williewillie
Member
- Mar 2, 2015
- 85
- 23
Kuvaa baibui ni vyema pia ila ilete tija katika process nzima ya learning........ Haiba ya mwalimu ni muhimu sana,, kwa sababu inaleta mabadiliko chanya katika tabia ambayo ndiyo lengo kuu la kujifunza..... Ila ipo haja ya kuheshimu hisia zetu hasa katika maumbile yetu... Si jambo zuri sana kuugemeza mawazo yako kwenye hisia zaidi kuliko uhalisia... Kwa wenzetu wazungu maumbile na mavazi si ishu sana katika process nzima ya ujifunzaji... Kumbe basi jambo la msingi ni kuwajengea wanafunzi mtazamo chanya kimazingira na kihisia ili waupate uhalisia wa maisha