Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

Mjadala: Mwalimu kuvaa hivi Darasani ni sawa?

Kuvaa baibui ni vyema pia ila ilete tija katika process nzima ya learning........ Haiba ya mwalimu ni muhimu sana,, kwa sababu inaleta mabadiliko chanya katika tabia ambayo ndiyo lengo kuu la kujifunza..... Ila ipo haja ya kuheshimu hisia zetu hasa katika maumbile yetu... Si jambo zuri sana kuugemeza mawazo yako kwenye hisia zaidi kuliko uhalisia... Kwa wenzetu wazungu maumbile na mavazi si ishu sana katika process nzima ya ujifunzaji... Kumbe basi jambo la msingi ni kuwajengea wanafunzi mtazamo chanya kimazingira na kihisia ili waupate uhalisia wa maisha
 
Ni upuuzi na upumbavu na wewe unayeunga mkono hili pia ni mpumbavu....Hekima na utulivu wa akili unaanza kwanza kwa kile unachokiona,kukigusa nakukisikia...
 
Upuuzi na upumbavu ni pamoja na hicho ulichoandika... Akili yako imedumaa... Nenda kwa daktari ukacheki afya kwa sababu unaweza kupata mtindio wa ubongo.... Soma hizo comment zangu uzielewe na uache kukurupuka kama kuku mwenye mdondo
 
Mkuu umenikumbusha kitu. Kuna mdada mmoja mtoto wa Kingunge (jina kapuni) alikuwa mhadhiri wa chuo kimoja maarufu nchini (jina kapuni). Huyu alikuwa anavaa vimini vifupi hadi pichu inaonekana hata akisimama tu. Wahadhiri wenzie wakalalamika kuhusu mavazi yake mpaka siku moja akaitwa na Mkuu wa chuo na kuonywa kuhusu uvaaji wake ambao ulikuwa hauendani na hadhi ya chuo. Jibu lake lilikuwa nimeingia mkataba na chuo wa mimi kufundisha na si kuniamulia mavazi gani nivae au nisivae. Sasa kwa kuwa ni binti wa Kingunge hakuna aliyethubutu kumchukulia hatua za kinidhamu akaendelea kutililia vimini vyake vya kuonyesha hadi pichu.

Yapo mavazi ya heshima ya kufundishia .
 
Ni upuuzi na upumbavu na wewe unayeunga mkono hili pia ni mpumbavu....Hekima na utulivu wa akili unaanza kwanza kwa kile unachokiona,kukigusa nakukisikia...

Talk don't shout! Lugha yako inaakisi haiba yako, ulitakiwa kujadili sio kutukana na lugha kali, ulichofanya hakina tija, Sana Sana umedhalilisha ID yako bila sababu,

inaonyesha huna hoja Bali unataka watu waitikie Tu nafsi yako ifurahi! Pole intellectual world haiko hivyo! Thesis + Antithesis = Synthesis, upo hapo?! Urgue don't shout. Bs
 
Pale Shybush enzi hizo tulikuwa naye kama huyo misonge ya Geography ilirindima kila mwaka !!!
Wizara imesahau kwamba hata wanafunzi wanahitaji motisha yakhe, hiyo inaitwa oparesheni tokomeza utoro darasani.
 
Nakumbuka form three au two alikuja kama dizain hii kutoka UD kwa PT yake akatufundisha "is it possible" alikuwa anakaa juu ya dawati asee kweli "it was possile. . . . . . but. ., . ."

Namkumbuka mpaka majina yake. . . . .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Talk don't shout! Lugha yako inaakisi haiba yako, ulitakiwa kujadili sio kutukana na lugha kali, ulichofanya hakina tija, Sana Sana umedhalilisha ID yako bila sababu, inaonyesha huna hoja Bali unataka watu waitikie Tu nafsi yako ifurahi! Pole intellectual world haiko hivyo! Thesis + Antithesis = Synthesis, upo hapo?! Urgue don't shout. Bs

Nionyeshe tusi nililolitoa katika kauli yangu ili uwe katika upande ambao siyo wa watu wapumbavu...
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Nakumbuka form 2 tulipataga mwl wa hv kwanza akiingia tulikua tunatulia kimyaaaaa alkua wa history .
Walosoma highlands iringa watamkumbuka. Huyu madameee
 
Nionyeshe tusi nililolitoa katika kauli yangu ili uwe katika upande ambao siyo wa watu wapumbavu...

Jibu liko ndani ya jibu lako; Asante; if you think shouting (lugha ya Utusi na kashfa) is a means to a solution, so be it; Who am I to burst your bubble?!
 
Jibu liko ndani ya jibu lako; Asante; if you think shouting (lugha ya Utusi na kashfa) is a means to a solution, so be it; Who am I to burst your bubble?!
Kukemea UPUMBAVU hakuhitaji mjadala na mtu ukiona anahitaji mjadala katika swala la KIPUMBAVU maana yake nae ni MPUMBAVU,na neno MPUMBAVU siyo tusi wala kashfa..na wala haihitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu wala kujua english wala kujibaraguza kwa lugha ya kigeni...
 
Juz nlkua shule flan dodoma nimekuta kesi mwanafunzi kasema mwalimu hajitambui coz nae anavaa hivyo hivyo
So hata huyo hajitambui
 
Back
Top Bottom