjadala huu unawahusu wale ambao 'in a serious note' wanafikiri Tanzania tunahitaji 'tume huru' ya uchaguzi tofauti na hii tuliyo nayo. Kama wewe ni miongoni mwao, fuatilia mjadala huu kwa karibu, utakujengea uelewa ambao haukuwa nao hapo kabla.Kama pia wewe unadhani ndio unatakiwa kuongoza wenzako, fuatilia pia; utapata matokeo makubwa, yanayoeleweka, kwa gharama na fuu na bila mtu kuumia.
Angalizo; Tayari kuna hoja kwamba wanaotetea au kudai mambo kadha wa kadha hata kama yanaonekana yana umuhimu mbele ya macho ya jamii; wengi wao wanakuwa hawako serious, wanachokifanya inakuwa ni utata tu lakini wanakuwa hawamaanishi.
Ushahidi unaotumika kuhalalisha hoja hii ni kwamba, pale wanapopata nafasi ya kufanikisha kile wanachodai hupindisha, kwa mfano wanapopewa mbinu ambayo inaweza kuwasaidia kufikia lengo, huikwepa na kushika mbinu ambazo zinawakwamisha ili wakwame halafu kila siku waonekane wapo wana struggle. Wanakuwa ni sawa na mchezaji anakimbia na mpira kwa shida sana halafu akifika golini anarudisha mpira alikotoka.
Tunaleta mada hii chini ya falsafa ya usidhanie mtu ubaya kabla ya kujiridhisha kwanza. Unatakiwa ummchukulie kila mtu kwamba ana nia chanya juu ya mambo ya msingi hadi pale atakapodhihirisha vinginevyo.Usidhani ukimpa mtu hela yako atakula, mpe kwanza ale ili ukimlaumu umlaumu kwa haki.
Mjadala huu utalenga kujibu maswali makubwa (5) ambayo ni?
1.Tatizo la msingi hasa ni nini na linatokana na nini?
2. Je! wanaodai tume 'huru' ya uchaguzi wanaelewa wanachodai hasa ni nini, na wana uelewa wa pamoja au kila mmoja anadai kitu anachokijua mwenyewe kichwani mwake?
3. Nani anafanya nini, kwa nini, na matokeo yake ni nini?
4. Nani anatakiwa afanye nini ili iwe nini na asipofanya itakuwa nini? na
5. Kwa nini wanaotakiwa wafanye wanachotakiwa kufanya hawafanyi na pengine pamoja na mjadala huu hawatafanya na wataendelea kulalamika?na ni nini cha kufanya katika hali kama hiyo?
Kwa kuwa tumesema mjadala huu ni "mpana", tutaenda taratibu sana ili kila anayetaka kuelewa aelewe.
Mkuu, hii mada ipo hapa toka jana, ni nani aliekuzuia kuchangia unachodhani ni hoja ya msingi ? au nani niliemzuia au kuzuiwa na yeyote na amezuiliwaje? Nadhani post No.8 ina majibu yanayoweza kukusaidia ukitaka.Halafu jamaa kaanzisha uzi,badala aruhusu mjadala,anataka yeye ndio awe mchangaiji Mkuu hahaha
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Mkuu hiki kipengele cha Nyalali ningeomba nikinzane na wewe. Sio kwamba wananchi walikataa ila hawakuwa wamepewa elimu tosha ya umuhimu wa vyama vingi zaidi CCM ilieneza propaganda kubwa sana. Nakumbuka sisi huko kanda ya Ziwa tuliambiwa vyama vingi vikija eti nchi itaingia vitani na majirani, mara sijui wakishinda watarudisha wakoloni, cjui makanisa yatafugiwa mbuzi na propaganda za aina hiyo.Tatizo la msingi hasa ni nini na linatokana na nini?
Asili ya tatizo ni kwamba dhana ya demokrasia ilivyokuja Tanzania ilipokelewa kwa kuwa imeletwa na na watu taasisi zenye ushawishi, ila walioipokea hawakuielewa vizuri pamoja na yatokanayo. Pengine aliyekuwa ameielewa vizuri ni Nyerere peke yake ila naye pamoja na kuielewa, hakuibubali kivileeee.
Kwa hiyo hata alivyoamua kushawishi kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, hakushawishi kwa kuwa aliukubali, alishawishi kuingia kwenye vyama vingi ili kuendeana na upepo wa dunia. Ndio manaa pamoja na kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado mifumo mingi ilibaki inafanya kazi kana kwamba kuna chama kimoja.
Kwa bahati mbaya wananchi nao hawakuielewa demokrasia ndio maana walikataa maoni ya tume ya Nyalali kuhusu kuanzishwa vyama vingi na baadae kukubali lakini bila kuelwa.Kwa bahati mbaya hata waliounda vyama vya upinzani nao hawakuelewa vizuri hasa demokrasia ni nini na yatokanayo.
Kwa misingi hiyo hapo juu, ndio maana hata tume ya uchaguzi iliundwa kwa mfumo ambao tumeuona na tumekuwa tukiuona katika vipindi vyote.Na hata sasa kutokana na tatizo la hapo juu, unakuta kila chama kinatafsiri kwamba tume huru ya uchaguzi maana yake ni tume itakayokisaidia chama husika kushinda na wanachama wao wanaamini hivyo hivyo. Ndio maana unaona anayeshida hadai tume huru bali anayeshindwa na anayeshindwa akihamia kwa anayeshinda anadai tume ni huru.
Kwa hiyo hivyo ndivyo tatizo lilivyo kwa muhtasari.
Azizi Mussa,
Jamaa unaongea na kulazimisha watu wakufuate as if una monopoly ya FACTS!
Sit your monkey ass down!
Tume Huru tunataka sisi,sio wewe!
Wewe hutaki,sisi tunataka,I wonder unatuzungumzia sisi wewe kama nani?Tumekutuma?
Hiyo rasimu iliundwa toka 2014 kipindi cha bunge la katiba, proposed reforms zikaletwa 2015 na kina Mnyika ila spika akagoma kujadili huo muswada wao, 2019 Mbowe kaanisha mabadiliko ya sheria kifungu kwa kifungu sasa kivipi useme hakuna rasimu??Je! wanaodai tume 'huru' ya uchaguzi wanaelewa wanachodai hasa ni nini, na wana uelewa wa pamoja au kila mmoja anadai kitu anachokijua mwenyewe kichwani mwake?
Ikumbukwe kuwa kuna hoja , Mahakama ambayo ni muhimili kamili nayo inahisiwa na baadhi ya watu kuwa haiko huru. Bunge ambalo ni muhimili kamili nalo linadaiwa na baadhi ya watu kuwa haliko huru. Hivyo basi, mtu yoyote anavyodai tume 'huru' ya uchaguzi, ni lazima ajiridhishe hasa anachodai ni nini na kinatakiwa kiweje ili kweli kitafsirike kuwa huru na mbele ya macho ya nani.
Kwa mantiki hiyo tungetaraji kuwa, kama wanaodai kuwa inatakiwa kuwepo tume'huru' tofauti na iliyopo sasa wako 'serious', basi waandae rasimu inayoonesha aina ya tume wanayoitaka, inaundwaje, kwa nini iundwe hivyo, wajumbe wake wanapatikanaje na kwa nini ikiwa hivyo ndio iitwe 'huru' n.k.
Kwa kuwa muongozo huo haujawahi kuwepo; nina uhakika kuwa wanaodai iundwe tume huru ya ,hawadai kitu kimoja. kila mtu kuna kitu chake anachodai na ukweli wa ni nini hasa anachodai uko kichwani mwa mtu mmoja mmoja anayedai.
Kwa lugha nyingine, ukatafuta wana CHADEMA 10 kwa mfano (randomly) wanaodai kunatakiwa kuwe na tume 'huru' ya uchaguzi, ukawauliza ,ukisema tume 'huru' hasa unakusudia nini ? na inatakiwa iundweje? na iundwe na nani ili ionekane sasa ni huru? na mbele ya nani? kila mtu atakupa jibu lake.
Sasa katika mazingira hayo ambayo kitu kinachodaiwa wadai hawana uelewa unaofanana, huwezi kwenda kwenye hatua za utekelezaji na ukategemea kufanikiwa. Ni sawa na kuingia vitani wapiganaji hawana uelewa wa pamoja wanapigania nini na unategemea kushinda, unakuwa ulishafeli kabla ya kuanza.
============
Itaendelea
Mkuu hapa utachemka unapofanya utafiti huru hutakiwi kulalia maoni ya pande kinzani yaani its obvious CCM na CHADEMA lazima wavutie upande wao hoja yoyote ile as in CCM hawawezi kili tume si huru kma ambavyo upinzani huwezi kubali tume ni huru.Mkuu tindo
Hoja hiyo sikuisema kwa kuwa tu nataka kuisema. Naitoa kwa 'evidence'. Na evidence ziko wazi wala hazihitaji kufikiri sana ili kuelewa. Ushahidi wa kwanza, Tumesikia watu wengi wakisema wanataka tume huru ili kuingoa CCM . sasa ukishasema hivyo; maana yake unasema unataka tume ambayo itakupa ushindi wewe.Au hayo huwa nayasema mimi? au hayasemwi?
Ushahidi wa pili, ukiwauliza CCM watakuambia tume ni huru kabisa, nikuulize wewe sasa unadhani kwa nini huwa wanasema hivyo?
Ushahidi wa tatu, watu wanaohama kutoka kwenye vyama vya upinzani (ambako wamekuwa wakidai tume si huru) wakifika CCM wanadai tume ni huru, unadhani ni kwa nini? Kama huamini hili, mtafute Dr. Mashinji sasa umuulize hili swali halafu uje na majibu kisha upime kama yatapingana na hoja ya msingi au yatakuwa yana support.
Kwa hiyo mimi najaribu kusema facts, sio ushabiki. Mafanikio kwenye mambo ya msingi yanakuja kwa kuzingatia facts, sio ushabiki.
Kwa mfano mada serious kama hii watu wanakuja kutukana na kunung'unika bila hoja ya msingi halafu wanaamini kwa kufanya hivyo ndio hiyo tume wanayotaka itakuja , kweli? (ikumbukwe tushasema tafsiri ya tume huru pia inatofautiana kati ya mtu na mtu hadi sasa kama tulivyofafanua awali).Kwa mfano hawa wanaoleta matusi humu, unaweza kufahamu tafsiri yao kuhusu tume 'huru"?
Mkuu umetoa hoja za msingi sana. Unaweza kuwasilisha hayo maoni ya CHADEMA ya mwaka 2019 kwa muhtasari hapa ili kusadia mjadala?Pia kila mtu ana maoni yake YES na ndio demokrasia ila maoni rasmi ni yale ya KUB aliyoyatuma kwa Mhe Rais December 2019 hivyo ndio maoni rasmi ya CHADEMA. Kwahiyo ondoa randomness kwenye kuuliza bali stick kwa maoni rasmi ya chama maana yameconsider maazimio ya vikao rasmi ambavyo kila mwanachama alitoa wazo lake
Mkuu, hii mada ipo hapa toka jana, ni nani aliekuzuia kuchangia unachodhani ni hoja ya msingi ? au nani niliemzuia au kuzuiwa na yeyote na amezuiliwaje? Nadhani post No.8 ina majibu yanayoweza kukusaidia ukitaka.
Demorasia ni kuongea lakini pia kuwa tayari kuwasikiliza wengine wanapoongea unachokipenda au usichokipenda. Kama hutaki kusikia wengine, wewe sio mwana demokrasia, kwa hivyo huna haki ya kudai kitu chochote chini ya kivuli cha demokrasia.
1. Maoni yapo humu JF labda niweke link kwa faida ya woteMkuu umetoa hoja za msingi sana. Unaweza kuwasilisha hayo maoni ya CHADEMA ya mwaka 2019 kwa muhtasari hapa ili kusadia mjadala?
Na ukiweza kuyawasilisha au usiweze, yawe mazuri au mabaya; suala hili halipaswi kuwekwa kwenye muktadha wa CHADEMA vs CCM. Ukishaliweka hivyo, tayari unakuwa umetengeneza mazingira ya CCM ku 'resist' na vyama vingine kutochukuwa hatua, na wengine kubaki wanatizama. kwa hiyo upo umuhimu wa mfumo wa ushiirikishaji ambao tutauelezea kwa kina kwa kadiri mjadala unavyoendelea.
Safi. Shukurani kwa kusaidia mjadala. Hicho kiambatisho nilikuwa sijakiona. Hiyo ilikuwa ni moja ya hatua moja nzuri, sahihi na muhimu. Ila kuna hatua nyingine kadhaa ambazo zinatakiwa zifuate ambazo pengine hazijatambuliwa au kupewa kipaumbele. tutazijadili kwa kadiri tunavyoendelea.1. Maoni yapo humu JF labda niweke link kwa faida ya wote
Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali - JamiiForums
Shukrani mkuu, nafuatilia hoja yako kwa umakini kuna mawili matatu tutajifunza.Safi. Shukurani kwa kusaidia mjadala. Hicho kiambatisho nilikuwa sijakiona. Hiyo ilikuwa ni moja ya hatua moja nzuri, sahihi na muhimu. Ila kuna hatua nyingine kadhaa ambazo zinatakiwa zifuate ambazo pengine hazijatambuliwa au kupewa kipaumbele. tutazijadili kwa kadiri tunavyoendelea.
Aisee, naona tunakoelekea ndio kugumu zaidi ya tunavyofikiria; unataka wapinzani na watanzania kwa ujumla wao wajishushe ili kumpendeza Mh. Rais kwasababu bila yeye hiyo Tume Huru haiwezi kupatikana?Inaendelea;
========
Hatua za kuchukua kwa sasa;
1. Kuhusu Kumshirikisha Mh. Rais;
Kwanza nianze kwa kumshukuru mkuu zitto junior kwenye mchango wake namba 34. ameonesha kuwa mwezi uliopita yalishaandaliwa mapendekezo na 'CHADEMA' na kuwasilishwa kwa Mh.Rais akiombwa awezeshe mchakato kuanza kuanza kufanyiwa mapitio ya mapendekezo hayo . Hatua hiyo ni hatua ya kwanza muhimu ambayo ndio tulitaka kuanza kushauri kama hatua ya kwanza kuchukua(kwa bahati sikujua kuhusu kuwepo kwa rasimu ya mapendekezo hayo kabla) kwa hiyo zitto junior kafanya jambo la msingi ku share.
Kimsingi ili maboresho au mabadiliko kwenye mambo makubwa ya kitaifa yaweze kufanyika na kufanikiwa kama hili tunalojadili leo, sio tu kwamba ni lazima Mh.Rais ashirikishwe kikamilifu na akubaliane na mchakato lakini pia yeye mwenyewe kuwa kiongozi mkuu wa mabadiliko hayo, vingenevyo mabadiliko hayo yanakuwa hayawezekaniki.
Kwenye mabadiliko ya kutoka siasa za chama kimoja kwenda vyama vingi, Mwl. Nyerere na Mzee Mwinyi, sio tu kwamba walishiriki bali wao ndio walikuwa vinara wa kuhamasisha mabadiliko hayo.
Kwenye mchakato wa Katiba mpya, sio tu kwamba Mzee Kikwete alishiriki, bali yeye ndiye alikuwa kinara wa mchakato huku akifanya mambo mbalimbali kuhalikisha Katiba mpya inapatikana huku akisisitiza kwamba asingependa amalize kipindi chake cha urais bila katiba mpya kupatikana. Kwa bahati mbaya hilo halikuwezekana kwa sababu ya misuguano ya kimakundi ambapo baadae tutaeleza kwamba ni nini kinaweza kufanyika ili kupunguza misuguano hiyo kwenye mambo mengine ya msingi ili yasije yakakwama kama la katiba mpya.
Kwa imani yangu binafsi, mchakato wa maboresho ya Tume utaanza chini ya Mh.Magufuli hivi karibuni na atausimamia, ila kama watu wengine wasipotimiza wajibu wao, utakwama kama ishu ya katiba mpya ilivyokwama licha ya jitihada za Mzee Kikwete.
Tunachoweza kuongeza katika hili la kumshirikisha na kumuomba Mh. Rais asaidie mchakato huu wa uboreshaji wa tume ni kwamba; ziendelee kutumika mbinu za kumshauri na kumshawishi kidiplomasia. Hapa tusisitize 'Kidiplomasia'. Lugha za kukejeli na kuoneshana umwamba zinaweza kuharibu zaidi kuliko kujenga, ni bora kujiepusha nazo. "Jishushe tu, kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi na kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi Zaidi" (Kikwete, 2019). Hii kauli ilikuwa na fundisho pana kidogo japo wengi waliitafsiri kwenye duara dogo sana.
Hii ni kwa sababu, mwanadamu 'Hasa mwanaume' ana tabia ya ku 'resist' anapohisi kama anashinikizwa au kuburuzwa. Ha 'resist' kwa sababu ya ubaya wa jambo, bali kwa sababu hataki kuona akiburuzwa au kupelekwa. Hili ni suala la kimaumbile, liko hivyo tu.
Nina Imani ukiendelea kufanyika ushawishi wa kidiplomasia na kama ungeanza mapema (ingekuwa vizuri Zaidi), Mh. Rais anaweza kutoa solutions ambazo zitatoa muelekeo kwenye mchakato wa maboresho ya tume. Wakati huo huo mambo mengine ya kuendelea kufanya katika kipindi hiki, tutashauri mbeleni.
===========
Itaendelea
Inaendelea;

Wakuu,
Mjadala huu unawahusu wale ambao 'in a serious note' wanafikiri Tanzania tunahitaji 'tume huru' ya uchaguzi tofauti na hii tuliyo nayo. Kama wewe ni miongoni mwao, fuatilia mjadala huu kwa karibu, utakujengea uelewa ambao haukuwa nao hapo kabla.Kama pia wewe unadhani ndio unatakiwa kuongoza wenzako, fuatilia pia; utapata matokeo makubwa, yanayoeleweka, kwa gharama na fuu na bila mtu kuumia.
Angalizo; Tayari kuna hoja kwamba wanaotetea au kudai mambo kadha wa kadha hata kama yanaonekana yana umuhimu mbele ya macho ya jamii; wengi wao wanakuwa hawako serious, wanachokifanya inakuwa ni utata tu lakini wanakuwa hawamaanishi.
Ushahidi unaotumika kuhalalisha hoja hii ni kwamba, pale wanapopata nafasi ya kufanikisha kile wanachodai hupindisha, kwa mfano wanapopewa mbinu ambayo inaweza kuwasaidia kufikia lengo, huikwepa na kushika mbinu ambazo zinawakwamisha ili wakwame halafu kila siku waonekane wapo wana struggle. Wanakuwa ni sawa na mchezaji anakimbia na mpira kwa shida sana halafu akifika golini anarudisha mpira alikotoka.
Tunaleta mada hii chini ya falsafa ya usidhanie mtu ubaya kabla ya kujiridhisha kwanza. Unatakiwa ummchukulie kila mtu kwamba ana nia chanya juu ya mambo ya msingi hadi pale atakapodhihirisha vinginevyo.Usidhani ukimpa mtu hela yako atakula, mpe kwanza ale ili ukimlaumu umlaumu kwa haki.
Mjadala huu utalenga kujibu maswali makubwa (5) ambayo ni?
1.Tatizo la msingi hasa ni nini na linatokana na nini?
2. Je! wanaodai tume 'huru' ya uchaguzi wanaelewa wanachodai hasa ni nini, na wana uelewa wa pamoja au kila mmoja anadai kitu anachokijua mwenyewe kichwani mwake?
3. Nani anafanya nini, kwa nini, na matokeo yake ni nini?
4. Nani anatakiwa afanye nini ili iwe nini na asipofanya itakuwa nini? na
5. Kwa nini wanaotakiwa wafanye wanachotakiwa kufanya hawafanyi na pengine pamoja na mjadala huu hawatafanya na wataendelea kulalamika?na ni nini cha kufanya katika hali kama hiyo?
Kwa kuwa tumesema mjadala huu ni "mpana", tutaenda taratibu sana ili kila anayetaka kuelewa aelewe.
Mkuu ni kweli hoja yako ina mashiko lakini nadhani upinzani (Ingawa sio pekee wanaopaswa kudai tume huru) walijishusha na kwenda kwenye sherehe za uhuru na wakaomba maridhiano kwa kidiplomasia zaidi bila kejeli wala jazba.Inaendelea;