williewillie
Member
- Mar 2, 2015
- 85
- 23
Yapo mavazi ya heshima ya kufundishia .
​Bila shaka si kurudi kwa ajili ya masomo.
Natamani uwe Mwl wangu
Ni upuuzi na upumbavu na wewe unayeunga mkono hili pia ni mpumbavu....Hekima na utulivu wa akili unaanza kwanza kwa kile unachokiona,kukigusa nakukisikia...
Natamani nirudi darasani.
Wizara imesahau kwamba hata wanafunzi wanahitaji motisha yakhe, hiyo inaitwa oparesheni tokomeza utoro darasani.Pale Shybush enzi hizo tulikuwa naye kama huyo misonge ya Geography ilirindima kila mwaka !!!
Navaaga pichu tu
Talk don't shout! Lugha yako inaakisi haiba yako, ulitakiwa kujadili sio kutukana na lugha kali, ulichofanya hakina tija, Sana Sana umedhalilisha ID yako bila sababu, inaonyesha huna hoja Bali unataka watu waitikie Tu nafsi yako ifurahi! Pole intellectual world haiko hivyo! Thesis + Antithesis = Synthesis, upo hapo?! Urgue don't shout. Bs
Nishafeli kabla ya shule
Nionyeshe tusi nililolitoa katika kauli yangu ili uwe katika upande ambao siyo wa watu wapumbavu...
Kukemea UPUMBAVU hakuhitaji mjadala na mtu ukiona anahitaji mjadala katika swala la KIPUMBAVU maana yake nae ni MPUMBAVU,na neno MPUMBAVU siyo tusi wala kashfa..na wala haihitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu wala kujua english wala kujibaraguza kwa lugha ya kigeni...Jibu liko ndani ya jibu lako; Asante; if you think shouting (lugha ya Utusi na kashfa) is a means to a solution, so be it; Who am I to burst your bubble?!