Povu la nini, jibu hoja kwa hoja ndugu!Azizi Mussa,
Jamaa unaongea na kulazimisha watu wakufuate as if una monopoly ya FACTS!
Sit your monkey ass down!
Tume Huru tunataka sisi,sio wewe!
Wewe hutaki,sisi tunataka,I wonder unatuzungumzia sisi wewe kama nani?Tumekutuma?
Sidhani kama upo kwenye ukurasa wa uzi huu!Mkuu ni kweli hoja yako ina mashiko lakini nadhani upinzani (Ingawa sio pekee wanaopaswa kudai tume huru) walijishusha na kwenda kwenye sherehe za uhuru na wakaomba maridhiano kwa kidiplomasia zaidi bila kejeli wala jazba.
Baada ya ukimya mheshimiwa Mbowe alituma barua kwa Mhe Rais tena akiomba maridhiano na mjadala wa kitaifa/kukaa mezani na wapinzani (Kupitia TCD) ili kupata muafaka wa hali ya kisiasa lakini Rais bado hakuwa interested kabisa na akawapuuza.
Sasa labda unashauri kwa kupuuzwa huku kina Mbowe na wapinzani wengine wanaotaka kutumia diplomasia kuomba tume huru wafanyeje?
Karibu
Ulitaka mwenyekiti atoke wapi ambaye hatakuwa na mahaba ya chama kimojawapo? Ulitaka nani mwenye mamlaka na nguvu ya dola anayeweza kusimamia uchaguzi zaidi ya hao wenyeviti wa kamati za usalama za maeneo husika...wenye mamlaka ya kuamuru polisi wakatii ili kuwezesha utulivu na amani iwepo? Hawa wote ni binadamu, na kwa kuwa ni watz, basi watakuwa na mahaba na chama flani! Hili haliepukiki!Kuhusu Tume Huru kwa sasa kwa mtazamo wangu inasukumwa na jambo moja kubwa; wapinzani wanataka wajione wana nafasi sawa na CCM kwenye battle field, yaani wakati wa uchaguzi, mgombea wa CCM na wa upinzani, wote wawe na haki sawa, nguvu sawa za kuwashawishi wapiga kura, kura zihesabiwe kihalali bila kuwa na influence toka nje (wakuu wa mikoa, wilaya, polisi, wakurugenzi wa majiji na halmashauri) mpaka mshindi atapotangazwa.
Kuna issue ya msingi ya m/kiti wa Tume ya uchaguzi, huyu nae anateuliwa na Rais, ambae kimsingi ni m/kiti wa chama cha siasa ambacho kinakwenda kwenye chaguzi mbalimbali kushindana na vyama pinzani, sasa huyu m/kiti anaetegemewa kuwa referee halafu hapo hapo tena anamuona bosi wake akitolewa jasho kwenye mechi anaweza kuwa na ujasiri wa kuchezesha fair bila kumpendelea bosi wake kwa namna yoyote?!
Suala la kuwa na Bunge huru hili limezungumzwa sana, tunajua ili mtu awe mbunge kwa sasa lazima jina lipitishwe kwenye kikao cha mkutano mkuu ambapo m/kiti wa kikao ndie huyo huyo Rais wa nchi. Baada ya hapo jina likishapitishwa ndio mtu anakuwa na nafasi ya kugombea ubunge kama katiba inavyotaka, then ndio aje awe Spika wa bunge akifanikiwa kupita. Sasa hapo utaona m/kiti wa mkutano mkuu akiamua kumpoteza huyo mtu mapema uwezo huo anao, hii inasababisha Spika wa bunge baadae akipata nafasi ajione ana deni kwa m/kiti wa chama chake, na hii inatokea hata kwa wabunge wengine wa chama chake, ndio maana wengi huunga mkono kila hoja ya chama chao hata kama ni ya kijinga, sasa hapa uhuru wa Bunge kufanya mambo yake utatoka wapi?!.
Mahakama; majaji wa mahakama kuu wote wanateuliwa na Rais ambaye nae ni m/kiti wa chama cha siasa, sasa litapokuja suala la kudai haki litakalohusisha chama kingine ambacho ni mshindani wa chama cha m/kiti huyu jaji atatoa wapi ujasiri wa kuamua hilo jambo kwa haki bila kuwepo na hisia za upendeleo? na wakati mwingine hizi hisia ndio hufanya wengi waone haki haitendeki, hata kama itakuwa inatendeka.
Baada ya hapo sasa, ndio tutajua kama hao wapinzani walikuwa na mengine binafsi waliyoyaficha, but kwa sasa ni muhimu hayo hapo juu yafanyike ili kuleta ushindani sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Kama wewe ndio naweza hata kuwapa namba yangu ya cm nikiamini sio masnich barikiwa mkuu.Tulipokuwa tunasoma zamani,mwalimu alitupa mtihani wa kujieleza swali moja lazima mjibu wote.Tulijibu lakini kila mmoja kwa majibu tofauti lakini yaliyolenga kwenye majibu sahihi na kila mmoja alipewa maksi zake hakuna aliyeshindwa.Tuliyapenda sana kwa sababu huwezi kukosa marksi zako hapo kwa sababu sio hesabu hiyo ambayo wote ni lazima mpate jibu linalofanana.
Naona huyu jamaa ana akili nzito haelewi.Ngoja nimpe mfano mwepesi.Mkikubaliana kukutana eneo fulani sio lazima wote mtumie barabara moja kufika hapo kwa sababu barabara zipo nyingi.Mwingine atatokea kusini,mwingine akaskazini,mwingine magharibi,mwingine kwa miguu,mwingine kwa gari,mwingine kwa baiskeli n.k.Hapa ameelewa.
Kudai tume huru ya uchaguzi, usitufanye sisi hatuelewi tunachodai na usitegemee wooote tukadai kwa njia moja, (nyie mmezoea kucopy na kupest) tunadai kwa njia tofauti na ukiunganisha madai yooote = madai ya tume huru ya uchaguzi.
Unapotoa uchambuzi wa jambo fulani kama hili usipende wanaokusoma wakushtukie kwenye paragraph ya kwanza na kuona akili yako ilivyo kama ulivyofanya wewe.Ndiyo maana tumeishia hapo
Hivi wewe umezaliwa jana au, nahisi hivyo ndo maana hujui unachoandika.Hujui maana ya Tume huru ya uchaguzi kuwa sio huru? jibu ambalo mtoto wa darasa la pili analijua "SHAME ON YOU" kama umetumwa kutushawishi tufunge macho yetu na masikio tuseme tume ni huru , hapa umetukosa tena usiendelee kuandika huu upuuzi wako humu.Watanzania wote wanajua sio huru kutokana na muundo wake.Majibu mengine watakupa watoto wa std I
,
Too late for now to have it for this year's General Election. The reason, mlikwina since 2015 after the election to demand it now on short notice?Azizi Mussa,
Jamaa unaongea na kulazimisha watu wakufuate as if una monopoly ya FACTS!
Sit your monkey ass down!
Tume Huru tunataka sisi,sio wewe!
Wewe hutaki,sisi tunataka,I wonder unatuzungumzia sisi wewe kama nani?Tumekutuma?
Umeiweka akili yako kwenye box, unaposema hili haliepukiki maana yake umeridhika na hali iliyopo, upo uwezekano ikawa inakunufaisha na wewe, mfano mdogo upo Kenya.Ulitaka mwenyekiti atoke wapi ambaye hatakuwa na mahaba ya chama kimojawapo? Ulitaka nani mwenye mamlaka na nguvu ya dola anayeweza kusimamia uchaguzi zaidi ya hao wenyeviti wa kamati za usalama za maeneo husika...wenye mamlaka ya kuamuru polisi wakatii ili kuwezesha utulivu na amani iwepo? Hawa wote ni binadamu, na kwa kuwa ni watz, basi watakuwa na mahaba na chama flani! Hili haliepukiki!
Umetuletea ushabiki kwenye huu uzi, unajisifu unataka hoja wakati mwenyewe huna hoja yoyote, unasifia ujinga tu.Sidhani kama upo kwenye ukurasa wa uzi huu!
Unaleta maridhiano, kwani kulikuwa na ugonvi gani? Au ndio walitaka kuomba poo maana Magu amebana na kukaba kila kona! Au walitaka mafisadi waaachie hewa kidogo waweze pumua?
Hata mimi ningekuwa rais nisingepoteza muda na watu ambao hawana agenda bali ni kukupinga kwa kila mpango unaotekeleza!
Magu is very smart! Eti walitumia diplomasia...diplomasia au mtego...ambao genius mzee baba aliushitukia hata kabla hawajafikiria kufanya hivyo!
Hatoki mtu kwenye reli hapa!
Maridhiano haina maana ya ugomvi ina maana kama mtu ana dukuduku na wewe awe sahihi ama lah basi mnakutana kuyaweka mambo sawa ili kusiwepo na mgogoro.Sidhani kama upo kwenye ukurasa wa uzi huu!
Unaleta maridhiano, kwani kulikuwa na ugonvi gani? Au ndio walitaka kuomba poo maana Magu amebana na kukaba kila kona! Au walitaka mafisadi waaachie hewa kidogo waweze pumua?
Hata mimi ningekuwa rais nisingepoteza muda na watu ambao hawana agenda bali ni kukupinga kwa kila mpango unaotekeleza!
Magu is very smart! Eti walitumia diplomasia...diplomasia au mtego...ambao genius mzee baba aliushitukia hata kabla hawajafikiria kufanya hivyo!
Hatoki mtu kwenye reli hapa!