😂😂😂😂Onesha wapi Mwanza kuna cluster ya magorofa kama Kariakoo??Pabaya sana utadhani Afghanistan bhana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Onesha wapi Mwanza kuna cluster ya magorofa kama Kariakoo??Pabaya sana utadhani Afghanistan bhana...
Unajua maana ya slum??Sasa hapa kuna nini cha ajabu zaidi kuona slum zilizochangamka
Unajua maana ya slum??
Slum maana yake ni makazi duni yasiyokua na mpangilio.
Usitamke neno kesha hujui maanaa yake.
Kariakoo kote hakuna makazi duni na makazi yake yote yamejengwa kimpangilio.
Nioneshe mwanza kwenye massive buildings kama hapo Kariakoo!??
Hapo siyo Mjini kati ni pembezoni kabisa mji unaojijenga bila mkono wa serikali
Haya magorofa ya kuhesabika ndio unaita cluster??
Sasa hizi zina utofauti gani na Mwanza hizo ambazo nimezipost hapo!!?au kwa sababu zimerundikana kiholela ndo zimekuchanganya 😂Haya magorofa ya kuhesabika ndio unaita cluster??
Haya unayahesabu kabisa.
Umeona concrete jungle hapo chini??Huo mtaa mmoja tu hapo Kariakoo.View attachment 3100734
Kiholelaaa we acha kuchekesha.Sasa hizi zina utofauti gani na Mwanza hizo ambazo nimezipost hapo!!?au kwa sababu zimerundikana kiholela ndo zimekuchanganya 😂
Kariakoo napajua vizuri sana kila mtaa tena yawezekana kuliko hata wewe bado kuna nyumba nyingi chakavu humo halafu hizo ghorofa hata hazina mvuto kabisa majengo yenye finishing kali ni ya kuhesabika mengi ni takataka tuKiholelaaa we acha kuchekesha.
We huoni kuna utofauti?
Kwanza wa mpangilio pili wa ujazo,hapoMwanza naona vigorofa vimoja moja pembeni kukiwa na nyumba ya bati chakavu.Kariakoo haipo hiyo.
Nani kakwambia Kariakoo nyumba zimekaa kiholela?
Au hujawahi kufika kariakoo wewe??
Kariakoo kila mtaa umepangika kimipango miji.
Huwezi ukapajua kariakoo kunizidi mimi wewe.Kariakoo napajua vizuri sana kila mtaa tena yawezekana kuliko hata wewe bado kuna nyumba nyingi chakavu humo halafu hizo ghorofa hata hazina mvuto kabisa majengo yenye finishing kali ni ya kuhesabika mengi ni takataka tu
Africa mashariki wa kututambia wana Mwanza ni hawa siyo hicho Kijiji cha wavuvi Sasa hii ndo cluster jungle ulipaswa unioneshe siyo takataka za Dar is slum
We unafikiri Mwanza hazivunjwi na kujengwa mpya tatizo mna mindset za Dar ndo kila kitu mkidhani huku mikoani raia hawajengi shukuruni mbeleko isingekuwa mbeleko Dar ingekuwa Kijiji cha makumbusho na maonesho ya wavuviHuwezi ukapajua kariakoo kunizidi mimi wewe.
Hizo gorofa za miaka mingi na zingine zimeanza kuvunjwa kujengwa mpya.
Soon kariakoo itakua ina blue glass buildings kila upande.
Kama haiko kiholela nioneshe maeneo ya maegesho ya magari zaidi ya kupaki barabarani na kuongeza msongamano wa usio na maana,,,sasa mnarundika maghorofa mnasahau na kuweka parking huo si ndo uholela jenga jengo acha space huku Mwanza majengo yanajengwa kwa space ili kupata sehemu ya maegesho ndo maana huoni huo mrundukinaniko ila maghorofa Mwanza ni mengi sana bro huwezi kuyahesabu ukamaliza tembea Mwanza usisimuliweKiholelaaa we acha kuchekesha.
We huoni kuna utofauti?
Kwanza wa mpangilio pili wa ujazo,hapoMwanza naona vigorofa vimoja moja pembeni kukiwa na nyumba ya bati chakavu.Kariakoo haipo hiyo.
Nani kakwambia Kariakoo nyumba zimekaa kiholela?
Au hujawahi kufika kariakoo wewe??
Kariakoo kila mtaa umepangika kimipango miji.
Unazungumza nini wewe??Africa mashariki wa kututambia wana Mwanza ni hawa siyo hicho Kijiji cha wavuvi Sasa hii ndo cluster jungle ulipaswa unioneshe siyo takataka za Dar is slum
Mbeleko kutoka kwa nani??We unafikiri Mwanza hazivunjwi na kujengwa mpya tatizo mna mindset za Dar ndo kila kitu mkidhani huku mikoani raia hawajengi shukuruni mbeleko isingekuwa mbeleko Dar ingekuwa Kijiji cha makumbusho na maonesho ya wavuvi
Hapa mbona ni uchafu tu ndo nauona kuna utofauti gani hapa na Mogadishu kwenye machafuko 😂Unazungumza nini wewe??
View attachment 3100928
Nani kakwambia hakuna parking!??Kama haiko kiholela nioneshe maeneo ya maegesho ya magari zaidi ya kupaki barabarani na kuongeza msongamano wa usio na maana,,,sasa mnarundika maghorofa mnasahau na kuweka parking huo si ndo uholela jenga jengo acha space huku Mwanza majengo yanajengwa kwa space ili kupata sehemu ya maegesho ndo maana huoni huo mrundukinaniko ila maghorofa Mwanza ni mengi sana bro huwezi kuyahesabu ukamaliza tembea Mwanza usisimuliwe
Nishaona umeishiwa hoja.Hapa mbona ni uchafu tu ndo nauona kuna utofauti gani hapa na Mogadishu kwenye machafuko 😂
Dar ukiishiwa pesa lile jua Huwa lina-kuwa mara mbili,alafu linakupa na nyongeza😆😆😆Ukitaka comfortable life la kuishi kama binadamu, ishi mwanza na mikoa mingine ila kama unapenda kukimbizana kama mifugo ishi DAR.
NB: Wenye pesa ndiyo wanaenjoy kukaa Dar.